Police arusha wajipongeza kwa mauaji

wamesahau kuwa wengi wao wanaishi ulaiani, tutakutana nao tu kazi ni moja kuwamwaga utumbo ndio watajua kuwa sasa tumechoka kuonewa.
 
Kishongo,

Ulikuwa na LENGO zuri sana kuandika ujumbe wako pale juu ila umeandika bila kutumia ..............

Nashindwa kujua ni neno gani nitumie ili nisikukwaze. Kuanza Mauwaji na VISASI kwa Tanzania litatupoteza.

Ila kwa ninavyowafahamu Wachaga, mtu aandike au asiandike, KISASI ni lazima.

Wale jamaa usione wamekaa kimya na hawatoki barabarani kuandamana. Kuna kitu kinapikwa.

Ningeliona BUSARA sana kama viongozi wetu wangelikaa na kusaidia kuzima moto huo kwa kutumia viongozi wa Chadema, viongozi wa DINI na taasisi mbalimbali ili kuokoa TIT for TAT isianze.

Sio Wachagga peke yao kwakweli mtu yeyote aliyekaa Arusha anaelewa tabia ya wenyeji wa pale hasa. Wamasai/waarusha, wameru, Wachagga etc huwezi ukaua mtu wao wakanyamaza, revenge ni lazima iwe leo, kesho au mwisho wa mwaka' It has to be done there is no discussion for that. Nahisi mazungumzo yatakuja baada ya wao kulipa kisasi, ukweli ni kwamba hilo lipo it just a matter of time.
 
Nimetoka Police Mess Jana usiku hapa Arusha nilishuhudia FFU zaidi ya 45 wanakula kuku baada ya 'kazi nzurì' ya kuua wana wa nchi waliokuwa wanaonesha hisia zao juu ya demokrasi mbovu inayofanyika hapa nchini. Nilitaman niwe nimejifunga mabomu nijilipue! God 4bid...!

Hakika mngewaona ni kama walikuwa wanashangilia ushindi ambao sijui ni ufananishe na nini jamani mnielewe ? .. ni kama labda wachezaji wa timu fulani kubwa ambayo imeshinda kombe au mfano mzuri kama wameshinda kombe la dunia nadhani mmenielewa sasa.. narudi zangu kulala bado nina mninginio wa hatari...

Na tetesi ni kwamba machalii wa Arachuga wametengeneza bifu zito sana na police ...



bifu ni kwa wale mamluki walioletwa na si wale waliopo mkoani arusha since uchaguzi kwani walituunga mkono cdm vya kutosha katika makambi yao takataka ccm haikuambulia kitu so ni wenzetu hawa!
 
[/COLOR]

bifu ni kwa wale mamluki walioletwa na si wale waliopo mkoani arusha since uchaguzi kwani walituunga mkono cdm vya kutosha katika makambi yao takataka ccm haikuambulia kitu so ni wenzetu hawa!

Hapana walituunga mkono chini ya Basilio Mtei na sio Aden.... (Nashindwa hata kuandika/kutamka maana jina chungu kama chloroquine ah). Jipe moyo tu lakini subiri utaona.
 
:disapointed: am so dissapoited :disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed:
 
Kuna muda mwingine kuvumilia bila kuonyesha ubaya wa jambo hili si vyema, lazima kitu kifanyike ili wajifunze kwani wewe ukimwaga mboga mwenzako atamwaga ugali. POLISI WAMEANZA SASA NI KAZI YETU SISI RAIA KUONYESHA KUWA HAIKUWA SAWA KUUWA RAIA WASIO NA HATIA, INATUPASA KULIPA KISASI SASA! WATAZOEA HAWA
 
Hata mababu zetu enzi za ukolon walifika mahali wakasema sasa basi liwalo na liwe hivyo na sisi sasa tumechoka kuonewa na hawa vidampa vya jk na ccm tuwauwe kama walivyoua ndugu zetu bila hatia yoyote.

Si wachaga tu bali hata wameru na wamasai. Historia ya Kanisa kasikazini inaonyesha hayo. Ni vyema serikali ikafanyia kazi tamko la maaskofu wa Arusha. Wamelitoa wakijua fukuto la moshi katika maeneo yao. Kwa uzito timu hiyo ilihusiha hata na askofu kutoka Moshi ... Rt Rev. Dr. Shao
 
Back
Top Bottom