Polisi wazuia mkutano wa UKAWA Zanzibar

Katiba mpya wanayo magamba walichotaka ni kutaka kujifanya wanajadili kisha wapige kura ,kwakuwa wako wengi ionekane katiba imetungwa na watanzania wote na si maccm (kulikuwa na hajagani kutumia mabilioni kwenye tume wakati katiba tayari wanayo?)
Kwani wakti Ukawa wanavuta posho ya miezi mitatu hawakulijua hilo kuwa CCM wako wengi? Acheni umbulula wa kudhani kila mnachotaka nyie ndio kiko sahihi. Ukawa yenyewe kuna mchanganyiko wa watu mle, mpaka vichaa, wavuta bange n.k. Wamo. Halafu ndio waachiwe kila wanachodhani kutaka wapewe
 
Mimi siwaelewi UKAWA hata kidogo! Yaani badala ya kutunga Katiba Mpya Bungeni, Wao wanazurura tu kukusanya "sadaka!"
Si wamezoea kuwachuma wajinga. Kalenga walivuta milioni mbili mbili, huku nako laki tatu tatu mara wajumbe 190+ jamaa watalamba zaidi ya 57,000,000. Fursa ya uhakika hiyo
 
huu ni uonevu mbona kinana kazunguka nchi nzima bila kikwazo? Hujuma hujuma hujuma hujuma ukawa msikubali km mnataka 2waunge mkono
Subutuuu! Maneno tu nyuma ya pazia, mkiambiwa kwend front hamuonekani mnaacha vijana wa watu wanapofushwa macho na kutenguliwa viuno. Halafu ohooo tutawaunga mkono
 
Kupitia taarifa ya habari ya kituo cha channel ten, nimeona taarifa ya kwamba serikali ya zanzibar imepiga marufuku mikutano yote ya hadhara kwa sababu za kiusalama. Kwa hiyo hata mkutano wa ukawa uliokua ufanyike kisiwani humo hautafanyika
 
Mijadala ya katiba kwa wajumbe walioteuliwa kuandaa katiba mpya iwe Bingeni na isiwe vinginevyo. Hawa UKAWA wasilete ubabaishaji wa kulazimisha hoja zao. Kama vipi serikali ifutilie mbali utungaji wa katiba mpya na tuendelee na tuliyonayo, kuliko kupoteza mamilioni ya pesa wakati Hospitali, shule na huduma nyingine za kijamii hakuna vitendea kazi. Foolish UKAWA!
Yaani leo ndo unakumbuka kuwa Hospitali zinahitaji vitendea kazi?
Halafu watu wa aina yenu huwa munapenda kukimbilia hoja hii na
kulaumu Bunge lakini kuhusu ufisadi na mikataba munakuwa mabubu.
 
ccm wanahaha! tatizo ni nini? si waendelee na vikao wapitishe katiba tu fasta
 
:what:
 

Attachments

  • 1397848573652.jpg
    1397848573652.jpg
    21.8 KB · Views: 111
Hahahaaa,police yakomalieni maukawa yarudi bungeni mjadala uliko yaendelee kupigwa PINI na watoto wadogo kina UMMY MWALIMU
 
mjadala wa Katiba mpya ni Bungeni tu na si vinginevyo! Nje ya hapo ni uhuni na hayo MA-UKAWA yakiongozwa na Prof UCHWARA yapigwe marufuku kufanya mikutano popote Tanzania. Yarudi Bungeni ambako tunayalipa pesa mamilioni kila siku na sasa yanaanza kuzurura nje ya Bunge.Foolish MA-UKAWA!
 
Policcm, tbcccm, necccm, bmkccm hebu wadau nikumbusheni na taasisi zingine kama nimezisahau!!
 
Back
Top Bottom