Pisi kali iliyonisumbua, na hatimaye iko mikononi mwangu

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,474
40,473
Nimekumbuka kisa kimoja kilinitokea miaka miwili iliyopita.

Mi ni mtu nikiwa na kasalio kidogo, huwa sipendi kujibana bana; nitaenda kujumuika na jamii ili mradi siku iende vizuri, hasa siku za wkend.

Siku moja, nikaenda kiwanja kimoja machachari; nikawa napiga vyangu chupa huku nasikilizia 'vibe' la mziki.

Ghafla pisi moja kali ikaingia, imekwenda hewani, nyonga na kiuno zimeungana vizuri na kutengeneza curvy, toto jeupe, kapiga rasta ndefu zinaishia kwenye makalio; akaenda kukaa kaunta, akiwa pamoja na rafiki yake, akaagiza savana zake nne.

Nilipomuona tu, mwili ukaishiwa nguvu ghafla; kwa sababu mimi kwa pisi kali huwa nakuwa mnyonge sana. Kwa ujumla huwa napenda warembo wazuri.

Ikabidi nimuite muhudumu ili aniongeze vinywaji, ili niweze kuongeza ujasiri wa kwenda kumtongoza yule mrembo.

Baada ya kupiga chupa kazaa, nikawa na ujasiri; nikachua glasi yangu ya kinywaji nikawa nacheza mziki huku nikimfuata yule mrembo.

Kutokana na swaga zangu, mrembo alipokea mkono wangu, nikajitambulisha, nikamuita muhudumu ili amuongezee kinywaji. Baada ya hapo, nikampa simu yangu aandike namba. Akachukua simu yangu na kuweka namba yake na kupiga.

Baada ya hapo nikarejea meza yangu; baada ya lisaa limoja nikaanza kumchombeza, kuwa nataka niondoke naye.

Mrembo akanikata stimu, anataka laki tatu; nikamjibu kwa sasa sina ila kama atatoka na mimi kesho kutwa ningempatia; mrembo akagoma kabisa.

Ikabidi nibaki kinyonge, ingawa mrembo alikuwa ameteka moyo wangu vibaya sana. Ikabidi nimtumie ujumbe namna nilivyo nahisia naye, lakini hakunijibu.

Niliumia sana, na kufuta namba yake ili nisiendelee kupata machungu. Baada ya kama wiki moja kupita, huku nikiwa nimemsahau kabisa, akanitumia ujumbe, ''bby mambo, uko powa?''

Nikamjibu, niko powa niambie? akajibu ujumbe, ''leo niko free tunaweza kuonana?'' Baada ya kuchat sana, ikabidi tutafute 'venue' ya mazungumzo.

Baada ya muda tukawa tumefika eneo la tukio, tukaagiza vinywaji huku, tukingojea kuku aive huko jikoni. Mrembo akafunguka, nami nikamfungukia.

Baada ya kula na kunywa, ikabidi tuelekee nyumba ya kulala wageni; kwa hasira nilizokuwa nazo, kule ilikuwa ni kumsulubu tu, nilihakikisha nampa mautundu yote, ili yeye mwenyewe awe ananitafuta. Mwisho nikamshinikiza acheze 'amazon'

Kufika asubuhi wote tumechoka, macho mekundu; kwa sababu hakuna aliyelala, wote tulikuwa popo.

Baada ya hapo, yeye mwenyewe akawa anahamasisha tendo na si mimi tena. Baada ya siku kadhaa kupita, nikamwambia tukutane pale tulipokutana mara ya kwanza angalau tukapate 'vibe'.

Mi ndio nilikuwa wa kwanza kufika, nikaagiza kinywaji changu, nikapiga kama chupa nne hivi, kuangalia saa muda unaenda kweli na mrembo hajafika.

Kuchukua simu ni mpigie, simu haina mtandao (voda); katika kuangaza angaza, ndipo nikamuona yule rafiki yake aliyekuwa amekaa naye ile mara ya kwanza.

Nikamfuata, na kumuuliza kuhusu rafiki yake, kama inawezekana ajaribu kumpigia ili nijue yupo sehemu gani. Mnavyojua tena, mashangingi ya mjini yana dharau, likanitazama kwa jicho la dharau na hakunisikiliza.

Ikabidi nirudi mezani kwangu, na kumuomba muhudumu nitumie simu yake kupiga; aliponipatia ndio nikampa maelekezo na akaniambia ndani ya dk 10 atakuwa amefika.

Baada ya kufika, 'vibe' iliongezeka hatari, ukichangia ana swaga zote za mtoto wa kike; ikabidi jikoni tuagize mguu wa mee, uku tukiendelea na ulabu pamoja na 'romance'

Wa jikoni, akaleta msosi tukawa tunakandamiza; mara yule rafiki yake aliyenionyesha nyodo, baada ya kumuona mwenzie akaja mezani kwetu, aliponiona tu, akaniomba msamaha, na kusema alikuwa anisikii vizuri.

Mi kwenye nafsi yangu nikawa nacheka tu, mara mrembo wangu akasema msamehe tu, nami nikamwambia haina shida ila usipende kudharau dharau watu. Na kilichomuuma zaidi mpaka kuomba msamaha, huyu mrembo niliyenaye ni pisi kali iliyopitiliza, kwa akili zake alikuwa anajiuliza inakuwaje naweza kummiliki.

Kwa sasa ni kugonga shoo tu, na ikiwezekana ni kufyatua watoto wawili hapo baadaye; ingawa mwanzo ulikuwa mgumu sana.​
 
Ina nyash
 
Back
Top Bottom