technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
View attachment 400014
Serikali ikitaka kutohujumiwa isijaribu kuwahujumu wanachi wake .
Bukoba inasemekana kuna watu wamezuiliwa kutoa misaada kisa tu wao si ccm yaani ni wapinzani wa ccm .
Tukiseama ccm inawahujumu wanachi wake tutakuwa tunakosea?
Kuna watu wanakamatwa na kunyimwa zamana police mpaka Lissu anashinda mahakamani kusubiri wateja mpaka atoe matamko ndipo watu waachiwe,Tukisema serikali kupitia jeshi la police inawahujumu wanachi tutakuwa tunakosea?
Kuna utafiti ulifanyika kuhusu bunge Kututoonyeshwa live 86% ya watu waliaani kitendo cha bunge kutokuonyeshwa live na kuiambia serikali iludishe bunge TBC na liwe live lakini mpaka sasa hivi kimya Tukisema serikali inahujumu wanachi tutakuwa tunakosea?
Wakulima wamelima mazao Kwa wingi lakini cha kushangaza Serikali imekataa kununua na zaidi imekataa usafirishaji kwenda nje ya nchi, tukisema serikali inawahujumu wananchi tutakuwa tunakosea?
Sasa hivi kuna swala la fao la kujitoa pesa iende kwenye viwanda nikisema serikali inawahujumu wananchi nitakuwa nakosea?