Pigo la kwanza: Arusha mjini na Hai kurudi CCM!!

Tuliipenda ccm ila mungu ameipenda zaidi,hili ni jambo jema chama kupendwa na mungu kwahiyo wanaccm wenzangu tusilie chama chetu mungu amekipenda zaidi mwaka huu.
 
Hili ndio pigo la kwanza kwa CHADEMA na UKAWA kwa kuwasaliti wazalendo.

Haya ndio majimbo ya kwanza kwenda CCM.

NOTE MY WORDS !!

tumewagundua nyinyi tokalini mkakitakia CHADEMA mema.lazima mvae nepi na kula malimao kwa wingi
 
Nitakua kichaa ndio! Kwa kuiona ccm ikichukua majimbo haya kiulaini kuliko ilivyotarajiwa!

Kwa mgombea yupi?? Jambazi aliye toka jela kwa hongo? Au aliye iba viwanja vya umma na kufanya parking yake binafsi? Au wahuni wanao pigana bar kwa tamaa za ubunge?? Ccm hamna mgombea Arusha mna genge la wahuni na wezi. Nakuhakikishia Lema hatakiwi kufanya kampeni Arusha, atakwenda kuwapigia kampeni wagombea sehemu nyingine. Yeye tayari ni mbunge
 
Back
Top Bottom