Pinda hakulidanganya Bunge juu ya Mh. Lema

apolycaripto

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
644
225
Katika kipindi cha maswali na majibu ya papo kwa papo,baada ya kuulizwa na Mh. Mbowe juu ya mgogoro wa Jimbo la Arusha.Pinda alianza kwa kuelezea ni jinsi gani Mh.Godbless Lema kuwa chanzo cha vurugu.Nanukuu “mgogoro huu umesababishwa na Mbunge wa Arusha(Lema) ambaye ni mtu wa vurugu vurugu hivi”.Hiki ndicho kilichomuuzi Lema na kudai yote kuwa Waziri Mkuu kadanganya Bunge na Wananchi.

Kauli ya Waziri Mkuu ilinitia mashaka kwa kuwa nilikuwa simjui vizuri Mh. Lema kama kweli ni mtu wa vurugu vurugu kama alivyosema.Jana nimeingiwa na hofu juu ya uwezo wa Mh. Godbless Lema hasa katika medani za kisiasa.Lema anaongozwa na siasa za enzi za kina Isike na Mirambo kuwa kiongozi bora sharti uwe mfano kwa kila kitu hata kama ni upuuzi kwa sasa.Angalia jana,umetoka mahakamani na wenzio kila mmoja kapanda gari yake na kuelekea anakojua.Wewe (Lema) mbali na kusalimiana unazua agenda nyingine kwa midadi eti “peoples power” safari ya mguu kama zuzu mtaani.Hii si akili ya kawaida kwa kiongozi anayefikiri.Sasa nimeamini kuwa Lema ni tofauti na Viongozi wengine wa CHADEMA.Hizi ni siasa za kufukuza ndege porini ili kupata kitoweo.

Vijana wengi Arusha hawana kazi,hivyo tusitumie fursa hii kuwaangamiza na polisi.Ikiwa anadhamira ya kweli,ajaribu kuwaunganisha na mfuko wake wa jimbo baadhi yao ili kupunguza makali ya kimaisha badala ya kuwatundika kwemye milipuko ya wapiganaji (polisi) nayeye kubakia salama.”sifa za kijinga” eti mbunge wetu haogopi polisi! mbona jana alikimbia na kutoweka kusikojulikana.
 
Unatumika na nani?
Unalipwa na nani?
Ni shiing' ngapi unapewa?
Je unachanganya na zako au kimaslahi zaidi?
 
wewe humfahamu lema....kaa kimya... Acha sisi wapiga kura wake tuendelee nae hivo hivo... Tunamfahamu vizuri na tupo nae bega kwa bega... Ndio aina ya kiongozi tunaemtaka, kwaio wewe na aliekutuma chapeni lapa
 
wewe una wazimu nini? Lema ni kiongozi makini kwa taarifa yako yaliyotokea jana ndio hasa malengo ya CDM kwa sasa na yeye ndio simamia, maendeleo ya wananchi yataletwa kwa vurugu na maandamano.
 
Kiongozi ni mfano wa kazi hulijui hilo? kama hivyo sivyo kiongozi ni mfano;
Basi umebeba junia la mawe ngata kifuu jisikie kwa raha zako.
 
wewe humfahamu lema....kaa kimya... Acha sisi wapiga kura wake tuendelee nae hivo hivo... Tunamfahamu vizuri na tupo nae bega kwa bega... Ndio aina ya kiongozi tunaemtaka, kwaio wewe na aliekutuma chapeni lapa

Nakubaliana na wewe sisi wananchi wa Arusha alituahidi hayo anayoyafanya sasa tukamchagua ndio anatekeleza ahadi zake..VIVA LEMA
 
Sielewi unadhamiria kutuambia nini wewe.. Acha ushabiki wa kijinga, Pinda kadanganya bunge na mwongo ni mwongo tu hata awe na cheo gani. Hata Shetani ni muongo japo kuna watu wanamwabudu kama mungu,
 
Nampongeza Lema, kwani siasa ni maisha ya kila siku, huwezi kukwepa! Mandela aliambiwa na makaburu kuwa, wamtoe gerezani wampeleke uhamishoni na aachane na siasa. Alikataa na akaona bora aendelee kukaa gerezani kuliko kuacha siasa!

Mh. Godbless Lema naye ana-style ya aina yake jinsi ya kuendesha maisha yake ya siasa. Hakuna kuiga CCM, CDM tokeni kivyenu mpaka kieleweke.
 
Katika kipindi cha maswali na majibu ya papo kwa papo,baada ya kuulizwa na Mh. Mbowe juu ya mgogoro wa Jimbo la Arusha.Pinda alianza kwa kuelezea ni jinsi gani Mh.Godbless Lema kuwa chanzo cha vurugu.Nanukuu "mgogoro huu umesababishwa na Mbunge wa Arusha(Lema) ambaye ni mtu wa vurugu vurugu hivi".Hiki ndicho kilichomuuzi Lema na kudai yote kuwa Waziri Mkuu kadanganya Bunge na Wananchi.

Kauli ya Waziri Mkuu ilinitia mashaka kwa kuwa nilikuwa simjui vizuri Mh. Lema kama kweli ni mtu wa vurugu vurugu kama alivyosema.Jana nimeingiwa na hofu juu ya uwezo wa Mh. Godbless Lema hasa katika medani za kisiasa.Lema anaongozwa na siasa za enzi za kina Isike na Mirambo kuwa kiongozi bora sharti uwe mfano kwa kila kitu hata kama ni upuuzi kwa sasa.Angalia jana,umetoka mahakamani na wenzio kila mmoja kapanda gari yake na kuelekea anakojua.Wewe (Lema) mbali na kusalimiana unazua agenda nyingine kwa midadi eti "peoples power" safari ya mguu kama zuzu mtaani.Hii si akili ya kawaida kwa kiongozi anayefikiri.Sasa nimeamini kuwa Lema ni tofauti na Viongozi wengine wa CHADEMA.Hizi ni siasa za kufukuza ndege porini ili kupata kitoweo.

Vijana wengi Arusha hawana kazi,hivyo tusitumie fursa hii kuwaangamiza na polisi.Ikiwa anadhamira ya kweli,ajaribu kuwaunganisha na mfuko wake wa jimbo baadhi yao ili kupunguza makali ya kimaisha badala ya kuwatundika kwemye milipuko ya wapiganaji (polisi) nayeye kubakia salama."sifa za kijinga" eti mbunge wetu haogopi polisi! mbona jana alikimbia na kutoweka kusikojulikana.

Join Date11th February 2011Last ActivityToday 02:13 PMAvatar
avatar37165_2.gif

0 Friends

apolycaripto has not made any friends yet

Watu hupata hedhi kupiti chini weye yapitia mdomoni!
 
Katika kipindi cha maswali na majibu ya papo kwa papo,baada ya kuulizwa na Mh. Mbowe juu ya mgogoro wa Jimbo la Arusha.Pinda alianza kwa kuelezea ni jinsi gani Mh.Godbless Lema kuwa chanzo cha vurugu.Nanukuu "mgogoro huu umesababishwa na Mbunge wa Arusha(Lema) ambaye ni mtu wa vurugu vurugu hivi".Hiki ndicho kilichomuuzi Lema na kudai yote kuwa Waziri Mkuu kadanganya Bunge na Wananchi.

Kauli ya Waziri Mkuu ilinitia mashaka kwa kuwa nilikuwa simjui vizuri Mh. Lema kama kweli ni mtu wa vurugu vurugu kama alivyosema.Jana nimeingiwa na hofu juu ya uwezo wa Mh. Godbless Lema hasa katika medani za kisiasa.Lema anaongozwa na siasa za enzi za kina Isike na Mirambo kuwa kiongozi bora sharti uwe mfano kwa kila kitu hata kama ni upuuzi kwa sasa.Angalia jana,umetoka mahakamani na wenzio kila mmoja kapanda gari yake na kuelekea anakojua.Wewe (Lema) mbali na kusalimiana unazua agenda nyingine kwa midadi eti "peoples power" safari ya mguu kama zuzu mtaani.Hii si akili ya kawaida kwa kiongozi anayefikiri.Sasa nimeamini kuwa Lema ni tofauti na Viongozi wengine wa CHADEMA.Hizi ni siasa za kufukuza ndege porini ili kupata kitoweo.

Vijana wengi Arusha hawana kazi,hivyo tusitumie fursa hii kuwaangamiza na polisi.Ikiwa anadhamira ya kweli,ajaribu kuwaunganisha na mfuko wake wa jimbo baadhi yao ili kupunguza makali ya kimaisha badala ya kuwatundika kwemye milipuko ya wapiganaji (polisi) nayeye kubakia salama."sifa za kijinga" eti mbunge wetu haogopi polisi! mbona jana alikimbia na kutoweka kusikojulikana.

What a lot of rubbish..
 
Jamani ya nini kujitia BP bure wakati huyu ni branch za MS kazi yao kubwa ni kuchafua hali ya hewa humu ndani!
 
Inabidi MODS wawahesabie watu kiwango cha pumba na upuuuuzi wanaondika humu ndani..ili siku ya siku ukifika lets pumba 30 basi tunakufukuza JF kimoja!!

Baadae...
Huyu nimehesabu pumba zake, ingekuwa Iran tunamu-execute... A total Crapped person
 
Ni hapo wakati wa Bajeti ya 2011/12, Mheshimiwa Godbless Lema, Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani Kambi upinzani atakapozuia shilingi au mshahara wa Waziri Shamsi Vuai Nahodha, ndiyo mtajua kama Lema ni mtu wa vurugu.
 
Katika kipindi cha maswali na majibu ya papo kwa papo,baada ya kuulizwa na Mh. Mbowe juu ya mgogoro wa Jimbo la Arusha.Pinda alianza kwa kuelezea ni jinsi gani Mh.Godbless Lema kuwa chanzo cha vurugu.Nanukuu "mgogoro huu umesababishwa na Mbunge wa Arusha(Lema) ambaye ni mtu wa vurugu vurugu hivi".Hiki ndicho kilichomuuzi Lema na kudai yote kuwa Waziri Mkuu kadanganya Bunge na Wananchi.

Kauli ya Waziri Mkuu ilinitia mashaka kwa kuwa nilikuwa simjui vizuri Mh. Lema kama kweli ni mtu wa vurugu vurugu kama alivyosema.Jana nimeingiwa na hofu juu ya uwezo wa Mh. Godbless Lema hasa katika medani za kisiasa.Lema anaongozwa na siasa za enzi za kina Isike na Mirambo kuwa kiongozi bora sharti uwe mfano kwa kila kitu hata kama ni upuuzi kwa sasa.Angalia jana,umetoka mahakamani na wenzio kila mmoja kapanda gari yake na kuelekea anakojua.Wewe (Lema) mbali na kusalimiana unazua agenda nyingine kwa midadi eti "peoples power" safari ya mguu kama zuzu mtaani.Hii si akili ya kawaida kwa kiongozi anayefikiri.Sasa nimeamini kuwa Lema ni tofauti na Viongozi wengine wa CHADEMA.Hizi ni siasa za kufukuza ndege porini ili kupata kitoweo.

Vijana wengi Arusha hawana kazi,hivyo tusitumie fursa hii kuwaangamiza na polisi.Ikiwa anadhamira ya kweli,ajaribu kuwaunganisha na mfuko wake wa jimbo baadhi yao ili kupunguza makali ya kimaisha badala ya kuwatundika kwemye milipuko ya wapiganaji (polisi) nayeye kubakia salama."sifa za kijinga" eti mbunge wetu haogopi polisi! mbona jana alikimbia na kutoweka kusikojulikana.

Kwa kusema ukweli huu basi utashambuliwa sana na wana Chadema humu Jamvini.

Mimi nakupa hongera kwa kusema kweli bila wote na usimamie ukweli wa maneno yako daima japo utatuknwa na wanaChadema
 
You seem absolutely biased against Mp Godbless Lema.Acha ushabiki wa kitoto. Lema is a man of the people, he has oratory power, courageous, tough, strong and who is ready to stand for just and protect peoples' rights.Those are the kind of leaders tunawahitaji kwa hivi sasa ambapo mambo mengi yanaenda hovyo hovyo na huku haki za kimsingi za raia zikizidi kukandamizwa ruthlessly.
 
Back
Top Bottom