Polisi wafanya uvamizi Nyumbani kwa Lema Usiku...

Status
Not open for further replies.
Ni vyema ukajikita kwenye hoja kuliko kuongea stori za kitoto, kunitukana mimi haitakufanya ujue kwa nini polisi wameenda kumtembelea Lema wakati akiwa amepumzika nyumbani kwake

We nawe kwanini usinyamaze tu, Michango yako yote ina makengeza na pia ina miguu ya kushoto... unashupalia utadhani Mwigulu.
 
Ww msukule wa lumumba kazna tu alafu usisahu asubuhi kuchukua mshiko wako wa buku 7 kwa Nepi.

Mimi siongei kwa kubahatisha.

Look, una siku kama 450 toka ujiunge JF na mpaka sasa una mabandiko 4061. Ukigawanya na hizo siku unaonyesha wastani wa mabandiko 10 kwa kila siku. This is shocking.

Unajitaji holiday, kumbuka kitengo cha mitandao hakiko kikatiba ndani ya CHADEMA, kwa maana kuwa, wewe hutambuliwi kisheria na kama utaugua dementia hakuna fungu la kukutibu.

Take care with your body. Kwani siasa ndiyo umezianza wewe?. Yaani wewe unaweza kuitetea CHADEMA zaidi ya Mbowe na Slaa?.

I hope, this is not a joke!
 
teh teh nawaomaba sana hao policcm wakinukishe vya kueleweka ikiwezekana wamtandike sana LEMA .ikiwezekana hata dam imwagike labda ndio taifa letu litakomboka na huyu mkoloni mweusi CCM.maana kama raia wa kawaida washa uriwa sana na hawa policcm..wame muua MWANGOSI kimya ULIMBOKA nae kanusurika kurest in peace lakini wapiii watanzania tumelala fofofo
 
magamba kwa kutapatapa bwana, badala ya kutatua tatizo la wanachuo waliorudishwa makwao.
wanaanza kuangaika kulipiza visasi kwa kutumia nguvu ya dola.
huu ni upotoshaji mkubwa wa hali halisi na fikra za watu...
 
Huo utaalamu wa kujitengenezea sm mnao nyie magamba, Marando aliwaumbua mlipotaka kumbambikia Mnyika kesi. Sasa mkuu wa mkoa alivyokuwa fyatu yule anashindwa nini kukurupuka na kumtumia Lema sms hiyo? we kwa akili yako unamuona mulongo zinamtosha???

Mkuu Mwita Maranya, hawa watu wanajidhalilisha sana humu, ingekuwa bora kama wangenyamaza kimya kuficha upumbavu wao. Wengine mpaka wanasau jana waliandika nini na leo waandike nini ili wasichanganye mambo.

Kuwa kilaza ni gharama kubwa sana.
 
Huyu hana ujasiri wowote zaidi ya kutembea na sumu ya panya mfukoni.
Na kama angekuwa jasiri basi ile sumu angeifikisha alikotumwa.
Anashinda hapa kuchochea vijana wakati yeye mwenyewe hatujawahi sikia hata siku moja akijikita mtaani kujiunga na makamanda wengine
you deserve hell.... inatia simanzi kuona kijana unasaliti watanzania wenzio kwa sababu ya mali hebu acha uchumia tumbo unaolitesa taifa tamani siku moja TZ iwe kama hapo ulipo ili usiteseke na kudharaulika kama mnavyodharaulika sasa huko tunataka mabadiliko shout aloud we need changes
 
Mimi binafsi sishangai na haya yanayoendela. Sisi waTZ Ndio tuna matatizo makubwa kwa kuendelea kukubali kutawaliwa na hawa ccm. Nashindwa kuelewa sisi watanzania kama kweli tuna nia ya dhati ya kujikomboa.

Kama nchi zingine wameweza kuzitoa serikali dharimu madarakani kwa nini sisi tunashindwa? tunaogopa nini? Tukae tukijua, ccm wanatuona wapumbav na mabwege ndio maana wanafanya lolote watakalo na sisi tunaendelea kulalamika humu. Wanajua hatuwezi kuwafanya lolote.

Tukae tufahamu kuwa hawa ccm hawana nia njema na sisi raia, pia tusije kutarajia kuna siku itafika watatuita kwenda kuchukua haki yetu, NEVER. Sasa kwa kuwa tumekubali kuendelea kutawaliwa na awa madharimu, basi hatuna budi pia kukubali kile watufanyiacho.
 
Updates kutoka nyumbani kwa
Mbunge Lema!!

Askari zaidi wameongezwa, Kuna
kikosi cha mbwa kipo kinazunguka fensi ya eneo la Mbunge.

Bado kuna majadiliano na viongozi wa Chadema..

Wanachama na wapenzi wa Chadema wazidi kuja eneo hili kukesha ili kuhakikisha usalama wa mbunge wao..

Waliopo hawana mpango wa
kuondoka.

Source;Seria Mtoto
 
Kweli tanzania inaitaji viongozi wenye uvumilivu na wasio kurupuka.huyu mkuu wa mkoa kweli anasikitisha.uwezo wake unampa kila mtu mashaka.kama anaweza kuongea maneno ya uchochezi mbele ya waandishi wa habari.na ameshindwa kuongea na wanafunzi wa chuo.je ana uwezo wa kuongoza arusha?kweli arusha iko kazi.mungu ibariki arusha mungu ibariki tanzania
 
Mkuu Mwita Maranya, hawa watu wanajidhalilisha sana humu, ingekuwa bora kama wangenyamaza kimya kuficha upumbavu wao. Wengine mpaka wanasau jana waliandika nini na leo waandike nini ili wasichanganye mambo.

Kuwa kilaza ni gharama kubwa sana.

Mkuu hawa watu utawajua kwa hoja zao na uwezo wao wa kufikiri
 
Updates kutoka nyumbani kwa
Mbunge Lema!!

Askari zaidi wameongezwa, Kuna
kikosi cha mbwa kipo kinazunguka fensi ya eneo la Mbunge.

Bado kuna majadiliano na viongozi wa Chadema..

Wanachama na wapenzi wa Chadema wazidi kuja eneo hili kukesha ili kuhakikisha usalama wa mbunge wao..

Waliopo hawana mpango wa
kuondoka.

Source;Seria Mtoto
Kma kweli una uchungu na Lema unaonaje na wewe uende nyumbani kwake badala ya kutoa update kutumia source za wengine? Tunataka updates kutoka kwako ukiwa mstari wa mbele eneo la tukio, sio kuwatuma vijana mnawafanya chambo wapigwe marungu
 
Huyu hana ujasiri wowote zaidi ya kutembea na sumu ya panya mfukoni.
Na kama angekuwa jasiri basi ile sumu angeifikisha alikotumwa.
Anashinda hapa kuchochea vijana wakati yeye mwenyewe hatujawahi sikia hata siku moja akijikita mtaani kujiunga na makamanda wengine
Ben Saanane is smart for nothing and smart for brainless.

Mpiganaji ni yule akisikia kimenuka anakuwa wa kwanza ground zero kupambana. Huyu jamaa akisikia kimenuka huwa wa kwanza kwenye keyboard ku-update.

Nimempa ushauri wa bure angalau aonyeshe mshikamano ndani ya CHADEMA kwa kupanda basi kesho na kuelekea Arusha kuongoza mapambano uso kwa uso na mkono wa dola badala ya kujifucha uvunguzi na laptop.

Yaani yeye ana bahati gani hajaweza hata kukamatwa achilia mbali kupata kipigo na kusimama mahakamani. Cha kushangaza, unazifahamu tarehe za kesi za makamanda vizuri kweli.

Tunataka na ya kwake tuione na kui-update akiwa kizimbani kama anavyofanya kwa makamanda wengine.
 
Last edited by a moderator:
Kweli tanzania inaitaji viongozi wenye uvumilivu na wasio kurupuka.huyu mkuu wa mkoa kweli anasikitisha.uwezo wake unampa kila mtu mashaka.kama anaweza kuongea maneno ya uchochezi mbele ya waandishi wa habari.na ameshindwa kuongea na wanafunzi wa chuo.je ana uwezo wa kuongoza arusha?kweli arusha iko kazi.mungu ibariki arusha mungu ibariki tanzania

unfortunately hiyo ndiyo Tanzania ya leo. Iwapo Bungeni watu wanazungumza matusi ya nguoni bila kuchukuliwa hatua yoyote kutokana na chama chao, je unadhani wale walio na mamlaka ya kutoa amri za kijinga hivi watafanya nini.
 
Ben Saanane is smart for nothing and smart for brainless.

Mpiganaji ni yule akisikia kimenuka anakuwa wa kwanza ground zero kupambana. Huyu jamaa akisikia kimenuka huwa wa kwanza kwenye keyboard ku-update.

Nimempa ushauri wa bure angalau aonyeshe mshikamano ndani ya CHADEMA kwa kupanda basi kesho na kuelekea Arusha kuongoza mapambano uso kwa uso na mkono wa dola badala ya kujifucha uvunguzi na laptop.

Yaani yeye ana bahati gani hajaweza hata kukamatwa achilia mbali kupata kipigo na kusimama mahakamani. Cha kushangaza, unazifahamu tarehe za kesi za makamanda vizuri kweli.

Tunataka na ya kwake tuione na kui-update akiwa kizimbani kama anavyofanya kwa makamanda wengine.
Wanasema kwenye msafara wa mamba na kenge wamo,
Huyu dogo ni kenge namba moja, anatembea huku akigeuka geuka sana nyuma kwa woga
 
+255 754 960 276 Magesa Mulongo.
Naona anajitahidi kukamilisha yale aliyoandika kwenye msg aliyomtumia Lema
 
Kma kweli una uchungu na Lema unaonaje na wewe uende nyumbani kwake badala ya kutoa update kutumia source za wengine? Tunataka updates kutoka kwako ukiwa mstari wa mbele eneo la tukio, sio kuwatuma vijana mnawafanya chambo wapigwe marungu

we chilisosi nahisi sio mzima (rizi------hiki), kama vp jiunge na bilali mashauzi....watu wanaongea senses we unaleta upuuzi hapa umetumwa? ebu tuliza msho-------no huo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom