Polisi waongezwa usiku huu Arumeru Mashariki kushinikiza Siyoi kutangazwa?

Mlingwa

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
381
58
1. Kutoka ndani ya wana-usalama, Wana CCM wamejipanga kwa kila hali ili kuchakachua matokeo na kisha Sumari kutangazwa mshindi.
2. Kuna magari yanaelekea Moshi standby kwa ajiri ya Sherehe, police wapo njiani kutokea Korogwe, Tanga, Handeni, Same na Mwanga kuimarisha ukandamizaji dhidi ya wapenzi wa CHADEMA,
3. Wamejipanga kupitia kwa adengenye kuzuia mikusanyiko yoyote kuanzia usiku huu.

My TAKE: Tuendelee kumtegemea Mungu for the fate of Arumeru East, lakini haki au Justice lazima itendeke.
 
Msiogope watafurahi Arumeru wenyewe, hii siyo Zanzibar watu waende Shimoni Kenya patachimbika Arumeru.
 
Jamani walio Usa kuna nini huko ktk taarifa ya habari TBC1 wamesikika wakimuuliza afande wa ulinzi ''vipi mbona nasikia milio ya risasi?''
afande akasema '' labda vijana watakuwa wameenza fujo''
tujuzeni basi kunani?
 
Angalieni jamani wasije wakatafuta mwanya wa kuanza kupenyeza kura zao za uwizi. Yaani CCM bwana.
 
Tumuombe mungu.wana wa israel waliishi utumwani na musa ndiye aliwatoa utumwani kwa maelekezo ya mungu. Mungu aliwavusha red sea.mungu anatuongoza na nina uhakika atatuvusha. Wizi wa kura mwisho wake ni sasa
 
Mbona watu wana hofu? Chadema lazima ishinde tumesha muomba Mungu, wizi hauta fanikiwa
 
Back
Top Bottom