Pls advice, tabia za mmewe zimemchosha...

chakula akikwambia si kitamu .................unamwambia hichi ndo uwezo wangu, kama hukiwezi kwa mapenzi yote ingia wewe jikoni tupikie tule :smile-big:
 
chakula akikwambia si kitamu .................unamwambia hichi ndo uwezo wangu, kama hukiwezi kwa mapenzi yote ingia wewe jikoni tupikie tule :smile-big:

haaa bwana weee watu wanapenda kujifia kwa mawazo....
 
avumilie basi asiumie roho! na je kisa cha mume kukubali kile cha alichoandaliwa na housegirl?

Hapo na mimi kidogo ndio nina wasiwasi isije ikawa INFIDELITY iliisha take place muda mrefu bila wife kujua sasa matendo yaanza kujidhihirisha wazi kabisa ila cha muhimu mwanamke inabidi akae na mumewe chini amueleze kila kitu.
 
haaa bwana weee watu wanapenda kujifia kwa mawazo....

Angekuta mwanamke mwenye akili zilizofyatuka achelewi kumwambia kama unaona chakula sio kizuri nenda kanunue chips mayai pale kwa mangi ule :becky::becky::becky::becky:
 
Hapo na mimi kidogo ndio nina wasiwasi isije ikawa INFIDELITY iliisha take place muda mrefu bila wife kujua sasa matendo yaanza kujidhihirisha wazi kabisa ila cha muhimu mwanamke inabidi akae na mumewe chini amueleze kila kitu.

lakini huyo housegirl anatakiwa atoke faster ndio sasa waanze kujadili mengine, yawezekana kupekua jikoni ni chance tu ya kukaa na housegirl
 
yaani kuna vitu vyengine vidogo kweli watu wana complicate

utashindwaje ku deal na mumeo kwenye jambo dogo kama hilo?

utarudi kwenu utawaambia ambia vipi wazee? hamna sababu hata moja ya msingi
 
avumilie basi asiumie roho! na je kisa cha mume kukubali kile cha alichoandaliwa na housegirl?

hawa wanaume wakipata mtu wa kumvuga akili wanamvuruga kweli kweli, hapo kwangu mie ni cmple, hakuna h/g kupika wala mie cpiki, aje ajipikie chake kitamu.
 
hawa wanaume wakipata mtu wa kumvuga akili wanamvuruga kweli kweli, hapo kwangu mie ni cmple, hakuna h/g kupika wala mie cpiki, aje ajipikie chake kitamu.

nimecheka mie, kweli kunawanawake wanapenda kujitesa, mi nikiambiwa chakula si kitamu basi sitapika tena maana mie hupika sababu anapenda nimpikie
 
yaani kuna vitu vyengine vidogo kweli watu wana complicate

utashindwaje ku deal na mumeo kwenye jambo dogo kama hilo?

utarudi kwenu utawaambia ambia vipi wazee? hamna sababu hata moja ya msingi[/QUOTE]

ubarikiwe Gaijin, nilidhani mie nime miss point, hv unarudi nyumbani unasemeje? hakuna kitu nachukia kama kurudi home, mie hata niparangane vp wazo la kurudi home halipo akilini kwangu, yaani ni mpaka kieleweke, utarudi nyumbani mara ngapi kama sio usumbufu tu, 6 yrs sasa cjawahi rudi nyumbani kwa ajili ya matatizo, naenda nyumbani kusalimia na kunywa mbege mie.
 
hyu mrembo nna wasi wasi nae ni wale waliolelewa kama mayai nyumbani kwao
 
nimecheka mie, kweli kunawanawake wanapenda kujitesa, mi nikiambiwa chakula si kitamu basi sitapika tena maana mie hupika sababu anapenda nimpikie

mie aniambie chakula kimezidi chumvi, chakula kipo hv na vile leo, kuna vijimakosa mtu unaweza kufanya kwenye upishi, lakini eti kila ukipika unambiwa chakula sio kitamu, aingie na apike na tule/ale.
 
hyu mrembo nna wasi wasi nae ni wale waliolelewa kama mayai nyumbani kwao

huyu kamiss kwao hana lolote...hata ukilelewa kimayai kwenye hili gani umayai unauwacha kwenu....apewe nafac kama mwezi akasalimie arudi kwenye familia yako...lol
 
Ende kwao mwezi bila ya sababu ya msingi atizame kama Mr hajageuka mwenyekiti mtendaji wa chama cha wazee wa infidelity
 
Angekuta mwanamke mwenye akili zilizofyatuka achelewi kumwambia kama unaona chakula sio kizuri nenda kanunue chips mayai pale kwa mangi ule :becky::becky::becky::becky:

hata hiyo anaweza kuambiwa akisema hawezi kupika, unamrahicshia maisha akimbie cjui kwa mangi au aende supermarket anunue crips aje anywe na juice alale....usumbufu gani huu.
 
FL1 naomba kukuuliza......Hapa tunatakiwa tumshauri nani? mwanamke? Sasa tukishamshauri utaenda kumwambia mwanamke tuliyomshauri? Sasa mwanaume aspobadili tabia, utakuja kutuomba tena tumshauri na yeye?:confused2::confused2:
 
naomba mie nikujibu.
 
Kazi kweli waliopo ndani ya ndoa wanataka kutoka,walioponje ya ndoa wanataka kuingia kazi kwenu,heri yangu mi nisipenda kuoa:becky:
 
Mom dada huyu ameshakuwa na wasichana wawili katika vipindo tofauti lakini hali ndo hiyo.....nitampa advice toka kwako tena

kama hana mtoto ajaribu kukaa bila HG kwa kipindi fulani.
Ila hayo ya kupekua michele ni balaa. hana kazi huyo baba? mi naona wababa wengi akisharudi home anakuwa amechoka sana anachowaza ni kupumzika, sasa huyo wa kupitia makabati ametokea wapi tena?
Ubahili mwingine balaa
 
Back
Top Bottom