Polisi kasulu wameua tena

kajunju

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
999
315
Ikiwa ni takribani miez miwili tangu polisi waue raia wa kijiji cha rungwe.juzi tena wameua mkaz wa kijiji cha mnyegera.rai huyu alikamatwa baada ya wananchi kuwachoma majambazi waliomuua kijana mfanyabiasha.

Badae rafiki wa majambazi walitoa taarifa polisi ili wananchi waliochoma majambazi wakamatwe. Juzi juzi polis walienda kijijin kumkamata raia mwema aliyeisiwa kuchoma jmbazi.siku 2 badae polis wamerudisha raia mwema alikamatwa ameshafariki.wananch wamegoma kuzika.

Uongoz wa polis mkoa uko hapa unafuatilia huku wananchi wako ngangari kutozika.

Chanzo: raia wa mnyegera, nami mwenyewe kwani polisi wako mkao wa taadhari wote
 
Tangu mchana huu,zimeletwa gari 2 zimejaa ffu.wananchi wa mnyegera walitaka waandamane hadi kituo cha polisi kasulu.hali bado ni tete kwani maaskari wanapatrol na marehemu hajazikwa bado
 
Back
Top Bottom