pinda aagiza wakuu wa mikoa kuangalia athari za bomoa bomoa

nickname

JF-Expert Member
Dec 20, 2009
544
147
Mh.Waziri mkuu Mizengo Pinda akihitimisha ziara yake mkoa wa Kagera leo ametoa agizo kwa wakuu wa mikoa kuangalia athari za majengo na nyumba zitakazobomolewa kutokana na kujengwa kwenye hifadhi ya barabara.
My take: Nionavyo mimi ni kuwa WM amepora madaraka ya Waziri wa Ujenzi.Hiyo ingefanyika kiserikali na sio kishabiki kwa kutaka kujipatia umaarufu kupitia mgongo wa Magufuli.Naona kuna ombwe la uongozi(nyufa za uongozi) katika serikali ya JK.
 
Halafu wakishaangalia athari???? Maagizo ya huyu mkubwa mara nyingi yanakua so vague and useless!!!!!
 
Back
Top Bottom