Pikipiki iliyotumika naweza kupata kwa Shilingi ngapi?

  1. Jueni hili. Pikipiki zimepanda Bei katika Soko hili pia limesababisha hta Used kupanda Bei pia.
  2. Ogopa kununua Pikipiki usiyoijua vizuri. Kwahiyo nunua zile ambazo hazina muda mrefu toka zinunuliwe
  3. Chunguza chombo hasa upande wa Injini kama Haijafunguliwa
  4. Angalia Nguvu yake hasa kama Ww ushawahi kuwa Dereva
  5. Angalia kama ni ya Kupiga Kick au ni Push to start. Kama ni kick nyingi achana nayo
NB: Pikipiki chini ya Mil 1.2 kuwa nayo makini
 
saf umetupa madin apoo
 
Mimi Nina 700k nataka chombo ya kazi
Hiyo
IMG_20220605_144938_319.jpg
 
Back
Top Bottom