Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

hivi heading huwa unasoma au ndio kujifanya much know sana eenh! Ushaambiwa vitu vilivyokuwa vinatamkwa kimakosa wewe unaleta maigizo
Kubali kushindwa na sema ahsante kwa kupewa elimu ya bure

Ukaidi haulipi
 
self container = self contained
air condition = air conditioner
off time = half time
photocopy machine = photocopier / copier / copy machine

Wengi wanakwama hapo, tembelea vimbanda umiza utaikuta sana
 
  • Thanks
Reactions: mij
Kwa wale Wanaotumia magari

Saidimira badala ya Sight Mirror....

Rejeta badala ya Radiator...

Eksosi badala ya Exhaust

Spare tyre badala ya Reserve tyre...

Speed Meter badala ya Speed Gauge...

Dabokibini badala ya Double Cabin...

Eksisi kuna watu wanaita EGIZOSTI
 
Haya makosa yanachangiwa na ndugu zetu wengi wao lugha hawaijui pale wanapotaka kutamka vitu,mbaya zaidi wengine ni wasomi ila hawafuatilii mambo.
Kama la kofia ngumu kuitwa "element" badala ya "helmet" ni too much sijui kwa kuwa bodaboda ni nyingi.
Ila mafundi wa magari nao shida
Kuna mtu hapa aliandika sahihi naona kuna mwingine naye anataka kupoteza watu,kioo cha pembeni ya gari kinaitwa "side mirror" kwa maana ni cha kuangalizia maeneo ya pembeni mwa gari na si sahihi kuita "site mirror".

Shida nyingine ni kwenye lile vazi tunalovaa kutukinga tusichafuke hasa unapokuwa unafanya kazi kwenye mazingira ambapo unaweza ukachafua nguo zako.
Vazi hilo linaitwa "over all' na si "overoli" kama ilivyo zoeleka,hapo ni mtu kusikia jina kwa kiingereza sasa anapotaka kulileta kwenye kiswahili ndiyo shida inaanzia hapo.

Wakati nasoma o-level miaka fulani hivi sijui sasa watu walikuwa na shida "pamphlet" walikuwa wanaita "perfect" ,utamsikia mtu anasema "naomba perfect langu la biology,physics etc".
Michapio haiangalii level ya elimu kila mtu huchapia kulingana na level yake
Katika kiingereza uwanja wa mpira unaitwa "stadium"(singula) wingi wa viwanja ni "Stadia" wakati naandika notice za biology form one,nilichemka mara mwalimu aandike "phyla" mara "phylum" sasa alikuwa hajatuelezea,nikaona isiwe taabu nikwa nabadilisha kumbe nilikuwa najipoteza.
Hata sasa ipo shida maofisini,neno "agenda" tayari ni wingi,hivyo kuongeza kwako "s" liwe "agendas" wanaojua watakucheka.Ni sawa na neno "memoranda" na singular yake "memorandum".
Unahitaji kuwekeza muda kujifunza.
Na kwa sababu hatutaki kuwekeza muda kujifunza nimalizie kwa kusema kwamba ndiyo maana tunaangamizwa kwa kukosa maarifa kama Biblia ilivyosema.
Fuatilia haya maneno
1. all together and altogether
2.Going to market/church and going to the market/church
3.Hili neno unalitamkaje "schedule"?
Labda tu nikushirikishe haka ka point long time wakati nasoma nilikuwa najitahidi kuelewa na si kukarii,katika utamkaji wa maneno ya kiingereza ,penye hizi herufi mbili zinapofuatana "ou" zitatamkwa kama "aa" mfano out,about and neighbour
Ndugu zangu kujifunza hakuna mwisho,niwashauri muwe na ka utaratibu ka kujisomea Biblia zenu kila siku enyi mlio wakristo na wengine kama mkipenda.
 
Vazi hilo linaitwa "over all' na si "overoli" kama ilivyo zoeleka,hapo ni mtu kusikia jina kwa kiingereza sasa anapotaka kulita kwenye kiswahili ndiyo shida inaanzia hapo.

Wakati nasoma o-level miaka fulani hivi sijui sasa watu walikuwa na shida "pamphlet" walikuwa wanaita "perfect" ,utamsikia mtu anasema "naomba perfect langu la biology,physics etc".
Mickapio haiangalii level ya elimu kila mtu huchapia kulingana na level yake
Katika kiingereza uwanga wa mpira unaitwa "stadium"(singula) wingi wa viwanja ni "Stadia" wakati naandika notice za biology form one,nilichemka mara mwalimu aandike "phyla" mara "phylum" sasa alikuwa hajatuelezea,nikaona isiwe taabu nikwa nabadilisha kumbe nilikuwa najipoteza.
Hata sasa ipo shida maofisini,neno "agenda" tayari ni wingi,hivyo kuongeza kwako "s" liwe "agendas" wanaojua watakucheza.Ni sawa na neno "memoranda" na singular yake "memorandum".
Unahitaji kuwekeza muda kujifunza.
Na kwa sababu hatutaki kuwekeza muda kujifunza nimalizie kwa kusema kwamba ndiyo maana tunaangamizwa kwa kukosa maarifa kama Biblia ilivyosema.
Fuatilia haya maneno
1. all together and altogether
2.Going to market/church and going to the market/church
3.Hili neno unalitamkaje "schedule"?
Labda tu nikushirikishe haka ka point long time wakati nasoma nilikuwa najitahidi kuelewa na si kukarii,katika utamkaji wa maneno ya kiingereza ,penye hizi herufi mili zinapofuatana "ou" zitatamkwa kama "aa" mfano out,about and neighbour
Ndugu zangu kujifunz ahakuna mwisho,niwashauri muwe na ka utaratibu ka kujisomea Biblia zenu kila siku enyi mlio wakristo na wengine kama mkipenda.
Kuhusu "stadium" na "stadia"... Kweli ni sahihi. Tena, neno lo lote la kiingereza linaloishia "-um" linabadilishwa mwisho wake uwe "-a" hivyo. Mifano: "phylum/phyla" (wa kwako), "datum/data", "spectrum/spectra", "ovum/ova". Lakini siyo lazima kwa maneno fulani, hasa stadium. Kwa sisi tunaoongea kiingereza, tunasema tu "stadiums".
 
Mkuu uko sahihi,ila hayo maneno asili yake ni kilatini,sasa "ukisema" stadiums unakuwa umekosea ni sawa na kusema agendas,fuatili ni maneno yenye asili ya kilatini.
 
Haya makosa yanachangiwa na ndugu zetu wengi wao lugha hawaijui pale wanapotaka kutamka vitu,mbaya zaidi wengine ni wasomi ila hawafuatilii mambo.
Kama la kofia ngumu kuitwa "element" badala ya "helmet" ni too much sijui kwa kuwa bodaboda ni nyingi.
Ila mafundi wa magari nao shida
Kuna mtu hapa aliandika sahihi naona kuna mwingine naye anataka kupoteza watu,kioo cha pembeni ya gari kinaitwa "side mirror" kwa maana ni cha kuangalizia maeneo ya pembeni mwa gari na si sahihi kuita "site mirror".

Shida nyingine ni kwenye lile vazi tunalovaa kutukinga tusichafuke hasa unapokuwa unafanya kazi kwenye mazingira ambapo unaweza ukachafua nguo zako.
Vazi hilo linaitwa "over all' na si "overoli" kama ilivyo zoeleka,hapo ni mtu kusikia jina kwa kiingereza sasa anapotaka kulileta kwenye kiswahili ndiyo shida inaanzia hapo.

Wakati nasoma o-level miaka fulani hivi sijui sasa watu walikuwa na shida "pamphlet" walikuwa wanaita "perfect" ,utamsikia mtu anasema "naomba perfect langu la biology,physics etc".
Michapio haiangalii level ya elimu kila mtu huchapia kulingana na level yake
Katika kiingereza uwanja wa mpira unaitwa "stadium"(singula) wingi wa viwanja ni "Stadia" wakati naandika notice za biology form one,nilichemka mara mwalimu aandike "phyla" mara "phylum" sasa alikuwa hajatuelezea,nikaona isiwe taabu nikwa nabadilisha kumbe nilikuwa najipoteza.
Hata sasa ipo shida maofisini,neno "agenda" tayari ni wingi,hivyo kuongeza kwako "s" liwe "agendas" wanaojua watakucheka.Ni sawa na neno "memoranda" na singular yake "memorandum".
Unahitaji kuwekeza muda kujifunza.
Na kwa sababu hatutaki kuwekeza muda kujifunza nimalizie kwa kusema kwamba ndiyo maana tunaangamizwa kwa kukosa maarifa kama Biblia ilivyosema.
Fuatilia haya maneno
1. all together and altogether
2.Going to market/church and going to the market/church
3.Hili neno unalitamkaje "schedule"?
Labda tu nikushirikishe haka ka point long time wakati nasoma nilikuwa najitahidi kuelewa na si kukarii,katika utamkaji wa maneno ya kiingereza ,penye hizi herufi mbili zinapofuatana "ou" zitatamkwa kama "aa" mfano out,about and neighbour
Ndugu zangu kujifunza hakuna mwisho,niwashauri muwe na ka utaratibu ka kujisomea Biblia zenu kila siku enyi mlio wakristo na wengine kama mkipenda.
very nice
 
  • Thanks
Reactions: cdc
Back
Top Bottom