Pinda ni masikini kweli...tuache unafiki.

Hivi umaskini ndo sifa ya kiongozi bora? Naamini kuwa maskini ni ujinga tu na kuonyesha jinsi gani hukutumia akili na fursa zilizopo kujiletea maendeleo binafsi.Amekuwa serikalini miaka zaidi ya ishirini serikalini na bado ni maskini,du!
Kama kiongozi ni maskini atawezaje kuwaondoa wananchi toka kwenye umaskini? Je kipofu anawezaje kumuongoza kipofu mwenzie, siwatatumbukia wote shimoni?
 


kWAHIYO NDIO KUSEMA ANATAKAKWENDA SHAMBA AU WAPI? KAMA ANAKWENDA SHAMBA NIKUONESHA WAZI KUWA HANA USHIRIKIANO MZURI NA WAKRISTO SIKU YA LEO NI KUPUMZIKA NA KUSHEHEREKEA
 
Hatujaona bado nguvu dhidi ya mafisadi. Sokoine ilikuwa inafika wakati anaamua kufanya kweli juu ya uhujumu uchumi na Mchonga akimwingilia anajiendea Monduli kwenye mitala yake. Nyerere anamfuata kumbembeleza arudi na kisha anamwacha afanye kweli. Tuliokuwepo enzi hizo late 70s na early 80 haya mnayajua.
 
Du huyu jamaa anafuata nyayo za sokoine na nyerere! May be the president to come!

Wewe wa mwaka gani? Pinda ni "kokoto" kwa Mwl. Nyerere na Sokoine. Unalinganisha Treni ya TRL na toy la plastic! Huu ni muendelezo wa usanii wake, alianzia Bungeni kumwaga chozi, amekataa VX-V8 la uwaziri mkuu nanachukua la Ubunge, sasa anaendelea na filamu. Subirini tu mtaona maajabu, vituko na viloja vya filamu hii kwenye vikao vya bunge lijalo.

Japo usanii wake hauvutii lakini afanyeje, mafisadi wameiweka serikali yoote ya JMT mfukoni mwao! Huwa najiuliza atakuja kukumbukwa kwa lipi baadaye? -KK (Kilimo Kwanza) yake? Ana nafasi nzuri sana ya kuja kukumbukwa baadaye na watanzania kama akiamua kama noma na iwe noma kwa kuwashughulikia mafisadi kama alivyofanya Sokoine! Akipoteza nafasi hiyo yeye ndo atakuja kulaumiwa kwa filamu yake.
 
Usanii at its best, PM asiye na TAMKO, Dowans wanataka fedha kwa uwizi wa wazi yy anaenda kulima? hivi X-mass ndio siku ya kulima?
 
Usanii at its best, PM asiye na TAMKO, Dowans wanataka fedha kwa uwizi wa wazi yy anaenda kulima? hivi X-mass ndio siku ya kulima?

:teeth: nimeipenda sana replay yako kula gwara! aka 5! msanii tu huyu sura mbaya! hana cha umasikini wala nini
 
Pinda umefanya nini huko kijiji kwako. Kujichanganya na wanakiji sio kitu, cha msingi nini umebadili kwa hao watu. Usijifanye mwanakiji kumbe ni born town wa kutupwa ila kuulaji unajichanganya na hao innocent poor pepole.




Hilo swali ni la kumuacha tu muheshimiwa maana hawezi kulijibu.Na ikumbukwe kuwa huko aliko ni pande za UFIPA na sifa za huko kila mtu anazijua.Unaweza kuwaita hawa watu kuwa ni innocent poor people kweli?
 
inaelekea kijiji kizima wamehamia kwa huyu mkulima,hesabu hao jamaa hapo wanaopiga chai,bado ndani sijui wako wangapi na kwingineko.

Hakuna kitu hapo ni usanii tu wa kutafuta kukubalika lakini ukweli huko pale pale. Atwambie kwanza Kagoda ni nani, meremeta, etc ndio tutajua kweli ana uchungu wa nchi na ni mtoto wa mkulima. Kwani nani sio mtoto wa mkulima? Hata Fisadi Lowassa ni mtoto wa mkulima vile vile!!!1

Tiba
 
Hakuna kitu hapo ni usanii tu wa kutafuta kukubalika lakini ukweli huko pale pale. Atwambie kwanza Kagoda ni nani, meremeta, etc ndio tutajua kweli ana uchungu wa nchi na ni mtoto wa mkulima. Kwani nani sio mtoto wa mkulima? Hata Fisadi Lowassa ni mtoto wa mkulima vile vile!!!1

Tiba

tusidanganyane ndugu yangu pinda ndiyo walewale walioko kwenye chungu kimoja inawezekana vipi kutoka mtu humo ajaungua wakati chungu kiko jikoni na moto mkali chini yake
 
Inatakiwa ifike mahali viongozi wasione ni sifa kuwa maskini, umaskini si sifa hata kidogo

Hasa umaskini wenyewe ikiwa ni umaskini wenye kuweza kuondolewa kwa njia rahisi

Pinda is big lier, naona anawatesa wafanyakazi wake bure (i mean wafanyakazi wa serikali)

Ukiwa mkulima unaruhsu watu kuibiwa kwasababu hujui mbinu zao nalo hilo ni tatizo

Pinda bwana nakuomba uwe sirias kidogo...
 
Hapa hakuna cha umasikini ila ni uchafu tu. Hii ni aibu kwa kiongozi wa nchi. Waliotoa picha hii wajue wamemdhalilisha tu. Hapa inaonyesha bi mkubwa ameshindwa kusimamia usafi wa nyumba ya mzee. Huu uwanja unaonyesha haujafagiliwa, jiko chafu, wanaharibu mazingira kwa kukata miti, vyombo vipo shaghala baghala, jikoni majivu kibao, ona jinsi hii ndoo nyeupe ilivyo na mabaka sugu ya uchafu. Chai ipo jikoni kila mtu anajitekea kwa chombo chake na kwa wakati wake. Huyu naye anateka uji kutoka kwenye ndoo

Mkuu nimekugongea Thanks Ikagoma!!!
 
Du huyu jamaa anafuata nyayo za sokoine na nyerere! May be the president to come!
But He still Nyoka wa Kibisa Jamaa hana makali wala hakuna mtu anayemuogopa, watu wanakwiba wanakwapua yeye kabaki mimi mtoto wa mkulima.
Nyerere au sokoine walikuwa wanakutimua kazi wakati wakati unasota rumande kesi yako inaunguruma kwa pilato kwa kuhujumu uchumi. Huyu hafanani nao hata kidogo.
Usichanganyikiwe na sanaa hizo mbona hata kaole zipo.
 
Maskini? Labda ufafanue vizuri. FYI background on the photo ya Pinda kijijini kwake ina-suggest otherwise kuwa Pinda si maskini. Mnaona banda lililojengwa kijijini kwa mabati? Hiyo maana yake ni kuwa huyo si avarage person. Labada anaweza kuwa maskini kama unamlinganisha na Lowasa, Kikwete, Rostam .....
 
Mwandosya naye vp? hapa ni kijijini kwake rungwe alikoenda mapumzikoni xmas...na yeye ni msanii? Sema yeye anagawa soda sio uji kama fukara Pinda Kayanza Mizengo.
 
Hawezi kuwa kiongozi bora kama Nyerere maana sioni matendo yake zaidi ya maneno mengi yasiyo na actions hebu angalia tuu hapo nchi jirani jinsi Raila Odinga anavyo fanya kazi. Acha maneno start doing it hata kama mkwere atakubania tutaona efforts zako na tuta ku support mbona Magufuli anafanya? Na ningependa Magufuli awe waziri mkuu najua angetenda mengi mazuri maana hajali aliye mteua bali anajali waliomchagua nao ni wa tz wa jimboni kwake, acha kumgwaya mkwere piga kazi ujitofautishe naye kikazi siyo maneno
 
12_10_6scme1.jpg

VILLAGE LIFE: The now famous label for Prime Minister Mizengo Pinda, ‘Son of a Peasant’ is amply illustrated in this picture as he adjusts his gum boots ready for another busy day in his farm. And what a better way to start the day than having a cup of hot tea being prepared in an open air kitchen! Mr Pinda is on a Christmas and New Year holidays at his home village in Mpanda District. Second left is his wife, Tunu. (Photo by PMO)

fix kila kukicha....... simuelewe yeyote alioko CCM period!!!!!
 
Back
Top Bottom