Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,458
Wajameni, naombeni kuuliza, katika nchi zilizoendelea, wanavyo vitengo maalum vinavyojitegemea vinavyohusu masuala ya money laundering, kukwepa kodi, piracy kama hii ya wasomali iliyoteka watz wenzetu, terrorism, corruption na case za kimafia....nchi hizi huweka kitengo maalum kabisa chenye investigators wa kutosha, prosecutors wa kutosha kwenye special departments kama hizo, na wanasheria wa kutosha. ndio maana ni vigumu sana kufanya rushwa kubwa, money laundering, na ugaidi nchi za magaribi...hata ukifanya usigundulike, its just a matter of time, kuna siku hata miaka 20 ikipita utajikuta uko kiganjani....
lakini Tanzania, mambo haya yote tumeyaweka pamoja na criminal acts zingine...na mlolongo wa kufanya investigation ni uleule wa polisi ambao wengi wao ni majambazi na wara rushwa...kwanini Tanzania isiweke kitengo maalumu kushugulikia hili? au hata kuweka mahakama special tu ya kuprosecute hawa mapirates wa somalia at least to publicize ourselves..kama ilivyo kenya, wameingia mkataba na mataifa ya NATO, maharamia wakikamatwa kwenye international waters wanapelekwa mahakama za kenya....Tanzania wamekuja hadi chumbani wameteka ndugu zetu kwa miezi kibao..lakini tumechanganya makosa haya na makosa mengine tu ya jinai....corrupt officials hawa wangekuwa na kitengo chao binafsi, pesa za ugaidi zinazoingizwa nchini, money laundering inayofanywa na viongozi wetu na wafanya biashara, etc, vingekuwa na kitengo chao binafsi...hivi Tatizo hili la maharamia, magaidi, rushwa na money laundering litaisha lini Tz? bank ukienda hata hawakujui..
nawakilisha kwa wale wanaoelewa hili jambo?