Polisi Kenya wapata Mamilioni kutoka kwa Mganga wa Kienyeji wa Tanzania

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Polisi Kisumu nchini Kenya wamefanikiwa kupata KSh milioni4 walipovamia kwa mganga mmoja anayedaiwa kutokea Tanzania
uploadfromtaptalk1472071026448.jpeg
 
Mh.,! Alikuwa nani huyo msituondowe kwenye nyuzi zetu za mana ktk nchi yetu.kamilisha taarifa
 
Sawa wamemkuta nazo. Mkuu jazia taarifa
1.sababu ya kumvamia ?
2.je ni makosa kwa masangoma kufany kazi kenya
3.ni makosa kumiliki kiwango hicho cha hela..

Kama imeshindikana naomna utupe SOURCE tukashuhudie wenyewe
 
Sio chuki mkuu.Waganga wa kienyeji mara nyingi wanatumia udanganyifu na viini macho kujipatia fedha chafu.Wengi wanakiri kwamba wanatumia mbinu hizo.Sio vibaya kupata fedha,lakini pata kwa njia halali.
utakufa na chuki zako,chemtrail
 
Tuboreshe hii sekta itatuletea Dolari za kutosha maana tunaaminika huko ughaibuni.
Cc. DIASPORA representative.
 
Back
Top Bottom