Polisi Arusha wanawaibia raia

MWANAWAVITTO

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
258
220
Katika tathmini ya takribani miaka mitatu,kituo kikuu cha polisi ARUSHA MJINI kimekuwa kikiiba mali za Raia,kumekuwa na matukio ya fedha kuibiwa ndani ya kituo kwa mfano Fedha za KIBO PALACE.Siyo hizo pekee, wanaiba simu za mkononi, pochi za fedha nk.Nimefuatilia kwa ukaribu madai ya watu ambao mali zao zinafikishwa kituoni hapo yakiwemo MAGARI na PIKIPIKI na kugundua WIZI MKUBWA wa VIPURI unaofanywa ndani kituo.Betri za magari na pikipiki, radio na vifaa vinginevyo vimekuwa vikipotea kituoni hapo.Ukiongeza vitendo vya rushwa na unyanyasaji kituo hiki kinapoteza hadhi ya kuitwa "ARUSHA POLICE CENTRE"natoa wito kwa IGP SAID MWEMA kuunda kikosi kazi cha kuchunguza tuhuma hizi na kisha kuwachukulia hatua wahusika, vinginevyo itanilazimu kubadili maana halisi ya JESHI LA POLISI ARUSHA.Naomba kuwasilisha
 
katika tathmini ya takribani miaka mitatu,kituo kikuu cha polisi arusha mjini kimekuwa kikiiba mali za raia,kumekuwa na matukio ya fedha kuibiwa ndani ya kituo kwa mfano fedha za kibo palace.siyo hizo pekee, wanaiba simu za mkononi, pochi za fedha nk.nimefuatilia kwa ukaribu madai ya watu ambao mali zao zinafikishwa kituoni hapo yakiwemo magari na pikipiki na kugundua wizi mkubwa wa vipuri unaofanywa ndani kituo.betri za magari na pikipiki, radio na vifaa vinginevyo vimekuwa vikipotea kituoni hapo.ukiongeza vitendo vya rushwa na unyanyasaji kituo hiki kinapoteza hadhi ya kuitwa "arusha police centre"natoa wito kwa igp said mwema kuunda kikosi kazi cha kuchunguza tuhuma hizi na kisha kuwachukulia hatua wahusika, vinginevyo itanilazimu kubadili maana halisi ya jeshi la polisi arusha.naomba kuwasilisha

ahahahaahahaaaaaaaaaaaaaa_mimi simo...nasema simo.....ila nawafahamu hawa jamaa kwa asilimia zaidi ya 80%.................nasema tena simo.
 
ahahahaahahaaaaaaaaaaaaaa_mimi simo...nasema simo.....ila nawafahamu hawa jamaa kwa asilimia zaidi ya 80%.................nasema tena simo.

IGWE, vitendo vinavyofanyika hapa sii vya kibinadamu hata kidogo
 
Na kubambikia watu makosa yasiyowahusu ni jadi yao hasa unapokataa kuwapa rushwa. Traffik ndio balaa zaidi.
 
Hii ni serikal ya KIJAMBAZ,POLIS,MA LAWYER,MAWAZIR,WABUNGE ni MAJAMBAZ..hata na nyinyi vijana wa mtaa wa MAJAMBAZ..ni sign ya serikal kushindwa.
 
Arusha Central Police is a disgrace to Tanzania Police Force! May be reshuffling can help at this time imaging a case to last more than three months at the police station that is TPF Arusha Central Post!??????
 
we mwana vipi! hayo mambo hayako arusha tu, bali ni tz nzima kwa sasa yanafanyika mkuu! tena afadhali huko kwenu a town, huko wanakoishi hao wakubwa wenyewe sjui ndo dsm ndo kabissaaaaa, wao wanashiriki hayo mambo, si bora huko a town wanashiriki hao makoplo tu na wajinga jinga wengine
 
Back
Top Bottom