Pole Mnyika, Ubungo inaenda kwa Masaburi!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,068
28,266
Naona UKAWA wako kwenye mihemuko na kusherehekea mabilioni waliyohongwa huku wakisahau kuwa jimbo la Ubungo limeshapata muarubaini wa maendeleo ndugu Didas Masaburi.

Mnyika atatakiwa kukabidhi jimbo kwa Masaburi.

Mnyika atakuwa ametambua nani ni dhaifu kati ya JK na Mbowe!
 
Masaburi Ndio Nini? Kama Ni Mtu Kafanya Kipi Cha Maana Kuweza Kulitwaa Jimbo laUbungo. Kwa Dar Majimbo Mengi Yataangukia UKAWA. Chama Cha Upinzani (CCM),Kinaweza Kuambulia Jimbo Moja au Mawili. Subiria Campaign Zianze Utaona.
 
Naona Ukawa wako kwenye mihemuko na kusherehekea mabilioni waliyohongwa huku wakisahau kuwa jimbo la Ubungo limeshapata muarubaini wa maendeleo ndugu Didas Masaburi.

Mnyika atatakiwa kukabidhi jimbo kwa Masaburi.

Jingalao unaishi dunia ya ngapi?
 
Naona Ukawa wako kwenye mihemuko na kusherehekea mabilioni waliyohongwa huku wakisahau kuwa jimbo la Ubungo limeshapata muarubaini wa maendeleo ndugu Didas Masaburi.

Mnyika atatakiwa kukabidhi jimbo kwa Masaburi.

Subiri Said Kubenea awachambishe saa 4 asubuhi tu.
 
Attachments

  • 1439576284873.jpg
    1439576284873.jpg
    37.8 KB · Views: 905
Naona Ukawa wako kwenye mihemuko na kusherehekea mabilioni waliyohongwa huku wakisahau kuwa jimbo la Ubungo limeshapata muarubaini wa maendeleo ndugu Didas Masaburi.

Mnyika atatakiwa kukabidhi jimbo kwa Masaburi.

Yu huyu mwenye kesi za rushwa na UDA ? Au mwengine ? Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa..na kashfa zote huyu masaburi, na kukuvuru kwake kumkashif Muumba akimnadi lowasa wakati akitia nia..
Yaani dah ..ubungo hawaipati ccm ngo..wameleta garasa
 
Back
Top Bottom