Pinda ni masikini kweli...tuache unafiki.

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,422
911,172
12_10_6scme1.jpg

VILLAGE LIFE: The now famous label for Prime Minister Mizengo Pinda, ‘Son of a Peasant’ is amply illustrated in this picture as he adjusts his gum boots ready for another busy day in his farm. And what a better way to start the day than having a cup of hot tea being prepared in an open air kitchen! Mr Pinda is on a Christmas and New Year holidays at his home village in Mpanda District. Second left is his wife, Tunu. (Photo by PMO)
 
VILLAGE LIFE: The now famous label for Prime Minister Mizengo Pinda, ‘Son of a Peasant' is amply illustrated in this picture as he adjusts his gum boots ready for another busy day in his farm. And what a better way to start the day than having a cup of hot tea being prepared in an open air kitchen! Mr Pinda is on a Christmas and New Year holidays at his home village in Mpanda District. Second left is his wife, Tunu. (Photo by PMO)

Lengo la gazeti la Daily News.......ni kuonyesha ya kuwa " A son of peasnt".........ndiyo nembo inaywakilisha vyema taswira ya Pinda.....................but is it a true one...................or a mere concoction....................
 
Ni usanii uleule. I will never be fooled.
 
...Hata Kama sio..... Si viongozi wanaweza kufanya Kama anavyofanya Mheshimiwa huyu
 
12_10_6scme1.jpg

VILLAGE LIFE: The now famous label for Prime Minister Mizengo Pinda, ‘Son of a Peasant’ is amply illustrated in this picture as he adjusts his gum boots ready for another busy day in his farm. And what a better way to start the day than having a cup of hot tea being prepared in an open air kitchen! Mr Pinda is on a Christmas and New Year holidays at his home village in Mpanda District. Second left is his wife, Tunu. (Photo by PMO)

Pinda you can fool some people for sometime but you can't fool all the people all time,you just a pretender,a gold digger,a puppet,disgraced who do nothing as expected by most of wananchi but only used by Mkwere as microphone...Pinda you'are a shame
 
Du huyu jamaa anafuata nyayo za sokoine na nyerere! May be the president to come!
 
Please do not compare him the Sokoine. He was from another planet. Mtoto wa mkulima amekataa gari la kifahari. Lakini ni mtoto wa mkulima huyo huyo mwenye dhamana ya kuadhinisha ununuzi wa magari hayo. Angekataa kuadhinisha in the first place!
 
du huyu jamaa anafuata nyayo za sokoine na nyerere! May be the president to come!

huyu siwezi mpa kura yangu. May be sammuel 6.
Jamaa is only a big stage performer.
Apige kazi kama huyu mama wa ardhi, magufuli, slaa, n.k
 
me naweza kuamini kama ni mtoto wa mkulima akiwa nje ya ccm,ila kati kati ya lindi la mafisadi awepo msafi kweli?
naye atachafuka tu
 
Definition ya wealthy (Rich)
Income = expenses + savings
(Kama baada ya matumizi yake yote anabaki na savings za kutosha basi huyu bwana sio masikini bali sio mtu wa matanuzi)

Mwingine anaweza akawa na ma v8, Hummer, nyumba na ardhi ya kumwaga lakini
Income < expenses
 
NAOMBA VIDEO CLIP YA PINDA AKILIMA KWA JEMBE LA MKONO WALAU NUSU SAA HIVI NDO NTAAMINI HE IS SON OF PEASANT......
Vinginevyo huu wote usanii wa kupenda press attention. Apige mzigo kwa jembe aone...
 
12_10_6scme1.jpg

VILLAGE LIFE: The now famous label for Prime Minister Mizengo Pinda, &#8216;Son of a Peasant' is amply illustrated in this picture as he adjusts his gum boots ready for another busy day in his farm. And what a better way to start the day than having a cup of hot tea being prepared in an open air kitchen! Mr Pinda is on a Christmas and New Year holidays at his home village in Mpanda District. Second left is his wife, Tunu. (Photo by PMO)

Hapa hakuna cha umasikini ila ni uchafu tu. Hii ni aibu kwa kiongozi wa nchi. Waliotoa picha hii wajue wamemdhalilisha tu. Hapa inaonyesha bi mkubwa ameshindwa kusimamia usafi wa nyumba ya mzee. Huu uwanja unaonyesha haujafagiliwa, jiko chafu, wanaharibu mazingira kwa kukata miti, vyombo vipo shaghala baghala, jikoni majivu kibao, ona jinsi hii ndoo nyeupe ilivyo na mabaka sugu ya uchafu. Chai ipo jikoni kila mtu anajitekea kwa chombo chake na kwa wakati wake. Huyu naye anateka uji kutoka kwenye ndoo
 
Pinda umefanya nini huko kijiji kwako. Kujichanganya na wanakiji sio kitu, cha msingi nini umebadili kwa hao watu. Usijifanye mwanakiji kumbe ni born town wa kutupwa ila kuulaji unajichanganya na hao innocent poor pepole.
 
12_10_6scme1.jpg

VILLAGE LIFE: The now famous label for Prime Minister Mizengo Pinda, &#8216;Son of a Peasant' is amply illustrated in this picture as he adjusts his gum boots ready for another busy day in his farm. And what a better way to start the day than having a cup of hot tea being prepared in an open air kitchen! Mr Pinda is on a Christmas and New Year holidays at his home village in Mpanda District. Second left is his wife, Tunu. (Photo by PMO)
inaelekea kijiji kizima wamehamia kwa huyu mkulima,hesabu hao jamaa hapo wanaopiga chai,bado ndani sijui wako wangapi na kwingineko.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom