Polisi wetu sio watanzania!!!!!!!!!!

DASA

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
1,031
301
Mi nikijaribu kuwaangalia polisi wengi, hata picha ambazo zipo humu JF, nahisi kama hawa polisi sio watanzania. Sura zao hazifanani kabisa. na kwa Jinsi wanavyofanya kazi kulinda maslahi ya watu napata picha kabisa kuna ukweli wa hili jambo. kama kuna mtu ana data zaidi kuhusu hii kitu tuambizane.
 
Back
Top Bottom