BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,015
Waheshimiwa mbona mwatuchanganya....wengine wadai Tinga Tinga ashinda huko Mtera na wengine mwaonyesha kura zake mzee wa porojo Samwel Malecela hazikutimia! Kipi ni kipi?
Hali haileweki ndugu yangu huku unasima kabwagwa ukisoma kule unaona kambwaga mtu, haijulikani ukweli umelalia wapi.