Plastic surgery

Mungu kakupa mwili wa kinyakyusa shetani anataka eti kukupa English figure! JARIBU UONE, MAJUTO NI MJUKUU!
 
Jamani hiyo miili ya plastic surgery inapendeza. Uongo dhambi

Tuelekezane machimbo jamani. And do and dont kwenye hili swala.
Kwa vile ushapewa ushauri na kila mtu hapa jukwaani kuhusu madhara yake sasa mwenye maamuzi ya mwisho ni wewe ufanye ama usifanye..
 
Mtatengeneza ila uzee huwa haupingwi. Baadae mwili utareject hizo body repairs and transformation then unageuka kuwa kituko.

Mtazame lil Kim, Kenny Rogers, dolly parton, kim Kardashian etc
 
No liposuction
Liposuction is a cosmetic procedure used to remove unwanted body fat. It involves sucking out small areas of fat that are hard to lose through exercise and a healthy diet. It's carried out on areas of the body where deposits of fat tend to collect, such as the buttocks, hips, thighs and tummy.
 
Back
Top Bottom