Polisi kuuwa raia wasiyo na hatia ruksa!

Masanyaraz

Member
Jun 10, 2011
41
1
Nijambo la kuhuzunisha kama siyo kusikitisha,kwa kiongozi aliye aminiwa na wananchi kuwawakilisha katika serikali na kuwatetea,anageuka kuwa mwiba kwa walio mpeleka.
Mh. Mbunge mmoja wa moja ya majimbo mkoani dodoma,anachangia hoja ya bajeti ya wizara ya mambo ya ndani
anadiriki kusema,
polisi mwenye silaha awapo katika kulinda amani aonapo raia wanaandamana kumkabili ni ruksa kufyetua risasi kuwaelekea raia.
NB;wananchi wanaandamana kwa amani na hawana silaha yeyote.
Sasa nihoji,polisi ni kwaajili ya viongozi au nikwaajili ya ulinzi wa raia na mali zao!na wananchi wanapo andamana,lengo ni kufanya fujo,vurugu au kufikisha ujumbe!
Tukipewa haki kimsingi,maandamano yatakuwepo?ama tusipo andamana au kuweka hadhara tutasemea wapi tusikike,ikiwa hata wawakilishi wetu huko wanatubadilikia na hao wachache wanaopigania haki zetu,wananyimwa haki ya kuongea na wengine kutolewa nje.
Naomba kuwasilisha.
 
Kwahiyo sheria inaruhusu kuwauwa wasio na hatia!hatakama mtu anahati ndiyo auwawe?kwani hakuna vyombo vya kushughulikia makosa?
 
Nijambo la kuhuzunisha kama siyo kusikitisha,kwa kiongozi aliye aminiwa na wananchi kuwawakilisha katika serikali na kuwatetea,anageuka kuwa mwiba kwa walio mpeleka.
Mh. Mbunge mmoja wa moja ya majimbo mkoani dodoma,anachangia hoja ya bajeti ya wizara ya mambo ya ndani
anadiriki kusema,
polisi mwenye silaha awapo katika kulinda amani aonapo raia wanaandamana kumkabili ni ruksa kufyetua risasi kuwaelekea raia.
NB;wananchi wanaandamana kwa amani na hawana silaha yeyote.
Sasa nihoji,polisi ni kwaajili ya viongozi au nikwaajili ya ulinzi wa raia na mali zao!na wananchi wanapo andamana,lengo ni kufanya fujo,vurugu au kufikisha ujumbe!
Tukipewa haki kimsingi,maandamano yatakuwepo?ama tusipo andamana au kuweka hadhara tutasemea wapi tusikike,ikiwa hata wawakilishi wetu huko wanatubadilikia na hao wachache wanaopigania haki zetu,wananyimwa haki ya kuongea na wengine kutolewa nje.
Naomba kuwasilisha.

Mkuu naona umesahau 'Motto wa JF' kwamba JF is where we dare to talk openly..hapo kwenye bold naona kama vile unanidhamu ya woga vile..kama unaona huwezi kutueleza vizuri bora usijaze server bure.. aliesema hayo maneno ni Mbunge wa Kibakwe, Mh Simbachawene...
 
I heard SIMBA CHW WENE,,,,,NA AKAJINASIBU KUWA YEYE NI MWANASHERIA

Wala siwezi kushangaa, namkumbuka huyu simbachawene miaka ya 1980's tukiwa pamoja wanafunzi wa Mazengo Secondary (kwa sas St John Univ.) alikuwa mwenyekiti wa anasa na starehe, kazi yake kubwa ilikuwa kuwafukuzia mabinti wa Msalato secondary, kichwa chake ni sifuri kabisa, sidhani kama huwa anawaza kwa kutumia kichwa.
 
Bila shaka chawene alicho kifuata bungeni hakijui,labda wapiga kura wake hawajui wajibu wa mbunge kwao.
 
PUMBAFU zao wote wanaotoa maamuzi kwaajili ya manufaa yao,hongera na kazeni buti mnaopigania maslahi ya wananchi,hususani sisi wa hali ya chini.
 
we are at war..hivi hamuoni malawi?, the saga begins, beget war
I draw first blood be the first to set it off....
msinipige ban....
 
Kwa maelezo aliyoyatoa na mwisho akajiita mwanasheria nimelazimika kumfananisha na chizi wa milembe..anaongea kama vile kura alijipigia mwenyewe..yaani raia hawapaswi kuandamana sio? wakiandamana wapigwe risasi kwa sababu wataua polisi??s****ini...Kwani ni lazima Polisi wakazuie watu kuandamana?wakiaacha waandame na kutoa dukuduku lao mnakosa nini nyyie magamba? hamtaki kujifunza kupitia makosa yenu...? Saa yaja,watu watachukua maamuzi ya kupambana na nyinyi wasema hovyo wa magamba kina simbachawene mtakuwa wa kwanza kuwashwa moto..endeleeni kutetea mauaji
 
Ni product ya OUT iyo jamani kwa vifo vya watu 50 sio issue sasa sijui wakifa wangapi kwake ndo issue kuna haja ya mwongozo apo
 
huwa likitajwa polisi, ikitajwa ccm natamani niwe mtoa hukumu, ningejua namna ya kufanya, ningeunguza zaidi ya osama.
 
Siku zinakuja,nyakati zimekaribia!naam zimekwishafika,kilichobaki nikuchukua hatua nzito kwa hawa WAPUMBAFU wachache ili kusudi tuishi kwakuheshimiana.
 
Back
Top Bottom