Tetesi: Polepole Kuitisha Kikao kuwajadili Nape na Bashe, ni baada ya Kinana kugoma

Status
Not open for further replies.
Confirmed from Lumumba ni kwamba kuna kikao kinapangwa kuitishwa na Polepole ( Baada ya kinana kugoma kuitisha na kusimamia kikao hiki) pamoja na mambo mengine kikiwa na ajenda ya kuwajadili Nappe na Bashe.

Kwa nini wanajadiliwa?
imebainika kuwa wabunge hawa wamekuwa wakionyesha dhahiri kupingana na miiko ya chama chetu hasa kwa misimamo yao ndani na nje ya bunge.

Nappe anajadiliwa hasa kwa mwenendo wake ambao kwa Siku za hivi karibuni tokea alipotenguliwa uwaziri, amekuwa akitwiti au kuposti instagramu na kwenye mitandao mingine ya kijamii vitu vyenye utata na hasa akinonyesha dhahiri kupingana na Sera za chama. misimamo yake bungeni pia.

kwa upenda Wa Bashe sitaweza kuelezea sana kwani mtakumbuka kuwa, Bashe ni miongoni mwa wabunge waliowekwa mahali salama kipindi cha mkutano Mkuu Wa chama uliolenga kupindua katiba ya chama na kumpa mamlaka mtukufu kugombea bila kupingwa

lakini pia kinachomponza ni misimamo yake ya ndani na nje ya bunge.

Angalizo
Nikiwa miongoni mwa vijana Wa chama cha mapinduzi nalaani kwa nguvu zote mikakati yote inayofanywa yenye lengo LA kuibuka na adhabu kwa wabunge hawa

Nibozali is a new version of Lizaboni.
 
Chama ni vikao na majadiliano kufikia kuafikiana au kutokuafikiana.
Taratibu tu tutaelewa kutofautiana kifikra si uadui ni moja ya nguzo za kuimarisha umoja wenu kuliko NDIYO MZEE ,
 
Confirmed from Lumumba ni kwamba kuna kikao kinapangwa kuitishwa na Polepole ( Baada ya kinana kugoma kuitisha na kusimamia kikao hiki) pamoja na mambo mengine kikiwa na ajenda ya kuwajadili Nappe na Bashe.

Kwa nini wanajadiliwa?
imebainika kuwa wabunge hawa wamekuwa wakionyesha dhahiri kupingana na miiko ya chama chetu hasa kwa misimamo yao ndani na nje ya bunge.

Nappe anajadiliwa hasa kwa mwenendo wake ambao kwa Siku za hivi karibuni tokea alipotenguliwa uwaziri, amekuwa akitwiti au kuposti instagramu na kwenye mitandao mingine ya kijamii vitu vyenye utata na hasa akinonyesha dhahiri kupingana na Sera za chama. misimamo yake bungeni pia.

kwa upenda Wa Bashe sitaweza kuelezea sana kwani mtakumbuka kuwa, Bashe ni miongoni mwa wabunge waliowekwa mahali salama kipindi cha mkutano Mkuu Wa chama uliolenga kupindua katiba ya chama na kumpa mamlaka mtukufu kugombea bila kupingwa

lakini pia kinachomponza ni misimamo yake ya ndani na nje ya bunge.

Angalizo
Nikiwa miongoni mwa vijana Wa chama cha mapinduzi nalaani kwa nguvu zote mikakati yote inayofanywa yenye lengo LA kuibuka na adhabu kwa wabunge hawa

HIVI KUNA AINA NGAPI ZA NDOTO?
 
Yetu macho na masikio

Sent from my itel_it1502 using JamiiForums mobile app
 
Kwani yeye Polepole Ana si alikuwa anapingana na matakwa ya CCM

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Nape hagusiki. Ukimgusa Nape umemgusa Kinana na ukimgusa Kinana umegusa mfupa na engine ya chama. Chama kitaparaganyika
 
Eti na wao wameleta hii propaganda ili kubalance kimbunga cha madiwani kule arusha. Mbona watalimia meno mwaka huu!

......
Umekuja lini Tanzania? Hicho nacho ni kimbunga? Waulize ndugu zako wanasubiri nini kuitisha uchaguzi ili kimbunga cha kweli kionekane?
 
Ukisikiliza point za Nape na Bashe Bungeni ni tofauti sana, mimi sioni sababu ya kuwajumuisha ktk group moja hawa wawili. Hata kama point za Bashe zinaweza kuwa zinaichoma serikali lkn huwa ni point zenye maana na zina manufaa sana zikifuatiliwa. Bashe huwa anaongea kitaalamu kabisa na kwa mtu yeyote anayemsikiliza bila ya kuwa na nia kinzani atapata kitu ndani yake.
Lkn pointi za Nape huwa ni za kiasiasa na hazina uzito wala weledi wowote, ni kama huwa ana kisasi Fulani na uongozi uliopo, pointi zake ni hafifu sana kiujumla. Hakuna haja ya kuwaweka fungu moja hawa wawili.
 
Confirmed from Lumumba ni kwamba kuna kikao kinapangwa kuitishwa na Polepole ( Baada ya kinana kugoma kuitisha na kusimamia kikao hiki) pamoja na mambo mengine kikiwa na ajenda ya kuwajadili Nappe na Bashe.

Kwa nini wanajadiliwa?
imebainika kuwa wabunge hawa wamekuwa wakionyesha dhahiri kupingana na miiko ya chama chetu hasa kwa misimamo yao ndani na nje ya bunge.

Nappe anajadiliwa hasa kwa mwenendo wake ambao kwa Siku za hivi karibuni tokea alipotenguliwa uwaziri, amekuwa akitwiti au kuposti instagramu na kwenye mitandao mingine ya kijamii vitu vyenye utata na hasa akinonyesha dhahiri kupingana na Sera za chama. misimamo yake bungeni pia.

kwa upenda Wa Bashe sitaweza kuelezea sana kwani mtakumbuka kuwa, Bashe ni miongoni mwa wabunge waliowekwa mahali salama kipindi cha mkutano Mkuu Wa chama uliolenga kupindua katiba ya chama na kumpa mamlaka mtukufu kugombea bila kupingwa

lakini pia kinachomponza ni misimamo yake ya ndani na nje ya bunge.

Angalizo
Nikiwa miongoni mwa vijana Wa chama cha mapinduzi nalaani kwa nguvu zote mikakati yote inayofanywa yenye lengo LA kuibuka na adhabu kwa wabunge hawa
Kwa mamlaka gani aliyo nayo polepole ya kuitisha kikao !!!!!!

Sent from my itel it1501 using JamiiForums mobile app
 
Mtu anayeweza kuiua "vizuri" kabisa ccm na kuipoteza kwenye uso wa dunia ni Magufuli pekee.
Vipengele vya katiba yao ya chama ibadilishwe iwe kama ya Malawi, ili rais aweze kukihama chama na awe na uwezo wa kuunda cha kwake akiwa madarakani.
Ninakwambieni, atapata support kubwa sana toka kwa waTz wenye mapenzi mema na nchi yao.
Alopoanza kutawala ndiyo ccm imeanza kupata heshima.
Lakini heshima hii si kwasababu ya ccm ni heshima ya Magufuli binafsi.
Akianzisha chama chake, ccm na cdm ni vyama vilivyojaa mibaka uchumi ambao Kikwete aliwaita 'mafisi' vitakufa kifo cha mende, miguu juu.
Safisha safisha hii ya Magufuli, serikalini na chamani haijazaa matunda kwa kuwa wahalifu wengi bado wapo na tayari wamejigeuza vinyonga kwa kujibadilisha rangi.
Sioni tofauti ya misimamo ya Bashe na misimamo ya Magufuli alipokuwa waziri.
Alikuwa anatenda utadhania yuko upinzani!
 
Confirmed from Lumumba ni kwamba kuna kikao kinapangwa kuitishwa na Polepole ( Baada ya kinana kugoma kuitisha na kusimamia kikao hiki) pamoja na mambo mengine kikiwa na ajenda ya kuwajadili Nappe na Bashe.
CCM sio kama chadema,kuna nidhamu ya uongozi ya hali ya juu kabisa.
Kwa mujibu wa katiba lazima kikao kiitishwe na katibu mkuu,kwa hiyo kama kipo basi kina baraka za kinana,na kama ni kamati kuu mwenyekiti lazima atakuwepo,sio kama kamati kuu ya watu watatatu ya chadema inayoamua kufuta majina ya wagombea ghafla
 
Wekea neni sumu mtajuama wenyewe madhalim nyie

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ni vinyago mlivyovichonga..acha viendelee kuwatisha!! Naona Komredi kagoma kushiriki kwenye unafki
 
Yale yale!!! Bungeni viongozi wa bunge huwanyanyasa wabunge wa upinzani juzi kiongozi mmoja wa bunge anasema wapinzani wana joja nzuri za kujenga ila wao Ccm wanazipuuza kwa vile sio wao wamezitoa.... Najiuliza Ccm wako madarakani ki chama au kuwatumikia Watanzania???

Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
Wabunge si wawakilishi wa wananchi bali wa vyama vyao. Siku kutakapokuwa na wagombea binafsi labda tutawaona wawakilishi wa wananchi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom