PJ still unreachable

pj maana yake nini maana nimemsikia jamaa mmoja anatamka pj ikiwa na maana ya pamoja..............hebu kama una nia nzuri eleza kwa ufasaha ili kila anayefungua thread yako aelewe maana ya kile unachokiandika.....................TUSICHOSHANE

PJ ni Paka Jimmy...kingine?
 
pj maana yake nini maana nimemsikia jamaa mmoja anatamka pj ikiwa na maana ya pamoja..............hebu kama una nia nzuri eleza kwa ufasaha ili kila anayefungua thread yako aelewe maana ya kile unachokiandika.....................TUSICHOSHANE

Thanks jile, pj ni pakajimmy namtafuta hapatikani... Sorry for inconveniences
 
yeah right, lazima atakuja na singles kama tatu hivi za kuua n'tu akirejea dimbani
 
PakaJimmy umepotea sana kwa nini umeondoka bila kuaga jamani ??

miss_you_6.gif
 
wadau, naona huyu jamaa sasa anahitaji serious search au tumweke kwenye lost people

Arusha is not the same without him

PJ yuko likizo, Mbeya Vijijini... huko hakuna Network mpaka apande juu ya mti... hakuna TV... Radio labda ya Bendi 2 ikitegeshwa maeneo fulani network inakamata...

Lakini atakuwepo Diamond kwenye Makhirikhiri this coming Weekend!!
 
Arusha is not the same without him
Nakubaliana na wewe kabisa De Novo, Arusha hapakaliki pasipo uwepo wa PakaJimmy. Ni mtu mmoja mcheshi sana huyu broda na mwenye kujua nini maana ya utu.

Lakini huyu jamaa kaenda wapi wajameni. Please come out bra PJ
 
PJ yuko likizo, Mbeya Vijijini... huko hakuna Network mpaka apande juu ya mti... hakuna TV... Radio labda ya Bendi 2 ikitegeshwa maeneo fulani network inakamata...

Lakini atakuwepo Diamond kwenye Makhirikhiri this coming Weekend!!

thanks askofu... i hope he will come out of his hiding tomb alive and unscathed!!

I THINK ITS GOOD SASA TUANZE KUMTAFUTA MBU NA WOS.... BILA KUSAHAU SUSUVIRI NA MTAALAM MWENYEWE BAK, SIKU HIZI NAONA ANANUSA NA KUSEPA

PRETA MZIMA LAKINI? MAANA LEO NIMEPATA NYAMA SPICE PALE CITY, WALLAH MURUA MANTASHAHU...
 
Nakubaliana na wewe kabisa De Novo, Arusha hapakaliki pasipo uwepo wa PakaJimmy. Ni mtu mmoja mcheshi sana huyu broda na mwenye kujua nini maana ya utu.

Lakini huyu jamaa kaenda wapi wajameni. Please come out bra PJ

hohoooo mkuu
you can say that again, and again
baadhi hatuelewi power ya hizi networks
but they are really helpful na entertaining

we are swimming in a polluted environment
spoil by our own deeds and greed
degraded by our own conduct and needs
yet we need to find time, to add just one more friend
just one more friend everyday makes us better
makes us see the other side of the world

cute faces and nice people, intelligent and loving

THATS WHY WE LOOK FOR FRIENDS, ESPECIALLY WHEN THEY ARE NOT ONLINE

CHEERS
 
CHEETS
kaka vipi?
INFIDELITY .....?!fresh?au?:behindsofa:
 
kaka vipi?
INFIDELITY .....?!fresh?au?:behindsofa:

Kumbe wewe ni G mbona umedili ka jina ketu bila kusema ..nimekutafuta wee mpaka nikaanza kucheki post..
PJ yuko wapi ?? najaribu kumcheki lakini iz not richabo
 
Back
Top Bottom