Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,681
- 40,628
- Thread starter
- #41
Assassin alitumiwa bila kujua pale Ofisini?
Acha kuwa na paranoia
hivi kweli mtu akili yake akamuue Dr Slaa au Lowasa au wanasiasa yoyote ile Tanzania?
TRA can easily do the job bila kusahau anti-terrorism act
lakini muhim zaidi ni kuwa its not in the state interest kuwamaliza hawa watu kwa kifo ..... dawa ni kuziba mirija ya pesa kama atafurukkuta mtu
Well may be some few questions are important.
1. Why political assassins in Tanzania? What's so big interests are we fighting over here?
2. How many have been assassinated?
3.If its so hard to know they have been assassinated how far can you say they have been assassinated?
Mkuu, majority of plans huazia kwenye hisia, fikara na kusadiki@mwanakijiji
umefikiria nini mpaka ukaja na mada hii?. katika vitu vinavyonishinda kujua ni nini mawazo na malengo yako? kwani naona ni mtu unayejiendesha na hisia na si mipango. anyway maisha yako yanajengwa nawewe mwenyewe so hakuna anayetakiwa kufahamu unaenda wapi
Wakati tukimsubiri Hutaki Unaacha for confirmation, think about this
1. Kwa vile uras wa Tanzania ni wa zamu kati ya Bara na Visiwani, Alianza Nyerere akafuatia Mwinyi akaja Mkapa zamu ilikuwa ni ya Zanzibar na mlengwa alikuwa Dr. Omar ndio awe mgombea!.
2. Ili urais urudi bara, Dr. Omar had to go to justify hakuna mtu wa Zanzibar, atakayetufaa!
This is just a conspiracy theory subject to confirmation, ila pia nilisikia mahali hata Baba wa Taifa walim. na Karume walim..we acha tuu! Ni hao hao walio..
Kolimba walimkolimba
Imran Kombe wakamkomba
Mama Mbatia wakambata
Wangwe wakamuwanga
Juma Jamaldin Akukweti wakamkwetua
Gibbons Mwaikambo wakamkomba
Advocate Kapinga wakampinga
Prof. Jwani Mwaikusa wakamsusa
Balozi Wilson Tibaijuka wakamjuka
etc, etc and list goes on!
Nawahakikishiai tukimchagua Lowassa, ataifumua fumu TISS na kuachana na michezo michafu hii.
?????????????????Wakati tukimsubiri Hutaki Unaacha for confirmation, think about this 1. Kwa vile uras wa Tanzania ni wa zamu kati ya Bara na Visiwani, Alianza Nyerere akafuatia Mwinyi akaja Mkapa zamu ilikuwa ni ya Zanzibar na mlengwa alikuwa Dr. Omar ndio awe mgombea!. 2. Ili urais urudi bara, Dr. Omar had to go to justify hakuna mtu wa Zanzibar, atakayetufaa! This is just a conspiracy theory subject to confirmation, ila pia nilisikia mahali hata Baba wa Taifa walim. na Karume walim..we acha tuu! Ni hao hao walio.. Kolimba walimkolimba Imran Kombe wakamkomba Mama Mbatia wakambata Wangwe wakamuwanga Juma Jamaldin Akukweti wakamkwetua Gibbons Mwaikambo wakamkomba Advocate Kapinga wakampinga Prof. Jwani Mwaikusa wakamsusa Balozi Wilson Tibaijuka wakamjuka etc, etc and list goes on! Nawahakikishiai tukimchagua Lowassa, ataifumua fumu TISS na kuachana na michezo michafu hii.
Binafsi ambaye ninawasiwasi sana naye - sina ushahidi wa sababu ya wasiwasi wangu huo - ni mwanasiasa mmoja kijana toka ndani ya chama tawala; anaonekana ameanza kuwa tishio kubwa sana na hawa jamaa kwa kweli sidhani kama watamuache aje asimike na kuwa tishio. Of course jina lake si geni kabisa masikioni mwa watu. Anajiamini sana kiasi kwamba amekuwa careless almost to a point of impunity!

Tafadhali fungua box hilo tujue kilichomo ndani....(Nape?)
Wakati tukimsubiri Hutaki Unaacha for confirmation, think about this
1. Kwa vile uras wa Tanzania ni wa zamu kati ya Bara na Visiwani, Alianza Nyerere akafuatia Mwinyi akaja Mkapa zamu ilikuwa ni ya Zanzibar na mlengwa alikuwa Dr. Omar ndio awe mgombea!.
2. Ili urais urudi bara, Dr. Omar had to go to justify hakuna mtu wa Zanzibar, atakayetufaa!
This is just a conspiracy theory subject to confirmation, ila pia nilisikia mahali hata Baba wa Taifa walim. na Karume walim..we acha tuu! Ni hao hao walio..
Kolimba walimkolimba
Imran Kombe wakamkomba
Mama Mbatia wakambata
Wangwe wakamuwanga
Juma Jamaldin Akukweti wakamkwetua
Gibbons Mwaikambo wakamkomba
Advocate Kapinga wakampinga
Prof. Jwani Mwaikusa wakamsusa
Balozi Wilson Tibaijuka wakamjuka
etc, etc and list goes on!
Nawahakikishiai tukimchagua Lowassa, ataifumua fumu TISS na kuachana na michezo michafu hii.
Well, we got to put this one on record - there are assassins in our midst. These are people trained in the science and art of getting closer to their target and eliminate it in such a way that no evidence is left behind. But how do they do it? How do they accomplish their goal without being detected? Well:
a. They are trained to be like chameleons - they will look infiltrate the environment of their target and become exactly like it (will probably be the closest member of the target's inner circle)
b. They don't act on impulse but only on orders
c. They can remain dormant until activated
d. They can plan their assassinations months if not years ahead
e. Only sloppy assassins leave traces; otherwise, when they go for the kill they do it with such precision that the Medical Examiner (coroner) will not find any reason to suspect murder (heart attack, stroke, accident, etc).
If you are a politician you must always be on guard. Be glad that you know your enemies (they won't hurt you personally); but be careful with your friends! From time in memorial assassins have always worked closely with the target's friends, inner circle and sometimes even family members - for a price of course. So, as the saying goes - keep your friends close but your enemy closer!
The problem is that WE DON'T KNOW WHO THEY ARE AND WE CAN'T STOP THEM. These people (whoever they may be) work in ABSOLUTE IMPUNITY.
Think about it.
Acha kuwa na paranoia
hivi kweli mtu akili yake akamuue Dr Slaa au Lowasa au wanasiasa yoyote ile Tanzania?
TRA can easily do the job bila kusahau anti-terrorism act
lakini muhim zaidi ni kuwa its not in the state interest kuwamaliza hawa watu kwa kifo ..... dawa ni kuziba mirija ya pesa kama atafurukkuta mtu
Hapa ndio tatizo kuu la Taifa na maendeleo yake lilipo lala,hakika ujio wake utaipaisha Nchi japo utekelezaji wake utaibua maajabu mengi kwa watanzania.Watu lazima wafunguke. Jukumu kubwa la uongozi ujao litakuwa ni pamoja na kuvunja polisi na tiss.
.Binafsi ambaye ninawasiwasi sana naye - sina ushahidi wa sababu ya wasiwasi wangu huo - ni mwanasiasa mmoja kijana toka ndani ya chama tawala; anaonekana ameanza kuwa tishio kubwa sana na hawa jamaa kwa kweli sidhani kama watamuache aje asimike na kuwa tishio. Of course jina lake si geni kabisa masikioni mwa watu. Anajiamini sana kiasi kwamba amekuwa careless almost to a point of impunity!
Well, we got to put this one on record - there are assassins in our midst. These are people trained in the science and art of getting closer to their target and eliminate it in such a way that no evidence is left behind. But how do they do it? How do they accomplish their goal without being detected? Well:
a. They are trained to be like chameleons - they will look infiltrate the environment of their target and become exactly like it (will probably be the closest member of the target's inner circle)
b. They don't act on impulse but only on orders
c. They can remain dormant until activated
d. They can plan their assassinations months if not years ahead
e. Only sloppy assassins leave traces; otherwise, when they go for the kill they do it with such precision that the Medical Examiner (coroner) will not find any reason to suspect murder (heart attack, stroke, accident, etc).
If you are a politician you must always be on guard. Be glad that you know your enemies (they won't hurt you personally); but be careful with your friends! From time in memorial assassins have always worked closely with the target's friends, inner circle and sometimes even family members - for a price of course. So, as the saying goes - keep your friends close but your enemy closer!
The problem is that WE DON'T KNOW WHO THEY ARE AND WE CAN'T STOP THEM. These people (whoever they may be) work in ABSOLUTE IMPUNITY.
Think about it.
As long the government want to produce school leavers ( Shule za Kata) who will always vote CCM then we will continue being lead by corrupt and mostly leaders uneducated.