hiyo imetulia!! We mkaree
Naona kampeni zimepamba moto kisawa sawa.. Good luck washindani wote..
Tukumbuke tu kudumisha amani wakati zoezi la kampeni na upigaji kura likiendelea.
Mapendo.
TANMO
Vote for Aspirin!
Mkuu, naona unapiga debe la nguvu! lol
Inatia raha!
Jukwaa la wakubwa litaboreshwa na litakuwa free bila special access - chagua aspirin
jamani aspirin fan, tusiache slogan
vote for aspirin
aspirin for stress free JF!
Jukwaa la wakubwa litaboreshwa na litakuwa free bila special access - chagua aspirin
stress free JF ni kimbweka only akisaidizana na FD ila asprin ni entertainer fulani hivi aka mzee mvaa jeans..
Chini ya Aspirin JF kwa mara ya kwanza itaanzisha branch yake sudan ya kusini - vote for aspirin
Vote for Aspirin. Chini ya uongozi wa aspirin tutahakikisha wadada wote ambao ni memba wa JF mahari yao yatatolewa kwa euro au dollarsfelo tablet za utokako?
Vote for Aspirin. Chini ya uongozi wa aspirin tutahakikisha wadada wote ambao ni memba wa JF mahari yao yatatolewa kwa euro au dollars
Tutahakikisha hamjifungui kwa opereshen - vote for aspirinhehehe na ambao tushaolewa teari inakuwaje?