Polisi yahujumu mkutano wa madiwani wa CHADEMA

Nadhani ulichouliza ni jibu, sio swali! Sijui cdm wana mkakati gani wa kufanya mikutano kwenye kambi za polisi ili kuwapa elimu ya uraia maana mtazamo wangu ni kwamba UKOMBOZI WA NCHI YETU UTACHELEWESHWA SANA NA JESHI LA POLISI. Wasipopata elimu kwamba ukombozi tunaouzungumzia ni pamoja na wao kupata maisha mazuri basi safari yetu bado ni ndefu!

filipo umenichekesha..tumwambie na sisi mbunge wetu afanye mikutano polisi trafiki na kule sakina kwa maafisa akimaliza aende njir
 
habari za uhakika ni kwamba kabla ya Nape CCM walikuwamefanya mikutano zaidi ya miwili, pia majuzi siku ya usalama barabarani ulifanyika mkutano pale, ni ushahidi kwamba uwanja ule unatumika kwa shughuli mbali mbali ikiwa ni pamoja na shughuli za kisiasa
 
mapolisi ni kama madekio.dekio ndo linatumika kudekia ndani ya nyumba.nyumba iking'aa linakamuliwa na kutupwa mpaka siku nyingine litakapo hitajika.hao polisi wanatumika tu.
 
Katika hali isiyo ya kawaida Polisi mkoa Kilimanjaro imewakatalia CHADEMA kufanya mkutano wao katika eneo walilokusudia kufanya mkutano, taarifa ya kukataliwa kufanya mkutano katika eneo la stendi imekuja saa chache kabla ya mkutano, hii iliwachanganya viongoziwa CHADEMA ili kwa busara waliamua kuhamishia mkutano huu Majengo. Ili cha kustaabisha polisi wamedai kwamba CHADEMA hawruhusiwa kufanya mkutano eneo kwa madai ni maegesho ya magari japo Nape aliruhusiwa kufanya mkutano wa hadhara eneo miezi michache iliyopita, swali je polisi ni jeshi la CCM?

Juzi Nape kasema Tanzania inawenyewe.
 
Wamefanya jambo zuri sana. Mkutano unafanyika sehemu maalum si kila sehemu inafaa kwa mikutano.

kwa ccm ni halali kufanya mkutano kila mahali lakini kwa chadema ni sehemu maalum nimeusoma upumbavu wako.
 
Kamanda inaweza isifike 2015! Ni kwmb tumwombeni mwenyezi MUNGU sana kwani hawa vibaraka wa sisiem kwa kweli wanakera pasipo na vipimo. Ila wao wakae tu na siku nguvu ya UMMA wakichafukwa na mioyo hakika hata hizo bunduki wanazobebaga wataona ni mizigo.

Nguvu ya UMMA wabunge 23 Unachekesha!
 
Aibu kubwa kwa Mwema kwania yeye ni kibaraka wa CCM hata alipotakiwa kutupiwA virago vyake na NHC magamba wakaona yeye ni muhimu kuliko ofisi za wizara na Idara za serikali. NHC wakapigwa STOOOOOOOOP! CCM ni Magamba hayo
 
Back
Top Bottom