Polisi wetu na sheria mkononi-- picha ya Tundu Lisu

Kwa hiyo miaka 50 watoto wanakaa chini mpaka vodacom waisaidie Serikali ndio unaniambia niushirikishe ubongo wangu?Mimi na wewe nani anaropoka yaani wewe unautetea ujinga juu ya ujinga mwingine!!!!?

Kwa suala la elimu hapo umekosea sana! CCM imejitahidi sana kutengeneza sera nzuri ya elimu kiasi kwamba kila mtoto miaka hii ana uhakika wa kumaliza kidato cha nne! Huon haya ni maendeleo makubwa?
Kuhusu suala la madawati, nchi nyingi za africa bado hazijaweza kufanikisha kuendeleza miundominu ya shule zao, especially in rural remote areas where accessbility inakuwa ngumu! Kwa hilo la madawati CCM has nothing to do with it!
 
Kwa suala la elimu hapo umekosea sana! CCM imejitahidi sana kutengeneza sera nzuri ya elimu kiasi kwamba kila mtoto miaka hii ana uhakika wa kumaliza kidato cha nne! Huon haya ni maendeleo makubwa?
Kuhusu suala la madawati, nchi nyKBingi za africa bado hazijaweza kufanikisha kuendeleza miundominu ya shule zao, especially in rural remote areas where accessbility inakuwa ngumu! Kwa hilo la madawati CCM has nothing to do with it!

Kwako mwanfunzi kumaliza kidato cha nne ni ndio maendeleo?Mawazo yako mafupi Kama ya raisi wako Jk aliposema uchumi wa Tanzania umekuwa sababu ya foleni za magari kuwa kubwa so mnafanana kwa akili.Kwa mawazo yako mafupi unanitolea mifano mifupi kwa migongo ya nchi za Afrika.Vigogo wa ccm Siril Chami na William Likuvi wana vibali vya kuvuna magogo serikali yako ya ccm imeshindwa vipi na yenyewe kuvuna magogo na kuwapa kazi JKT watutengenezee madawati sbb misitu tunayo?
 
Mbona hapo haionyeshi akipewa mkong'oto? Natamani sana hao CDM wapewe kichapo cha maana cuz wanatuvurugia amani yetu! Big up Kamanda Masawe, unafanya kaz yako vizuri!

tofautisa AMANI na UTULIVU. Sijui unazungumzia nini?.
 
Hofu je ni kila kitu lazima msuri utumike? Nimemsoma Lissu hata kabla hajawa Mbunge hakulipenda kabisa suala la madini lakini kwa hili Nimepata wasiwasi kidogo ameli handle kisiasa mno
 
Huu ndio uwezo wa IGP wetu kwani yeye kama kiongozi chombo cha kulinda na kutetea haki za kila raia kime mshinda sana ni bora ajiuzulu period no discussion!
 
Kwa suala la elimu hapo umekosea sana! CCM imejitahidi sana kutengeneza sera nzuri ya elimu kiasi kwamba kila mtoto miaka hii ana uhakika wa kumaliza kidato cha nne! Huon haya ni maendeleo makubwa?
Kuhusu suala la madawati, nchi nyingi za africa bado hazijaweza kufanikisha kuendeleza miundominu ya shule zao, especially in rural remote areas where accessbility inakuwa ngumu! Kwa hilo la madawati CCM has nothing to do with it!

nipe data za waliomaliza kidato cha 4 mwaka jana then niambie 70% yao wamefaidika vp na sera nzur ya CCM. Sera ya aliepata div 4 ya 31pts nae unamuita kafaulu?.
 
Wangekuwa vilaza wangeweza kuifikisha nchi ilipo? Acha kuropoka tu, shirikisha na ubongo!
<br />
<br />


Acha hizo wewe,Ccm inaipeleka nchi kaburini,eti wangeifikisha nchi hapa,wapi? Hapa kwenye bei kubwa ya Umeme na Mgao usioisha? Ccm vilaza tu wakiongozwa na Mwenye anayechekacheka kama hamnazo!!!
 
Huu ndio uwezo wa IGP wetu kwani yeye kama kiongozi chombo cha kulinda na kutetea haki za kila raia kime mshinda sana ni bora ajiuzulu period no discussion!

80% ya askari polisi wamefoji vyeti vya form 4 we unategemea wataachwa kuburuzwa?, anaejiamin kwa usomi wake haburuzwi bana!.
 
LISSU Pole sana Kamanda wangu.
Remember Freedom is expensive, msikate tamaa.

Dk Slaa (My President) big up kwa kazi nzuri!
Ingawa haupo Ikulu watu wengi hawajui kwamba
wewe ndiye unaiongoza nchi kwa kutetea wanyonge.
 
Mbona hapo haionyeshi akipewa mkong'oto? Natamani sana hao CDM wapewe kichapo cha maana cuz wanatuvurugia amani yetu! Big up Kamanda Masawe, unafanya kaz yako vizuri!

Baada ya kusoma mchango wako nilikasirika, ila nilipoona avatar yako akili yangu ikatulia.
Bila shaka kuna mambo mengi wewe na avatar yako mnayo 'in common'
 
Polisi wa Kibongo ni kama mbwa wakiambiwa kubweka na mmiliki wao wanabweka wakiambiwa wakae kimya wanakaa kimya, hawajui kutumia akili, sehemu yenye kutumia akili wanatumia nguvu
 
majeshi yetu lazima yale reviewed, hawa wanaopiga piga watu mabarabarani wametoka na div. four na zero wakakimbilia CCP - IQ ndogo unategemea watachambua hoja wanazoagizwa kufanya?

Wakiambiwa tulizeni ghasia, wao wanafyatua risasi za moto, wakiambiwa mkamateni mharifu hata kama hujakataa lakini wao lazima wakupe kisago, wachane nguo zako hapo ndiyo wamefanya kazi.

Mifumo mingi ndani ya nchi hii ni butu, hata huu wa utawala wa sheria ndiyo dhaifu kabisa.
 
Kwa suala la elimu hapo umekosea sana! CCM imejitahidi sana kutengeneza sera nzuri ya elimu kiasi kwamba kila mtoto miaka hii ana uhakika wa kumaliza kidato cha nne! Huon haya ni maendeleo makubwa?Kuhusu suala la madawati, nchi nyingi za africa bado hazijaweza kufanikisha kuendeleza miundominu ya shule zao, especially in rural remote areas where accessbility inakuwa ngumu! Kwa hilo la madawati CCM has nothing to do with it!

Unazungumzia shule za kata ambazo hazina waalimu wala vitabu? Zile shule ambazo waalimu wake wachache ni form four failures? Form four failure anafundisha form four ndio maendeleo ya elimu yliyoletwa na CCM?

Wangeacha mitihani ya kidato cha pilli iendelee ndo ungeona kama shule hizi zingekua na kidato cha tatu wala cha nne ... wangekandamizana kidato cha pili melele maana wasinge faulu.

Aidha angalia zero walizovuna kidato cha nne matokeo yaliyotoka. Hakuna haja ya kwenda mbali ... hebu tujikumbushe kidogo matokeo ya CSEE 2010:

S1930 J. M. KIKWETE SECONDARY SCHOOL DIV-I = 0 DIV-II = 4 DIV-III = 2 DIV-IV = 29 FLD = 52

S2008 JAKAYA KIKWETE SECONDARY SCHOOL DIV-I = 0 DIV-II = 1 DIV-III = 5 DIV-IV = 48 FLD = 76

S1806 YUSUF MAKAMBA SECONDARY SCHOOL DIV-I = 2 DIV-II = 4 DIV-III = 19 DIV-IV = 113 FLD = 314

S3561 SALMA KIKWETE SECONDARY SCHOOL DIV-I = 3 DIV-II = 8 DIV-III = 27 DIV-IV = 119 FLD = 150

S0740 ALI HASSAN MWINYI ISL. SEC. SCHOOL DIV-I = 0 DIV-II = 3 DIV-III = 2 DIV-IV = 38 FLD = 67

Kama hizi shule zilizopewa majina ya vigogo matokeo ndio haya, je zile nyinginezo vijijini?

CDM kanyaga twende hadi kieleweke

 
Hapa hakuna mkono wa CCM, ni ubabe tu wa hawa polisi. Ina maana wao wanaruhusiwa kuchukua sheria mkononi. Lakini kwani hawa polisi wanaishi wapi, mbona tunao mitaani? Kwa nini wanafanya hivyo ilihali ipo siku watasitaafu kazi na kuwa uraini? .
 
Mbona hapo haionyeshi akipewa mkong'oto? Natamani sana hao CDM wapewe kichapo cha maana cuz wanatuvurugia amani yetu! Big up Kamanda Masawe, unafanya kaz yako vizuri!
Do watu wengine sijui wantumia ubongo au m*** nashindwa hata kuelewa. Ama kweli mwehu ata ukimuweka kwenye chupa atanyosha hata kidole ili mradi tu aonekane.
 
lissu pole sana kamanda wangu.
remember freedom is expensive, msikate tamaa.

dk slaa (my president) big up kwa kazi nzuri!
ingawa haupo ikulu watu wengi hawajui kwamba
wewe ndiye unaiongoza nchi kwa kutetea wanyonge.

hakika kaka!
 
CCM wameshindwa nguvu ya hoja, wamekosa nguvu ya uma, wamebaki na nguvu ya Mwema tu. Waangalie wasiwachokoze mno wapinzani kwani ikibidi watatumia nguvu ya uma kuwasukumiza pembeni. Hilo linawezekana sana.

Ni muhimu sana CDM kukusanya ushahidi wote wa mauaji yanayofanywa na serikali ya CCM, na kuweka kumbukumbu za viongozi waliohusika kutoa amri za kuua Watanzania.

Serikali ya CCM haijali Watanzania, lakini inajali jumuiya ya kimataifa. Nadhani muda umefika kwa CDM kujumuisha jumuiya ya kimataifa kwa kuwaandikia barua mabalozi kama ilivyofanya mwaka jana wakati Shimbo alipotishia usalama wa nchi yetu.

Huenda ikabidi sasa kufikiria uwekewaji wa sanctions dhidi ya viongozi wa juu wa serikali ya CCM. Nilidhani hatungefika hapo, lakini kwa kasi hii ya kuua raia hovyo hovyo na kudhalilisha viongozi wao, hakuna kukwepa aibu kama hizo. Kama Rais Kikwete akiwekea sanctions za kumzuia kusafiri Ulaya na Marekani ataonaje?
 
Back
Top Bottom