Polisi hawana mamlaka kuzuia maandamano ila mahakama - Kimongoro

kuna vifungu vingine umevuruka, umeweka kifungu hiki cha sheria tu kwa ajili ya kutetea hoja.

Hivyo vifungu vingine vinapingana na hicho nilichoweka mimi? Deal na hicho kifungu nilichobandika kwanza, eleza kwa nini haki apply au kwa nini hakitoshi.

Kila siku tunaona mapolisi wanafuta mipango ya maandamano. Hakuna mwanasheria aliyewahi kukaidi amri eti sio sheria. Leo unanambia polisi hana mamlaka hayo. Basi bandika hapa amendment inayofuta hicho kipengele.


CAP. 322 OF LAWS, Sect. 43(2)

Where a person submits a notification in accordance with subsection (1), he may proceed to convene, collect, form or organise the assembly or procession in question as scheduled unless and until he receives an order from the Police Officer in charge of the area directing that the assembly or procession shall not be held as notified
.
 
Back
Top Bottom