Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Miss called badala ya missed call.
Ivi mkuu missed call inamaanisha Call ilopigwa ikaitaa wee lkn haikupokelewa mpaka ikajikata, so wee ulipigiwa ndo unataarifiwa kua kuna call umeimis

Sasa huwa najiuliza..kuna mtu anakupigia huku kidole kipo kwa button ya kukatia. Yaan ni paaa uyo keshakata ,wakat mwingine kuna watu ni magwiji wa kubeep yaan utaona mwanga tu ,tayar mtu keshakata.

Hii nayo tunaiita Missed call?? Kuuliza sio ujinga.

"Dume la Nyani haliogopi Umande"
 
Hahhahahaahhahah Mkuu hii nayo ni changamoto...yaani sina jibu la haraka
 
Nikawaza labda iitwe "Beeped call" kwa sababu mpigaji anakua nakusuduo la kubeep tu .
Alafu hii yakupiga lkn mpokeaji hapokei mpaka sim inakata ndo tuendelee kuiita Missed call .

Ivi ni kudeep au kubeep??au yote sio sahihi

"Dume la Nyani haliogopi Umande"
 
Back
Top Bottom