Polisi wamempora/kumpiga mwanangu

Na ni kweli kwa polisi ukijieleza vizuri hawana shida,hata km wana njaa kiasi gani,au labda huyo mwanao alikuwa na michuzi kibao?Si unakumbuka sakata la kina Zombe?
 
Hawa policcm ni njaa tu..
Kifuatacho jino kw jino km anamkumbuk ni bora kumvizia kitaa.tu mnampa nakoz afu anacndikizw na cndano za nyuma aende nai akapigwe bomba kbs...
Haw jamaa cjui wanarogwa kabla yakuvaa ile migwanda yaan cwaelewag kbsaaa
 
Back
Top Bottom