Pole Mnyika, Ubungo inaenda kwa Masaburi!

Naona UKAWA wako kwenye mihemuko na kusherehekea mabilioni waliyohongwa huku wakisahau kuwa jimbo la Ubungo limeshapata muarubaini wa maendeleo ndugu Didas Masaburi.

Mnyika atatakiwa kukabidhi jimbo kwa Masaburi.

Mnyika atakuwa ametambua nani ni dhaifu kati ya JK na Mbowe!
Kweli nimeamini jina linaumba, kama jina lako lilivyo ndivyo akili pia ilivyo. We ni jinga jinga jinga lao kabisa...
 
Na tuombe kuwa hili Liwe ni jina lake pekee, kama ni la ukoo basi hayo ni majanga kuwa na ukoo uliojaa watu kama yeye
 
Naona UKAWA wako kwenye mihemuko na kusherehekea mabilioni waliyohongwa huku wakisahau kuwa jimbo la Ubungo limeshapata muarubaini wa maendeleo ndugu Didas Masaburi.

Mnyika atatakiwa kukabidhi jimbo kwa Masaburi.

Mnyika atakuwa ametambua nani ni dhaifu kati ya JK na Mbowe!

Hujui hata kama Mnyika hayupo hilo jimbo utakuwa Lofa
 
Back
Top Bottom