Police wapatao 800 walipelekwa Arumeru.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Katika mkutano wa Chadema dodoma,Dogo janja alishangazwa na Serikali ya magamba.
Kupeleka police 800,magari ya washawasha 4..na vingine kama waenda vitan vile.

Magari 45 ya police
Magari 4 ya maji washa.
Mabomu ya machozi ya kutosha.

Siku ya kufa nyani miti yote huteleza.
 
Habari za ndani ya jeshi la polisi ni makuruta mia tisa kutoka ccp walipelekwa Arumeru. Achilia mbali waliotoka maeneo mengine ndani na nje ya mkoa wa Arusha! Kama walilipwa posho ya elfu kumi kila mmoja, magari na pkpk yakawekwa mafuta, basi zilitumika zaidi ya milion 10. Sawa na madawati 333 ambayo yangeweza kutumiwa na wanafunzi karibu elfu 1 wa shule za msingi!
 
Ama kweli chadema tunaitishia CCM yaani vyote hivyo ni kwenye mkutano wa chadema tu....
 
Habari za ndani ya jeshi la polisi ni makuruta mia tisa kutoka ccp walipelekwa Arumeru. Achilia mbali waliotoka maeneo mengine ndani na nje ya mkoa wa Arusha! Kama walilipwa posho ya elfu kumi kila mmoja, magari na pkpk yakawekwa mafuta, basi zilitumika zaidi ya milion 10. Sawa na madawati 333 ambayo yangeweza kutumiwa na wanafunzi karibu elfu 1 wa shule za msingi!
Kaka hapa nikuingia msituni..
 
Gharama 2 za bure,afu polisi arusha hawakutoa maocampo coz wanadaiwa lema kawalisha itikadi,naunga mkono hoja coz nliona defender yenye chata 'MORO FFU' na RCO DODOMA.
 
Kwenye uchaguzi wa 2015, inabidi bajeti yote ya serikali ya magamba iamie kwenye ununuzi wa silaa za kivita, la sivyo...
 
Ukishangaa ya musa utayaona ya firauni. Unajau zanzibar ni vikosi vingapi active and armed to teeth wakati wa uchaguzi?

1. Jeshi la polisi

2, JWTZ

3.JKU

4.KMKM

5. Chuo cha mafunzo MAGEREZA

6. VALANTIA

7. Kikosi cha zimamoto na uokozi.
 
Kila kitu kina mwanzo na mwisho,mwisho wa CCM upo karibu hivyo watanzania msiwe na hofu.
 
Kila kitu kina mwanzo na mwisho,mwisho wa CCM upo karibu hivyo watanzania msiwe na hofu.
Ila tujipange zaidi maana hawa lali wakifikilia jinsi ya kuiangamiza CHADEMA....

MUNGU IBARIKI CHADEMA, MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Ukishangaa ya musa utayaona ya firauni. Unajau zanzibar ni vikosi vingapi active and armed to teeth wakati wa uchaguzi?

1. Jeshi la polisi
2, JWTZ
3.JKU
4.KMKM
5. Chuo cha mafunzo MAGEREZA
6. VALANTIA
7. Kikosi cha zimamoto na uokozi.

Kwii Kwii hivi Commander in Chief of the Armed Forces (Amri Jeshi Mkuu) pia anaongoka vikosi vya VALANTIA?
 
Wanaleta sela amani,mlango wa nyuma wanajiandaa vita.kwisha habari yao kabisaaa wamelaaniwa hawa magamba,ugumu wa maisha kwa wananchi ni laana tosha.
 
Hapa kamanda Lema akate mbuga kutoa ubarikio kwa walio gizani, shule za kata zinaendelea kutema zero huko vijijini, kwahiyo vijana ni wengi hao wanawahi kuelewa na wenyewe wanaenda kuwasomesha wazee wao kazi kwisha hadi 2015, kila kitu kweupe
 
Back
Top Bottom