Pole Zuchu mafanikio huambatana na chuki

happyxxx

JF-Expert Member
Nov 14, 2020
568
1,847
Nampa pole mdogo wangu Zuchu maana kila kona linapotajwa jina lake ni matusi, duwa mbaya na maneno ya wivu. Umaarufu na mafanikio ya kimuziki ndio chanzo cha yote. Na zaidi wenzangu roho zinawauma wewe kutoka na Diamond.

Si rahisi kwa msichana kupokea hii hali unaweza ona kazi yako chungu, lakini nakupa moyo umefika at the top mawe uwa hayarushwi chini yanarushwa juu.

Pole sana Mungu ataendelea kukuletea mafanikio makubwa mpaka washangae.
 
mawe uwa hayarushwi chini yanarushwa juu.

2B9X.gif
 
Nampa pole mdogo wangu Zuchu maana kila kona linapotajwa jina lake ni matusi, duwa mbaya na maneno ya wivu. Umaarufu na mafanikio ya kimuziki ndio chanzo cha yote. Na zaidi wenzangu roho zinawauma wewe kutoka na Diamond. Si rahisi kwa msichana kupokea hii hali unaweza ona kazi yako chungu. Lakini nakupa moyo umefika at the top mawe uwa hayarushwi chini yanarushwa juu. Pole sana Mungu ataendelea kukuletea mafanikio makubwa mpaka washangae.
Kanywe chai kwanza urudi baadae zuchu hajaamka bado
 
"Pole sana Mungu ataendelea kukuletea mafanikio makubwa mpaka washangae."

Usilitaje bure jina la Mungu yaani Mungu ampe mafanikio mtu anayesababisha watu waimbe matusi, wavae nusu uchi na uchafu mwingine sasa atawahukumuje ilihali alimpa mafanikio mtu aliyewapoteza!? Labda huyo ni mungu mwingine maana wapo wengi na siyo Mungu wa mbinguni
 
Nampa pole mdogo wangu Zuchu maana kila kona linapotajwa jina lake ni matusi, duwa mbaya na maneno ya wivu. Umaarufu na mafanikio ya kimuziki ndio chanzo cha yote. Na zaidi wenzangu roho zinawauma wewe kutoka na Diamond. Si rahisi kwa msichana kupokea hii hali unaweza ona kazi yako chungu. Lakini nakupa moyo umefika at the top mawe uwa hayarushwi chini yanarushwa juu. Pole sana Mungu ataendelea kukuletea mafanikio makubwa mpaka washangae.
Hii ndo aina ya mashabiki ambao wasanii wanawahitaji, yn mashabiki matahira ambao hawawezi kuona baya kwa wasanii hao.
 
Nampa pole mdogo wangu Zuchu maana kila kona linapotajwa jina lake ni matusi, duwa mbaya na maneno ya wivu. Umaarufu na mafanikio ya kimuziki ndio chanzo cha yote. Na zaidi wenzangu roho zinawauma wewe kutoka na Diamond. Si rahisi kwa msichana kupokea hii hali unaweza ona kazi yako chungu. Lakini nakupa moyo umefika at the top mawe uwa hayarushwi chini yanarushwa juu. Pole sana Mungu ataendelea kukuletea mafanikio makubwa mpaka washangae.
Happy , wewe ni mnafki na kama si mwanaume unayeiomba kwa staili basi ni kundi la wale wanaokaa kona baa na hongera baa wakisubiri wanaume wasio na wake.
Zuchu yupo juu, haipingiki, Zuchu kaimba matusi ya kuhamasisha "kufir** na wewe unaona ni sawa na kwamba kumkataza ni kumuonea wivu? Mpuuzi wewe!

Serikali ni legal entity, serikali inaonaje wivu kwa mtu binafsi?
Yaani Waziri w aZanzibar, BASATA wanamuonea wivu huyu mtoto asiye na maadili anayewekwa unyumba na Diamond ?
 
Kwani miaka ile Ray C yupo Juu kimuziki uliwahi kusikia akifungiwa Kwa kuimba matusi?

Hawa mabinti na Vijana wa kisasa wajifunze Kwa Wenzao wa miaka ya 2000 kuja 2010, mbona wenzao waliweza kuimba na kujizolea umaarufu pasipo kuimba matusi?

Mmewahi kumsikia Lady Jaydee akiimba matusi?

Ana miaka zaidi ya 25 kwenye Muziki lakini hajawahi kuimba hayo matusi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom