Polisi wakiwa kazini benki ya CRDB

Polisi wa TZ wanaudhi sana tena sana - niseme ni KERO kwa kwenda mbele .....................hivi huyu kijana akifa - si inabidi wafunguliwe kesi ya mauaji????? Wameshamkamata bado wanampiga - wanamtolea kijana wa watu frustrations zao za maisha - si waipige serikali ya sisiemu kwa kutufikisha hapa tulipo???? Yaani kijana wa watu hadi damu inamwagika ..................hii ni sawa kweli???? suppose ni kaka yako, suppose ni mdogo wako, suppose ni shemeji yako........suppose ni mwanao......................ahhhhhhhhhh anauma HUYU KIJANA ATAKUWA MGONJWA TU - APATE WAPI UJASIRI WA KUPIGA MAWE MCHANA KWEUPEEEEEEE .... HALI KILA MTU ANAMWONA ........TENA ANAYARUSHA KWA MBALI ....MUNGU MHURUMIE - MPONYE NA MRUDISHIE AKILI ZAKE TENA ...........AMEN ..............OLE WAO WANAOINGIZA MADAWA YA KULEVYA NA KUFANYA BIASHARA HIYO HARAMU....NDIO MATOKEO HAYO .....VIJANA WA KITANZANIA WANAATHIRIKA

TAFRANI imetokea katika Benki ya CRDB, tawi la Azikiwe,baada ya kijana mmoja aliyehisiwa kuwa jambazi kurusha mawe kwenye vioo vya benki hiyo na kusababisha wateja kukimbia ovyo wakidhani wamevamiwa. Tukio hilo lilitokea jana mchana, ambapo kijana huyo anayedhaniwa kuwa akili yake imeathirika kwa kubuia dawa la kulevya 'Teja' kurusha mawe kuelekeza kwenye jengo hilo na kuvunja vioo.

Baadhi ya wateja walianza kutimua mbio kutoka nje huku wengine wakilala chini kuhofia maisha yao. Baada ya kuona hivyo, Polisi waliokuwa kwenye lindo la benki hiyo, walifyatua risasi juu wakidhani majambazi wamevamia benki hiyo. Lakini baada ya muda walimuona kijana huyo aliyekuwa katikati a Barabara ya Azikiwe karibu na kituo cha Daladala cha Posta Mpya, akiendelea kurusha mawe.

Polisi walimuendea na kufanikiwa kumdhibiti na kuanza kumpatia mkong'oto wa nguvu, huku wanachi wenye hasira wakitaka nao waruhusiwe kumwadhibu. Ndani ya benki hiyo hali ilikuwa shaghalabaghala, kwani mitungi ya maua na baadhi ya nyaraka zilitawanyika ovyo, huku wakioneakana baadhi ya wateja wakiwa wamezirai na wengine wakilia baada ya kupotelewa na nyaraka muhimu za benki vikiwemo kadi na fedha taslimu. Wakati tukio hilo ilitokea, pia hali haikuwa nzuri kwa wafanyakazi wa benki hiyo, kwani baadhi walisikika kuwa walipatwa na hofu kubwa kiasi cha baadhi yao kukimbilia kujificha vyooni na kuacha kaunta zao.

Problem ni kua serminars hutolewa tu kwa wakubwa na sio kwa police vyo vya chini... juu ya haki ya raia, na which line they are allowed to cross once wakikutana na mhalifu (which unfortunately in this case ni wazi kabisa kua huyo kweli ni mgonjwa on the basis kua mtu na akili yake timamu hawezi rusha jiwe na kuvunja kioo makusudi akiwa kati kati ya barabara and for all to see...)

Police wa hapa inchini kwetu unakamatwa kwanza na kua treated kama mhalifu, mengine yatafuata.... iwe kweli au uongo... Sad.

Shit.... Uonevu mtupu. Polisi elimu ndogo, ufundi sifuri, maadili ziro rushwa na ghadhabu kibao. Tumewazoea ndivyo walivyofundishwa na vilaza wao. Tena askari wa hivyo atapendwa sana na bosi wao. Huyu kijana amechoka na serikali mbovu maisha magumu na wawekezaji wabovu kama hao mara atm hazina mtandao.... Wakati imeandikwa 24hrs. Kaka watwange mawe tu wala sishangai.

Atm 24 hrs is it true???????, mara mtandao, mara haina hela, mara umeme sasa kwanini msipigwe mawe shit.....

Wana JF last week no this week nilisema hii hadhima iliyo nikuta nami na hao CRDB mtandao uko down more than 6 hrs jamani Kimei na wenzako mlikuwa mwafanya nini au ndio hizo transaction za peza na mawaziri kwenye Budget ndio zinapita maaana CRDB kwa kuhusika na scandal za Serikali kupitisha Pesa inaongoza watu wakitoa ushaidi wa accounts ilifunguliwaje unakuta ati ilifunguliwa tena Jpili nani aliye authorized ni kimei hivi kweli hii nchi tutaamini kweli wakati mitandao ina fail sindio tutajua mnachakachua mambo esp kipindi hiki cha Bunge la budget?

Kijana-1.JPG

Huyu polisi kwa nini anampiga teke wakati wamekwisha mdhibiti? Hii ni abuse. Vile vile inaonekana hawana hata bangili hawa warudi tena wakafanye mafunzo.

Wana JF ,
Ombi hiili ni kwa vyombo vya habari, Naomba hii picha itolewe kesho kwenye magazeti yote kupinga hilo tukio halisi kwa kweli kama Vyombo vya habari vinatakia mema wananchi wake na haki kufuatwa hili walisifumbie macho.

Ki akiri askali ulipaswa kwa haraka haraka ujiulize huyo mtu anapo rusha mawe ni anamatatizo gani tena mchana kweupe,

Clouds FM kipindi cha Jahazi jioni leo hili nalo mliongeleeee ni kero hizi Askari wetu nao ni sijui hawajui wajibu wao wa kazi ndio hata kama nao wanafanya kazi katika mazingira magumu lakini mtu ulisha mshika na umemdhibiti ya nini tena umpige

Huyu polisi kwa nini anampiga teke wakati wamekwisha mdhibiti? Hii ni abuse. Vile vile inaonekana hawana hata bangili hawa warudi tena wakafanye mafunzo.

polisi wenyewe wavuta bhange

Bunge lazima litunge sheria kudhibiti vitendo vya kinyama dhidi ya wahalifu. Huo ni ukatili na hao askari wanatakiwa kuwajibishwa mara moja.

Unajua hawa polisi wananishangaza, weshamkamata, kijana yupo chini, si wamfunge pingu basi?, au kama alivyosema mchangiaji mwingine wanamtolea kijana wa watu frustrations zao kwa kumkung'uta!

Pia nahisi wanajionesha ubabe wao tu hapo. Kama wanataka mtu au wezi wa kuwapiga nadhani wangeazia bungeni kwetu, kwani wezi ndo wamejaa mle ndani! Mnajua uonezi mingine unitia hasira sana!

Investigation inatakiwa ifanyike!! huenda kukawa na kundi ya watu nyuma yake waliokuwa wanahusika zaidi na wengine huenda walikuwa ndani ya bank, kijana aliporusha jiwe wateja wakatafaruki na wenye dili kumaliza mission kiulainiiiiiiiiiiiiiiii.

Matatizo kama haya yanatakiwa taasisi huru kama NCIS (National Criminal Invistigation System). Lakini kwa nchi yetu, itachukua miaka mingi kufikia hiyo hatua!

Umesema kweli kijana. Hizo nyaraka na pesa taslim za wateja wa benki ZILIPOTEA KWA NAMNA gani kama si tukio hili kupangwa. Kwenye matukio kama haya, ambayo watu huhofia maisha yao, basi, ni kawaida mtu kuokoa maisha yake kwanza pasi na kujali kile alichonacho, na anapozinduka na kugundua amepoteza nyaraka na/au pesa, hapo ndipo kilio kinapotokea.

ILIPANGWA HII! NI DILI!

./Mwana wa Haki

UKIWA RAIA WA TANZANIA TEGEMEA KUPATA HAKI MBINGUNI..................................NI MENGI tumeyaona na viongozi wetu wameona watanzania maskini hawahitaji Mema ya Nchi..Hawa police wanaforce kuwa kazini..Umeshampata mhalifu unemmiliko kipigo cha nn.?????PEOPLES POWER THEY CAN MAKE CHANGES WHICH I BELIEVE IS GOOD FOR ALL...

LET US CALL FOR CHANGES 2015 AND WE ALL KNOW OUR PRESIDENT.....................................................................
Tanzania bila kipigo inawezekana,Tanzania bila Rushwa inawezekana, Tanzania bila mafisadi inawezekana..

Kijana-1.JPG

Huyu polisi kwa nini anampiga teke wakati wamekwisha mdhibiti? Hii ni abuse. Vile vile inaonekana hawana hata bangili hawa warudi tena wakafanye mafunzo.

UKIWA RAIA WA TANZANIA TEGEMEA KUPATA HAKI MBINGUNI..................................NI MENGI tumeyaona na viongozi wetu wameona watanzania maskini hawahitaji Mema ya Nchi..Hawa police wanaforce kuwa kazini..Umeshampata mhalifu unemmiliko kipigo cha nn.?????PEOPLES POWER THEY CAN MAKE CHANGES WHICH I BELIEVE IS GOOD FOR ALL...

LET US CALL FOR CHANGES 2015 AND WE ALL KNOW OUR PRESIDENT.....................................................................
Tanzania bila kipigo inawezekana,Tanzania bila Rushwa inawezekana, Tanzania bila mafisadi inawezekana..
[/QUOTE]

Mtoa taarifa anasema kuwa polisi walianza kupiga risasi, inamaana walianza kupiga piga tu bila hata ya kumwona mtuhumiwa? Hii ni hatari sana. Inaonyesha walivyodhaifu katika shughuli zao. Je, kama kweli wangekuwa ni majambazi na wao risasi zimewaishia, ndo maana basi wanauawa ktk matukio. Kwani hawa "spot" mtuhumiwa alipo bali wanakurupuka tu na kupoteza risasi. Vile vile walichotakiwa ni kutumia akili kidogo tu kuwa mbona risaspekti harikimbii? Hivyo kumpa hadhi ya mtu aliyechanganyikiwa, na baada ya kumkamata kazi yao ilikuwa kumtia pingu kisha haraka sana kumwondosha eneo la tukio.
Kwa upande wa kijana wetu, ieleweke kuwa wengi wa vijana wetu maisha yamekuwa ni mabaya ikizingatia mgawanyo mbaya wa keki yetu. Serikali hapa ina lawama ya kubeba iwapo kijana huyu si mgonjwa wa akili. Jamani hii ni dhahili ukizingatia kinachoendelea DSM sasa kwa Idd Simba kulambishwa 200,000,000/= za UDA. Je, huyu atapigwa kwa risasi gani?

Aliyeisoma Majira ya 31 Julai atakubaliana na hoja yangu kuwa kuna mgawanyo mbaya wa keki ya Taifa kitu ambacho kinafanya vijana wetu wachanganyikiwe. Majira iliandika kuwa "Serikali kugawa ekari 800,000 kwa Mzungu". Bado ikadokeza kuwa PINDA atembelea wawekezaji hao, aunga mkono. Taarifa hii inatudhihirishia kabisa viongozi wetu hawana upendo na sisi ila kujali maslahi yao tu. Ni dhahiri kabisa miaka 30 ijayo tujiandae kwa Nyerere mwingine ili kuikomboa nchi yetu dhidi ya ukoloni ambao leo viongozi wetu wanatuingiza kama ilivyokuwa kwa machifu wetu. Ekari 800,000!!!!!!

....ni PM, pekee wa Tanzania aliyethibitika kushindwa kuliko watangulizi wake wote!!!!!

Investigation inatakiwa ifanyike!! huenda kukawa na kundi ya watu nyuma yake waliokuwa wanahusika zaidi na wengine huenda walikuwa ndani ya bank, kijana aliporusha jiwe wateja wakatafaruki na wenye dili kumaliza mission kiulainiiiiiiiiiiiiiiii.

Matatizo kama haya yanatakiwa taasisi huru kama NCIS (National Criminal Invistigation System). Lakini kwa nchi yetu, itachukua miaka mingi kufikia hiyo hatua!

kweli kabisaaa.
Hata kama huyo kijana ana upungufu wa akili achunguzwe vizuri.

Tumia hekima broo.We ungependa wambeleze wakati amesabisha mambo ya ajabu hvyo?
Polisi wa TZ wanaudhi sana tena sana - niseme ni KERO kwa kwenda mbele .....................hivi huyu kijana akifa - si inabidi wafunguliwe kesi ya mauaji????? Wameshamkamata bado wanampiga - wanamtolea kijana wa watu frustrations zao za maisha - si waipige serikali ya sisiemu kwa kutufikisha hapa tulipo???? Yaani kijana wa watu hadi damu inamwagika ..................hii ni sawa kweli???? suppose ni kaka yako, suppose ni mdogo wako, suppose ni shemeji yako........suppose ni mwanao......................ahhhhhhhhhh anauma HUYU KIJANA ATAKUWA MGONJWA TU - APATE WAPI UJASIRI WA KUPIGA MAWE MCHANA KWEUPEEEEEEE .... HALI KILA MTU ANAMWONA ........TENA ANAYARUSHA KWA MBALI ....MUNGU MHURUMIE - MPONYE NA MRUDISHIE AKILI ZAKE TENA ...........AMEN ..............OLE WAO WANAOINGIZA MADAWA YA KULEVYA NA KUFANYA BIASHARA HIYO HARAMU....NDIO MATOKEO HAYO .....VIJANA WA KITANZANIA WANAATHIRIKA

Nashangazwa na hizo risasi zilizofyatuliwa na polisi.
Walikuwa wanamlenga nani?

Back
Top Bottom