Pinda akataa gari la kifahari

Yeye kama Waziri mkuu alifanya nini kupinga hayo manunuzi ya gari la kifahari? This is nonsense; even if he will not use that vehicle the government has already incurred unnecessary expenses. He has authority to set policies which will tackle this problem head-on. What he has done is not a solution but merely a publicity stunt
 
na ni kiongozi gani anayewafunga watendaji wa kijiji pindi wanaposhindwa kutoa zawadi ya BWANA MUKUBWA

Hakuna ndio maana yule Mbunge alishindwa kuithibitisha kauli yake pale Mjengoni alipo takiwa kufanya hivyo baada ya kuiraise hoja hiyo"
 
Haina maana hatakidogo! Huo niunafiki tu! Siangekataa kabla halijanunuliwa sasa watalipeleka wapi? Huondio ufujaji wa pesa za wafujajasho.
 
angekua wa maana angepiga STOP ununuzi wa magari hayo ya gharama na sio kukataa kulitumia haileti maana, huu nao ni UDHAIFU mwengine.
 
Ni kheri angelikubali tuu bse kukataa kwake ni meaningless kama tayari lilishanunuliwa!
Then baada ya kukataa angelipeleka mnada ela angalau zinunue madawati au kujenga zahanati!
 
Na mwaka huu watanunua mapya mengine, si unajua sera yetu inakataza kuwa na magari yasikae zaidi ya miaka mitatu?
 
Aaaaah! Pindaaaah! umejitahidi kujionyesha mwema na mzalendo wa nchii hii lakini hatimae umeumbuka, LIWALO NA LIWE. Mtu mzima ovyooooo!
 
Pinda ni mnafiki na muongo sana..anajikosha tu hana lolote.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Bibi Lisu akichangia bajeti leo ameeleza kuwa Pinda alikataa gari la kifahari. Mimi sikulijua hili. Hongera mheshimiwa japo unapigwa vita vikali sana.
Unafiki plus...yeye ndio muidhinishaji manunuzi...si angetaa kusaini lisinunuliwe?
alipolikataa limerudishwa Toyota? Littakuwa linatumika somewhere na someone kwa style ileile ya ufujaji na kutumia pesa zile zile kwa mafuta,posho na parts
You can fool waliokupigia kura but not everybody
 
Back
Top Bottom