Polisi waongezwa usiku huu Arumeru Mashariki kushinikiza Siyoi kutangazwa?

Hakuna cha kumuomba mungu hapa, dawa ya moto ni moto, kuomba mungu wakati mwenzako hamfahamu wala hamuitaji huyo mungu wako ni kazi bure, cha msingi ni kukaba mpaka penalt. hawa jamaa wana sura za mbuzi hawana aibu hata kidogo.
 
Wamejaribu kuiba lizaboni songea but wameshindwa .chadema wameshinda
 
Tulianza na Mungu, Napiga Goti nikiomba, Tumalize na MUNGU.
 
mi naomba wanaarumeni tuwe tayari kutetea haki yetu tulioweka kwenye karatasi haijarishi wanakuja vipi hawa wamezoea dawa pambaneni haki haiji kwa mazungumzo hata siku moja!
 
Back
Top Bottom