Pls advice, tabia za mmewe zimemchosha...

hayuko confortable na ndoa cause anaona kila anachofanya mme hakithamini ...

Mwambie akiwa anaenda kupika chakula amwambie mumewe kuwa leo nakupikia chakula wakimaliza kula amuulize mumewe umefurahi chakula nilichokupikia kama akisema sio kizuri amuulize sababu ni kwanini na pia amuulize mbona akipika HG anasifia chakula chake wakati yeye akipika cha kwake inakuwa tatizo.

Pili tabia ya mumewe kuingia jikoni na kufungua makabati akae chini na amuulize ni kwanini na isiishie kulalamika wakati hajamuuliza muhusika kwanini anafanya hiyo tabia.

Tatu wabadilishe HG au ikiwezekana wakae muda bila kuwa na HG ili aone reaction ya mumewe itakuwaje nafikiri itakuwa mwanzo mzuri wa kujua tatizo liko wapi
 
Kwani alipoapa KWA SHIDA NA RAHA alidhani ni nini? hizo ndo shida zenyewe sasa azivumilie na ku zi solve ka mke mwema mwenye hekima na busara kuliko kufikiria kukimbia zaidi. atawakimbia wangapi heri huyo anasifia msosi tuu, akikimbilia kwingine atakutana na anayemsifia maumbile kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa shauri yake!! tatizo wanawake wa siku hizi wengi wanadhani NDOA ni mitoko tuu ile ya DATING! hakunaaaaaaaa saa aijenge ndoa yake mwenyewe. AMREKEBISHE HUYO MUME SIYO KULALAMIKA TUU NA KUKIMBIA KIMBIA
 
Inaonekana huyo bwana ana tatizo la kifedha (ukwasi au ukata?? sijui) ndiyo maana anapenda kufuatilia matumizi ya jikoni. Hili ni jambo la kawaida kwa akina baba wenye vipato visivyotabirika. Kwa upande mwingine inaelekea huyo Mama hajaifanyia kazi kauli za mmeo hususn kuwasifia HG. Huyu bwana si kuwa anawasifia inawezekana anatenda pia. Hiyo nayo ni kasoro ambayo inataliwa irekebishwe. Sasa bibie apange safari fake na amshirikishe mmewe. Hapo atagundua jambo iwapo mme ataishabikia basi huyo bibie ajue kuwa kuna jambo na kwenye hiyo ndoa wapo washirika wengine.

BIBIE AANDAE MAZINGIRA YA KUMSEMA MMEWE KWA USTAARABU HUSUSAN WAKATI WA KUTENDEANA HAKI. BORA ZAIDI WAKATI WA INTER SESSION. TUMIA USTADI NA UMAHILI WA KIKE KUMFAHAMISHA MWENZIO NA BILA SHAKA HII ITASAIDIA KAMA SI KUONDOA TATIZO KABISA:tongue:. GOD BLESS
 
hizi ndoa za cku hizi bwana, sasa hapo mdada amechoka ndoa kwa lipi? c amwache apekue mpaka ajichokee, kwani c mtu anapekuwa kwake shida ni nini? na kama anaambiwa chakula c kitamu c amwambie aingie yeye jikoni apike hicho kitamu na wao waonje mapishi yake?
 
mwambie akiwa anaenda kupika chakula amwambie mumewe kuwa leo nakupikia chakula wakimaliza kula amuulize mumewe umefurahi chakula nilichokupikia kama akisema sio kizuri amuulize sababu ni kwanini na pia amuulize mbona akipika hg anasifia chakula chake wakati yeye akipika cha kwake inakuwa tatizo.

Pili tabia ya mumewe kuingia jikoni na kufungua makabati akae chini na amuulize ni kwanini na isiishie kulalamika wakati hajamuuliza muhusika kwanini anafanya hiyo tabia.

Tatu wabadilishe hg au ikiwezekana wakae muda bila kuwa na hg ili aone reaction ya mumewe itakuwaje nafikiri itakuwa mwanzo mzuri wa kujua tatizo liko wapi

utumie huu ushauri dada kwa kuanzia utakusaidia sana
 
hizi ndoa za cku hizi bwana, sasa hapo mdada amechoka ndoa kwa lipi? c amwache apekue mpaka ajichokee, kwani c mtu anapekuwa kwake shida ni nini? na kama anaambiwa chakula c kitamu c amwambie aingie yeye jikoni apike hicho kitamu na wao waonje mapishi yake?

Very simple aingie akapike kama vipi akale hotelini!
 
Mwambie akiwa anaenda kupika chakula amwambie mumewe kuwa leo nakupikia chakula wakimaliza kula amuulize mumewe umefurahi chakula nilichokupikia kama akisema sio kizuri amuulize sababu ni kwanini na pia amuulize mbona akipika HG anasifia chakula chake wakati yeye akipika cha kwake inakuwa tatizo.

Pili tabia ya mumewe kuingia jikoni na kufungua makabati akae chini na amuulize ni kwanini na isiishie kulalamika wakati hajamuuliza muhusika kwanini anafanya hiyo tabia.

Tatu wabadilishe HG au ikiwezekana wakae muda bila kuwa na HG ili aone reaction ya mumewe itakuwaje nafikiri itakuwa mwanzo mzuri wa kujua tatizo liko wapi

hivi kwani hiyo nyumba ni ya mwanamke tu? c ya kwao wote sasa tatizo ni nini mume akiamua kupekua ndani kwake, tena bora huyo anajua mcele unakaribia kuisha, na atajipanga mwenyewe kwa manunuzi....au mie cjawaelewa jaamni, su ndio kusema huyu mume mwisho kwake ni sitting room na wanapolala tu?
 
Mwambie kama aliapa kuwa wataishi kwa shida na raha mwambie akomae tu avumilia yana mwanzo na mwisho.

heee jamani mie cwaelewe kabisa, shida ipo wapi hapo au ndio tuseme hhajui shida za ndoa? hebu niambieni shida nini hapa labda mie na miss kitu.
 
c ndio hapo, ndoa zikikimbiwa ki hivi mbona itakuwa shughuli pevu, ni jambo la kumwambia tu pika na sie tule full stop.

huyu dada ni mpole sana, we ameshakuambia chakula chako si kitamu sasa kwann wajisumbua kupika?
 
Ni vimambo vidogo vidogo sana lakini kila siku vinamuumiza Kichwa..Ila huyo mwanaume wa kushinda jikoni kupekuwa makabati anataka nini?

c kwake, c ana uhuru napo? amuache apekue mpaka jikoni darini kinamsumbua nini huyo mrembo?
 
hivi kwani hiyo nyumba ni ya mwanamke tu? c ya kwao wote sasa tatizo ni nini mume akiamua kupekua ndani kwake, tena bora huyo anajua mcele unakaribia kuisha, na atajipanga mwenyewe kwa manunuzi....au mie cjawaelewa jaamni, su ndio kusema huyu mume mwisho kwake ni sitting room na wanapolala tu?

Nyamayao inawezekana before mumewe alikuwa hana hii tabia sasa kama imeanza kujitokeza ghafla basi mwanamke naye lazima ashangae, labda ameishazoea sio hulka ya wanaume kupekua pekua jikoni kwenye makabati well hili linaweza lisiwe big deal kiasi hicho ila haya mengine ni ya msingi.
 
huyu dada ni mpole sana, we ameshakuambia chakula chako si kitamu sasa kwann wajisumbua kupika?

nope....mjinga!....angerudi ucku mie nimejishibia aingie jikoni mwenyewe, kuna ile kukosea mapishi mara moja moja ni sawa lakini sio kila cku manaume aseme chakula c kitamu, sasa apike chake kitamu tule.....watu wana complicate mambo sana jamani, uje upate wrinkles cku c zako.
 
hizi ndoa za cku hizi bwana, sasa hapo mdada amechoka ndoa kwa lipi? c amwache apekue mpaka ajichokee, kwani c mtu anapekuwa kwake shida ni nini? na kama anaambiwa chakula c kitamu c amwambie aingie yeye jikoni apike hicho kitamu na wao waonje mapishi yake?

:becky::becky::becky::becky::becky::becky: Umeniacha hoi :playball:
 
mie nataka nipate iwe kazi yake kupekua makabati ya jikoni. na akijua vitu vinakaribia kuisha ende sokoni akanunue alete :D
 
Nyamayao inawezekana before mumewe alikuwa hana hii tabia sasa kama imeanza kujitokeza ghafla basi mwanamke naye lazima ashangae, labda ameishazoea sio hulka ya wanaume kupekua pekua jikoni kwenye makabati well hili linaweza lisiwe big deal kiasi hicho ila haya mengine ni ya msingi.

sawa, imeanza ghafla...lakini c kwake pia, c yupo uhuru na ndani kwake, mie kaam mr wangu ni mtu wa kupika atapekua weee mie walaaa, sasa huyu c mtu wa kupika c amwache ajifurahishe kwa kupekua tatizo lipo wapi?.....hakuna big deal kabisa hapa, chakula c kitamu mwambie aingie jikoni apike kitamu tule....
 
nope....mjinga!....angerudi ucku mie nimejishibia aingie jikoni mwenyewe, kuna ile kukosea mapishi mara moja moja ni sawa lakini sio kila cku manaume aseme chakula c kitamu, sasa apike chake kitamu tule.....watu wana complicate mambo sana jamani, uje upate wrinkles cku c zako.

Nyamayao vipi upande wa pili wa kile kisa chetu wanaendeleaje mambo mswano au ndio inachezwa tu kisanola
 
Back
Top Bottom