Political Assassins: Why TZ Politicians Must live in a State of Perpertual Paranoia

Acha kuwa na paranoia
hivi kweli mtu akili yake akamuue Dr Slaa au Lowasa au wanasiasa yoyote ile Tanzania?

TRA can easily do the job bila kusahau anti-terrorism act

lakini muhim zaidi ni kuwa its not in the state interest kuwamaliza hawa watu kwa kifo ..... dawa ni kuziba mirija ya pesa kama atafurukkuta mtu

Oh,so Kolimba was neutralizead bya TRA!And before that the Anti-Terrorism Act was used to assassinate Sokoine!

Kuna mawili,aidha unaishi gizani na huna clue umafia unavyotumika kuwaodnoa "wanaotia mchamba kwenye vitumbua vya watu flani" au unabisha for the sake of hearing your own voice.
 
Binafsi ambaye ninawasiwasi sana naye - sina ushahidi wa sababu ya wasiwasi wangu huo - ni mwanasiasa mmoja kijana toka ndani ya chama tawala; anaonekana ameanza kuwa tishio kubwa sana na hawa jamaa kwa kweli sidhani kama watamuache aje asimike na kuwa tishio. Of course jina lake si geni kabisa masikioni mwa watu. Anajiamini sana kiasi kwamba amekuwa careless almost to a point of impunity!
 
Well may be some few questions are important.
1. Why political assassins in Tanzania? What's so big interests are we fighting over here?

2. How many have been assassinated?

3.If its so hard to know they have been assassinated how far can you say they have been assassinated?

Its hard to tell bro coz the best cases go unnoticed.... after-all paranoia could kill even before the sting!!
 
@mwanakijiji

umefikiria nini mpaka ukaja na mada hii?. katika vitu vinavyonishinda kujua ni nini mawazo na malengo yako? kwani naona ni mtu unayejiendesha na hisia na si mipango. anyway maisha yako yanajengwa nawewe mwenyewe so hakuna anayetakiwa kufahamu unaenda wapi
Mkuu, majority of plans huazia kwenye hisia, fikara na kusadiki
 
Wakati tukimsubiri Hutaki Unaacha for confirmation, think about this

1. Kwa vile uras wa Tanzania ni wa zamu kati ya Bara na Visiwani, Alianza Nyerere akafuatia Mwinyi akaja Mkapa zamu ilikuwa ni ya Zanzibar na mlengwa alikuwa Dr. Omar ndio awe mgombea!.
2. Ili urais urudi bara, Dr. Omar had to go to justify hakuna mtu wa Zanzibar, atakayetufaa!
This is just a conspiracy theory subject to confirmation, ila pia nilisikia mahali hata Baba wa Taifa walim. na Karume walim..we acha tuu! Ni hao hao walio..
Kolimba walimkolimba
Imran Kombe wakamkomba
Mama Mbatia wakambata
Wangwe wakamuwanga
Juma Jamaldin Akukweti wakamkwetua
Gibbons Mwaikambo wakamkomba
Advocate Kapinga wakampinga
Prof. Jwani Mwaikusa wakamsusa
Balozi Wilson Tibaijuka wakamjuka
etc, etc and list goes on!

Nawahakikishiai tukimchagua Lowassa, ataifumua fumu TISS na kuachana na michezo michafu hii.

Haa,aachane na michezo michafu ikiwa yeye ni kinara wa michezo hyo,thnk big man!ref. Mwakyembe's poison,who did it?
 
Wakati tukimsubiri Hutaki Unaacha for confirmation, think about this 1. Kwa vile uras wa Tanzania ni wa zamu kati ya Bara na Visiwani, Alianza Nyerere akafuatia Mwinyi akaja Mkapa zamu ilikuwa ni ya Zanzibar na mlengwa alikuwa Dr. Omar ndio awe mgombea!. 2. Ili urais urudi bara, Dr. Omar had to go to justify hakuna mtu wa Zanzibar, atakayetufaa! This is just a conspiracy theory subject to confirmation, ila pia nilisikia mahali hata Baba wa Taifa walim. na Karume walim..we acha tuu! Ni hao hao walio.. Kolimba walimkolimba Imran Kombe wakamkomba Mama Mbatia wakambata Wangwe wakamuwanga Juma Jamaldin Akukweti wakamkwetua Gibbons Mwaikambo wakamkomba Advocate Kapinga wakampinga Prof. Jwani Mwaikusa wakamsusa Balozi Wilson Tibaijuka wakamjuka etc, etc and list goes on! Nawahakikishiai tukimchagua Lowassa, ataifumua fumu TISS na kuachana na michezo michafu hii.
?????????????????
 
Binafsi ambaye ninawasiwasi sana naye - sina ushahidi wa sababu ya wasiwasi wangu huo - ni mwanasiasa mmoja kijana toka ndani ya chama tawala; anaonekana ameanza kuwa tishio kubwa sana na hawa jamaa kwa kweli sidhani kama watamuache aje asimike na kuwa tishio. Of course jina lake si geni kabisa masikioni mwa watu. Anajiamini sana kiasi kwamba amekuwa careless almost to a point of impunity!

Tafadhali fungua box hilo tujue kilichomo ndani....(Nape?)
 
Binafsi ambaye ninawasiwasi sana naye - sina ushahidi wa sababu ya wasiwasi wangu huo - ni mwanasiasa mmoja kijana toka ndani ya chama tawala; anaonekana ameanza kuwa tishio kubwa sana na hawa jamaa kwa kweli sidhani kama watamuache aje asimike na kuwa tishio. Of course jina lake si geni kabisa masikioni mwa watu. Anajiamini sana kiasi kwamba amekuwa careless almost to a point of impunity!

utakuwa una muongelea nepi tu.
 
Pasco umeanza vizuri ila umemalizia vibaya ha ha ha ha.

Wakati tukimsubiri Hutaki Unaacha for confirmation, think about this

1. Kwa vile uras wa Tanzania ni wa zamu kati ya Bara na Visiwani, Alianza Nyerere akafuatia Mwinyi akaja Mkapa zamu ilikuwa ni ya Zanzibar na mlengwa alikuwa Dr. Omar ndio awe mgombea!.
2. Ili urais urudi bara, Dr. Omar had to go to justify hakuna mtu wa Zanzibar, atakayetufaa!
This is just a conspiracy theory subject to confirmation, ila pia nilisikia mahali hata Baba wa Taifa walim. na Karume walim..we acha tuu! Ni hao hao walio..
Kolimba walimkolimba
Imran Kombe wakamkomba
Mama Mbatia wakambata
Wangwe wakamuwanga
Juma Jamaldin Akukweti wakamkwetua
Gibbons Mwaikambo wakamkomba
Advocate Kapinga wakampinga
Prof. Jwani Mwaikusa wakamsusa
Balozi Wilson Tibaijuka wakamjuka
etc, etc and list goes on!

Nawahakikishiai tukimchagua Lowassa, ataifumua fumu TISS na kuachana na michezo michafu hii.
 
Well, we got to put this one on record - there are assassins in our midst. These are people trained in the science and art of getting closer to their target and eliminate it in such a way that no evidence is left behind. But how do they do it? How do they accomplish their goal without being detected? Well:

a. They are trained to be like chameleons - they will look infiltrate the environment of their target and become exactly like it (will probably be the closest member of the target's inner circle)
b. They don't act on impulse but only on orders
c. They can remain dormant until activated
d. They can plan their assassinations months if not years ahead
e. Only sloppy assassins leave traces; otherwise, when they go for the kill they do it with such precision that the Medical Examiner (coroner) will not find any reason to suspect murder (heart attack, stroke, accident, etc).

If you are a politician you must always be on guard. Be glad that you know your enemies (they won't hurt you personally); but be careful with your friends! From time in memorial assassins have always worked closely with the target's friends, inner circle and sometimes even family members - for a price of course. So, as the saying goes - keep your friends close but your enemy closer!

The problem is that WE DON'T KNOW WHO THEY ARE AND WE CAN'T STOP THEM. These people (whoever they may be) work in ABSOLUTE IMPUNITY.

Think about it.

Baba hapa kwenye red na bold sikubaliani kabisa kwa mnyonge bali kwa mwenye uwezo kwa mnyonge usemi sahihi ni kwamba "the ONLY effective defense mechanism between me and my enemy is distance"

Fikiria kama Mwakyembe angekeep distance shida hiyo ingempata? Au Amina Chifupa, au yule mama mbuge wa Dar aliyyejua siri za EPA na kufa kwa ajali wengineo wengi? Hawa wamepatikana kwa sababu ya kuwa kept closer by their enemies. Kumbuka yule Godfather alivyomshauri mwanae kuwa "it is better to be a big fish in a smal pond than being a small fish in a big pond" mwisho lazima samaki mdogo aliwe na mkubwa ndivyo ilivyo.

Angalia wale wengi ambao wanawindwa lakini hawapatikani. They have kept their distance
 
Acha kuwa na paranoia
hivi kweli mtu akili yake akamuue Dr Slaa au Lowasa au wanasiasa yoyote ile Tanzania?

TRA can easily do the job bila kusahau anti-terrorism act

lakini muhim zaidi ni kuwa its not in the state interest kuwamaliza hawa watu kwa kifo ..... dawa ni kuziba mirija ya pesa kama atafurukkuta mtu

... Kwani Dr. Slaa akiuawa nani atafanya nini? This country is merely a flock of sheep.
 
Watu lazima wafunguke. Jukumu kubwa la uongozi ujao litakuwa ni pamoja na kuvunja polisi na tiss.
Hapa ndio tatizo kuu la Taifa na maendeleo yake lilipo lala,hakika ujio wake utaipaisha Nchi japo utekelezaji wake utaibua maajabu mengi kwa watanzania.
 
Binafsi ambaye ninawasiwasi sana naye - sina ushahidi wa sababu ya wasiwasi wangu huo - ni mwanasiasa mmoja kijana toka ndani ya chama tawala; anaonekana ameanza kuwa tishio kubwa sana na hawa jamaa kwa kweli sidhani kama watamuache aje asimike na kuwa tishio. Of course jina lake si geni kabisa masikioni mwa watu. Anajiamini sana kiasi kwamba amekuwa careless almost to a point of impunity!
.

Hapo ndipo utamu ulipo lala MMK kwa kuwa jina lake linabeba ujumbe mzito kuwa ni salamu toka miaka hiyo kuwa wapo na kuwa wakimgusa huyo awajitakii mema kwa kuwa wa upande wa pili wana nguvu na ubavu zaidi ya TISS.Nami nahsi anawapa shida sana sana kwa kuwa hawajui who is the big shark behind kijana,ila wanajua kwa jina lake tu ni salamu tosha kwa kuwa mfano ukitizama soap opera moja ya kisouth inaitwa Isidingo ndani ya hiyo soap opera kuna mdau mmoja anaitwa Frank huyu jamaa ni freedom fighter lakin kwa sasa ni mmoja a wamiliki wa kituo cha habar.Hivyo kuna binti ndani ya soap opera hiyo ambae anaisumbua familia tajiri ya kizarendo inaitwa Sobeko Group of Company ,ambayo nae binti mzuri huyo ni mwanafamilia ambae baba yake alimfia Frank mikononi wakati wa mapambano ya kudai uhuru.Usumbufu anaoupata binti huyo toka kwa wanafamilia wakwale baba na mwana umekua kero hivyo mdau Frank ameamua kuingia kati na aliapa kuwa atamlinda binti huyo wa Freedom fighter mwenzie mpaka kieleweke na tayari alishaanza.

Na hakika wale jamaa wa upande wa pili uwa awapendi kelele za mitaani wao utekelezaji tu,Hivyo kwa kijana huyo ukitizama misimamo yake ambayo bilogically kama wasomi wanavyosema 80% mtoto ulithi toka kwa wazazi na 20% ni mazingira basi kwa msomi yoyote anajua kijana yule ni aina gani ya mtu,na marafiki wa mzazi wake duniani bado wapo na wanajua kazi waliofanya na baba mtu kutumikia Taifa hawezi kuacha spirtual connection wanayoiona kwa kijana wao ikapotea while wakijua ndio kazi waliokuwa wakifanya ujana wao.Hivyo kumgusa ni kujitakia balaa kwa kuwa wanajua kesho na kesho kutwa kizazi chao wanasiasa na wafanyabishara watavichezea na kuvifutilia mbali hapa duniani.
 
Political Assasination 101 - Case Study 1:

[h=2]Death[/h]Six days after the Lancaster House Agreement was signed Robert Mugabe, on the Voice of Zimbabwe radio station, conveyed "an extremely sad message" to "all the fighting people of Zimbabwe": the forty one year old Tongogara was dead, killed in a car accident in Mozambique on December 26, 1979.
Josiah Tungamirai, the ZANLA High Command's political commissar relates that on the night of the fatality, he and Tongogara had been travelling with others in two vehicles fromMaputo to Chimoio. Tungamirai said he was in the front vehicle. It was dark and the roads were bad. Tungamirai's car passed a military vehicle that had been carelessly abandoned, with no warning signs at the side of the road. After that, he could no longer see the headlights of the following car in his rear view mirror. Eventually he turned back, and, as he had feared, they found Tongogara's car had struck the abandoned vehicle. Tongogara was sitting in the front passenger seat. Tungamirai told me that he had struggled to lift Tongogara out of the wrecked car. He said that as he was doing so, Tongogara heaved a huge sigh and died in his arms.[SUP][1]

Josiah Tongogara - Wikipedia, the free encyclopedia[/SUP]
 
Political Assasination 101: Case Study 2

On 27 January 1990, Ouko, now Minister of Foreign Affairs, left Nairobi as part of a delegation of 83 ministers and officials, among them President Daniel arap Moi, to attend a ‘Prayer Breakfast' meeting in Washington DC. The delegation arrived back in Nairobi on 4 February. On Monday 5 February Ouko met with President Moi, the Japanese Ambassador, the Canadian High Commissioner, Bethuel Kiplagat (Permanent Secretary, Ministry of Foreign Affairs), and Hezekiah Oyugi (Permanent Secretary, Internal Security). Later that day Ouko travelled to his country residence, a farm in Koru (some 300 km from Nairobi) near Kisumu, accompanied by his driver and a bodyguard.
On the night of February 12/13, 1990, Ouko disappeared from his Koru Farm complex near Muhoroni. His housemaid Selina Were Ndalo testified that she "was awakened at about 3am by a noise similar to a door being slammed shut but sufficiently loud enough to startle her awake" [SUP][6][/SUP] and that she saw a white car turning at the bottom of the minister's driveway before driving away[SUP][7][/SUP].
Francis Cheruyot, a telephonist at Rongo Office, near to the Koru Farm, alleged to Detective Superintendent John Troon of Scotland Yard (see below) that on Tuesday 13 February 1990, at about 6am, he was on duty on the post office telephone switchboard when he saw Hezekiah Oyugi "who was a passenger in a white car containing three other persons" drive past the post office on two occasions [SUP][8][/SUP] but Cheruyot would not make a written statement to this effect. Oyugi was subsequently unable to produce the daily log of his official car.[SUP][9][/SUP]
Ouko's body was found later that morning (February 13) at approximately 1pm by a local herdsboy Joseph Shikuku[SUP][10][/SUP] (also named as 'Shikulu' and Shikuru' in both Troon's and other reports), at the foot of nearby Got Alila Hill, 2.8 km from Ouko's country home, but although he told local villagers of the find (a fact supported by 'statements in support' given to Scotland Yard detectives by six other villagers) they did not report the fact to the police. Ouko's body was eventually officially discovered on the 16th February, following a police search.
Forensic evidence suggested Ouko had been murdered, near to where his body was found, killed by a single shot to the head, his right leg broken in two places and his body left partially burned. There was evidence that a gun had been discharged at the scene (although the bullet was never found). A "single caucasian hair" was also was found "loosely associated with a partially burnt handkerchief found at the scene" [SUP][11][/SUP]. Most of items including a gun, a torch, a diesel can and matches [SUP][3][/SUP] were found nearby. All of the items were subsequently identified as belonging to Dr Ouko and, with the exception of the jerrycan, matches and torch, had usually been kept in his bedroom. News of the murder set off riots in Nairobi.
Initial police reports suggested that Ouko had committed suicide but it soon became common knowledge that Ouko had been shot as well as burnt [SUP][3][/SUP]. Public pressure led PresidentDaniel arap Moi to ask British detectives from New Scotland Yard to investigate Ouko's death.
The following investigation by the Kenyan police was supported by the arrival on 21 February of Detective Superintendent John Troon of Scotland Yard's International Organised Crime Branch, accompanied by two other detectives and a Home Office forensic pathologist.

Robert Ouko (politician) - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Well, we got to put this one on record - there are assassins in our midst. These are people trained in the science and art of getting closer to their target and eliminate it in such a way that no evidence is left behind. But how do they do it? How do they accomplish their goal without being detected? Well:

a. They are trained to be like chameleons - they will look infiltrate the environment of their target and become exactly like it (will probably be the closest member of the target's inner circle)
b. They don't act on impulse but only on orders
c. They can remain dormant until activated
d. They can plan their assassinations months if not years ahead
e. Only sloppy assassins leave traces; otherwise, when they go for the kill they do it with such precision that the Medical Examiner (coroner) will not find any reason to suspect murder (heart attack, stroke, accident, etc).

If you are a politician you must always be on guard. Be glad that you know your enemies (they won't hurt you personally); but be careful with your friends! From time in memorial assassins have always worked closely with the target's friends, inner circle and sometimes even family members - for a price of course. So, as the saying goes - keep your friends close but your enemy closer!

The problem is that WE DON'T KNOW WHO THEY ARE AND WE CAN'T STOP THEM. These people (whoever they may be) work in ABSOLUTE IMPUNITY.

Think about it.

Mkuu Mwanakijiji

When Tanzania was forced to open up its market for globalisation, it paved the way for everything including silent assassins.

These agents live in our neighborhoods, have families, mingling in our societies and always donate in terms of cash injections in our political and financial systems.

You asked very legitimate question that who they are and how to stop them.

Then answer perhaps will be to start with communities where we leave to establish who we leave with and then we will go from there. We need to know our neighbors and what they do.

Then our Policing (I mean police and planning)will have counter-terrorism command, which deals with major and sensitive inquiries including political assassinations.
 
As long the government want to produce school leavers ( Shule za Kata) who will always vote CCM then we will continue being lead by corrupt and mostly leaders uneducated.

Mh! mzee mwanakijiji mambo yako ya kuleta kidhungu hapa jamvini utasababisha watu wajikate ndimi zao! Ushahidi ni huu hapa!
 
Back
Top Bottom