Polisi Dodoma wazuia msafara wa kanda ya magharibi waliotoka mkutano mkuu dar es salaam

Diwani Unga Ltd

Senior Member
Oct 12, 2013
149
70
Jeshi la Polisi limewatia nguvuni msafara WA wanachadema uliokuwa ukitoka katika mkutano mkuu WA chama hicho jijini DAR Es Salaam. msafara huo ulikuwa ukielekea kanda ya ziwa magharibi NA msafara huo ulikuwa ukiongozwa NA Mratibu WA kanda hiyo Bw. Nyamwanji ambae yupo katika kizuizi cha police pamoja NA Mwenyekiti WA Mkoa WA Katavi ambae nae yupo kizuizini.

Jeshi hilo pia limewatia kizuizini baadhi WA wanachama waliokuwa kwenye safari hyo. pia wafanyakazi NA maofisa WA chama walitiwa nguvuni.

pia Jeshi hilo limetoa karipio kwa askari walioruhusu msafara huo kukatiza dodoma.

vitendo hivi havivumiliki lazima watanzania wote tupaze sauti juu ya huu unuanyasaji WA police.
 
Policcm, CCM yenyewe na Utawala huu wa Serikali ya Ccm unaelekea ukingoni...tuhesabu tu siku...Uhuru utapatikana toka kwa kwa Wakoloni na Makaburu weusi..no more wait!
 
Nilikuwa sijawahi kufikiria kwamba kuna wakubwa wa jeshi la polisi wasiotambua sheria za nchi na majukumu yao kikatiba.Leo hii ACP Emanuel Lumula ametangaza kwamba polisi wake wa dodoma watapata nafasi ya kuwapiga watu watakaoandamana kikatiba kwa vitendo kwani polisi hao wamechoka na mazoezi sasa wanataka uhalisia
 
Jeshi la Polisi limewatia nguvuni msafara WA wanachadema uliokuwa ukitoka katika mkutano mkuu WA chama hicho jijini DAR Es Salaam. msafara huo ulikuwa ukielekea kanda ya ziwa magharibi NA msafara huo ulikuwa ukiongozwa NA Mratibu WA kanda hiyo Bw. Nyamwanji ambae yupo katika kizuizi cha police pamoja NA Mwenyekiti WA Mkoa WA Katavi ambae nae yupo kizuizini.

Jeshi hilo pia limewatia kizuizini baadhi WA wanachama waliokuwa kwenye safari hyo. pia wafanyakazi NA maofisa WA chama walitiwa nguvuni.

pia Jeshi hilo limetoa karipio kwa askari walioruhusu msafara huo kukatiza dodoma.

vitendo hivi havivumiliki lazima watanzania wote tupaze sauti juu ya huu unuanyasaji WA police.

Ndio inteligency ya polisi wetu. Mungi awalaani. Kama ukivamiwa na majambazi ukipiga simu wanakuuloza wana bunduki aina gani inategemea nini wao kuona m4c wakipita brabarani na ni haki yao ya kikatiba?? Kesho watasema walikua wana andamana kwa kesi za kubambikiza polosi wako juu.
 
Polisi hawa wenye elimu ya chipukizi ya ccm,unazuiaje msafara wa watu wanarudi kwao?
Askari waliofanya hivyo wafunguliwe mashitaka ya kuwapotezea muda,makamanda hawa,wao walitaka wapite usiku?
Kweli ndio maana mdogo wangu ameacha kazi ya upolisi anasema unapelekwa tu,na siki kweli tukivamiwa nchi hii anasema polisi wengi wataangamia maana wakilala/ kuamuka wamerishwa hofu ya chadema kuchukua nchi,maskini hufanya hata wasilolijua!
 
Nikisikiya haya hukumbuka hapa Pemba 1995 naona hukoyamechelewa walitupiga,wakanya, maskuli,majiwakayatiya mavi,nyumba wakazitiya moto na mengi hayasemeki.
 
Jeshi la Polisi limewatia nguvuni msafara WA wanachadema uliokuwa ukitoka katika mkutano mkuu WA chama hicho jijini DAR Es Salaam. msafara huo ulikuwa ukielekea kanda ya ziwa magharibi NA msafara huo ulikuwa ukiongozwa NA Mratibu WA kanda hiyo Bw. Nyamwanji ambae yupo katika kizuizi cha police pamoja NA Mwenyekiti WA Mkoa WA Katavi ambae nae yupo kizuizini.

Jeshi hilo pia limewatia kizuizini baadhi WA wanachama waliokuwa kwenye safari hyo. pia wafanyakazi NA maofisa WA chama walitiwa nguvuni.

pia Jeshi hilo limetoa karipio kwa askari walioruhusu msafara huo kukatiza dodoma.

vitendo hivi havivumiliki lazima watanzania wote tupaze sauti juu ya huu unuanyasaji WA police.

!
!
polisi tena,agrrr! m@zaf@kn police
 
Back
Top Bottom