Boney E.M.
JF-Expert Member
- Jan 22, 2007
- 425
- 36
Tumekuwa na tatizo na kiwanja chetu kuvamiwa na mijitu yenye pesa ambayo haina hati za ardhi. Hata baada ya kuwaelewesha askari wa kituo cha Kawe juu ya tatizo hili wao wameendelea kujibaraguza eti hawaingilii masuala ya Viwanja- Je ni kweli? Inawezekana maafisa wa ardhi na askari hawa lao moja. Matatizo haya yako zaidi ktk maeneo ya viwanja vya Mbezi Beach. Namshauri Bw Mwema awe anawahamisha askari wa kawe baada ya kukaa muda mfupi kwani wanazoeana sana na maafisa ardhi.