Polisi atinga disko akiwa na SMG

Dah hii habari kila nikifikiria nachoka kwa kicheko! Hebu fikiria upo Club alafu upo kwenye dance floor unayarudi unakumbana na polisi amebeba SMG nae akiyarudi!! Hakyanani mnaweza kutafutana!!!

Ni bonge la challenge maana ukitoka nduki atasema umejishtukia na anakuunganishia!
 
Wewe! Baunsa aende wakati mtu ana SMG yenye risasi 30 na magazin ya akiba nayo risasi 30! Hata komandoo kipensi angelala mbele alaaa![/QUOTE]
umenikumbusha mbali enzi za ile movie ya komandoo kipensi:lol::lol::lol::lol::lol:
 
Back
Top Bottom