PJ still unreachable

Kumbe wewe ni G mbona umedili ka jina ketu bila kusema ..nimekutafuta wee mpaka nikaanza kucheki post..
PJ yuko wapi ?? najaribu kumcheki lakini iz not richabo
hahahaha!
festledi nitakupa bani weweee!
 
I have tried reaching him on the fone several times last week hapatikani
Preta si utuweke wazi wa kwetu bro kaenda kutangaza nia wapi???
 
tupo nae hapa grosari kwa tarimo KIAINA!si unajua mbuzi choma...
we ingilia kwa remmy hapa ukiwa unatoka kona baa,KATA KUSHOTO(kabla hujavuka pale MACHOZI-FAST FOOD sijui nini!lakini kwenye jiko lile

unakunywa whiscky gani?
 
wakwetu na wadau wote mnaomuulizia PJ, ni kweli PJ yupo likizo na jana jioni nimeongea nae, nilimpata kwa bahati maana alikuwa sehemu yenye network, nilimpa salamu zenu na alinijulisha baada ya wiki kama mbili zimebaki amalize likizo yake, hivyo PJ is health and kicking, anawamiss sana, so wadau tuvute subira PJ will be back soon
 
kaka mpwaz dah!!! ngoja nifikirie kwanza

wakwetu na wadau wote mnaomuulizia PJ, ni kweli PJ yupo likizo na jana jioni nimeongea nae, nilimpata kwa bahati maana alikuwa sehemu yenye network, nilimpa salamu zenu na alinijulisha baada ya wiki kama mbili zimebaki amalize likizo yake, hivyo PJ is health and kicking, anawamiss sana, so wadau tuvute subira PJ will be back soon

uhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!! asante mamii!! see u soon!!
 
thanks askofu... i hope he will come out of his hiding tomb alive and unscathed!!

I THINK ITS GOOD SASA TUANZE KUMTAFUTA MBU NA WOS.... BILA KUSAHAU SUSUVIRI NA MTAALAM MWENYEWE BAK, SIKU HIZI NAONA ANANUSA NA KUSEPA

PRETA MZIMA LAKINI? MAANA LEO NIMEPATA NYAMA SPICE PALE CITY, WALLAH MURUA MANTASHAHU...

nipo poa kabisa.....hii ndio Arachuga mkuu kila kitu kinapatikana......jiandae kwenda kula mamba choma....hii wewe mbado kuona
 
uhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!! asante mamii!! see u soon!![/QUOTE]

yeeeeeeeeeeeee :welcome: can't wait
 
wakwetu na wadau wote mnaomuulizia PJ, ni kweli PJ yupo likizo na jana jioni nimeongea nae, nilimpata kwa bahati maana alikuwa sehemu yenye network, nilimpa salamu zenu na alinijulisha baada ya wiki kama mbili zimebaki amalize likizo yake, hivyo PJ is health and kicking, anawamiss sana, so wadau tuvute subira PJ will be back soon

Thanks Preta, mwambie kila saa nne awe anapanda juu ya mti tunampigia weeeee, then anashuka na kuendelea na kuvuna... pia si vibaya ukimwambia kwamba ajaribu kununua simu za zambia au malawi, maana network zao zinafika mbeya na iringa, za kwetu hazifiki hadi mbunge aende kutangaza nia!!!
 
infidelity ndo yenyewe bana!.....
we vipi bana
HE... yamekua hayo?? yaani ndoa hata siku 365 na robo bado mkuu?

acha hizo mazee, karibu hapa freedom ule ngombe choma mazee, kuna timu ya mtu kama laki hivi ndani track moja!!!
 
waambie waniwekee mkia moja (thupuz)......iwe ya moto
 
PJ... PJ ....WHERE ARE YOU BRODA ..I miss you like crazy
Every minute of every day ....... mbona uko offline Completely:tape:
 
hehehehe!
aafu wewe mbona unamuulizia sana piijei jamani
jamaa kaoa shauri zako
 
Teamo acha Visa .wewe nisipokuona 1 week nitakutafuta mpaka Bango pale TBC 1..
na wewe si umeoa tena ndoa yako Brand new
Mie nimeolewa pia ...hahaha tarehe 20 -06 nafanya anivesari ya miaka 20 ya ndoa
 
mmh hapo nahisi ndo utakuwa umefikisha miaka 20 tangu kuzaliwa matron lol!!!
 
wakwetu na wadau wote mnaomuulizia PJ, ni kweli PJ yupo likizo na jana jioni nimeongea nae, nilimpata kwa bahati maana alikuwa sehemu yenye network, nilimpa salamu zenu na alinijulisha baada ya wiki kama mbili zimebaki amalize likizo yake, hivyo PJ is health and kicking, anawamiss sana, so wadau tuvute subira PJ will be back soon

Happy to hear that.tunamsubiri kwa hamu!
 
wakwetu na wadau wote mnaomuulizia PJ, ni kweli PJ yupo likizo na jana jioni nimeongea nae, nilimpata kwa bahati maana alikuwa sehemu yenye network, nilimpa salamu zenu na alinijulisha baada ya wiki kama mbili zimebaki amalize likizo yake, hivyo PJ is health and kicking, anawamiss sana, so wadau tuvute subira PJ will be back soon

Hivi nimeamkia wapi hapa nilikuwa sijapaona ndo maana Teamo kanisema asante Preta
 
mmh hapo nahisi ndo utakuwa umefikisha miaka 20 tangu kuzaliwa matron lol!!!

Binamu ni kweli naomba uwepo tarehe 20 ,siku hizi kila kitu ni michango..nataka kuweka spead sheet ya mchango
 
Back
Top Bottom