Picha Zisizo Za Kawaida No.7: Wanawake Bana: Eti Latest Fashion Ya 2009 . . .

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Ni nani hasa mwenye kosa? Designer au Mvaaji? Au hakuna mwenye kosa?

Fashion hii ikiingia bongo mnaonaje?

attachment.php
 
Attachments

  • image001.jpg
    image001.jpg
    68.1 KB · Views: 14,575
Mwenye kosa ni mvaaji kwa kwetu uvaaji huo hauendi na maadili yetu lakini tulivyokuwa wepesi wa kuuiga tutaiga tu
 
Hiyo Picha ina uhusiano gani na ukumbi wa Sport?

Angalia mandhari ya picha.

Second, Jukwaa si la Sports tu. Ni pamoja na burudani nk.

Tujadiliane juu ya yote yanayohusiana na Michezo, Burudani, sanaa
 
Burudani unaweza kuielezea vipi? Sioni chochote hapo chenye kwenda sambamba na maana halisi ya burudani!
 
Burudani unaweza kuielezea vipi? Sioni chochote hapo chenye kwenda sambamba na maana halisi ya burudani!

Mkuu; hivi unashida gani bro? Sanaa maana yake ni nini? Niambie mambo ya FASHION utayaweka katika jukwaa gani kwa uelewa wako mkubwa uliotukuka?

Soma kwa makini vitu gani vinatakiwa katika jukwaa hili kabla hujajibu.
 
Jibu swali kwanza, Nini burudani? Na hiyo picha uliyobandika hapo ina burudani gani?
 
Jibu swali kwanza, Nini burudani? Na hiyo picha uliyobandika hapo ina burudani gani?

Mkuu; itabidi tukurudishe darsani sasa maana inaonekana hutaki kuelewa. Angalia kwa makini post yangu nilivyokujibu na kuweka msisitizo in ble. Kisha rudi katika jukwaa soma ni vitu gani unaweza kupost.

I hope haturudi katika mambo ya PUMBA.
 
Kama hiyo ni burudani kwako basi ndio Pumba ya kwanza kuiona katika ukumbi wa wa Sports.

Nitaendelea kuhoji na kuhoji tena Picha hiyo ina burudani gani? Au ina sanaa gani au inawakilisha aina gani ya Michezo.

Mpaka pale utakapoweza kufafanua kuhusu ilo, ndio nitajua kama nimebandika pumba ama la! Zaidi naona ni wewe mwenye pumba mpaka kwenye vidole vyako.
 
Kibunago, unasoma kweli majibu unayopewa au unakurupuka tu? Ngoja sasa nikurudishe darasa la kwanza:

Uliuliza:

Hiyo Picha ina uhusiano gani na ukumbi wa Sport?

Ukajibiwa:

Angalia mandhari ya picha.

Second, Jukwaa si la Sports tu. Ni pamoja na burudani nk.

Tujadiliane juu ya yote yanayohusiana na Michezo, Burudani, sanaa

Ukauliza tena:

Burudani unaweza kuielezea vipi? Sioni chochote hapo chenye kwenda sambamba na maana halisi ya burudani!

Ukajibiwa:

Mkuu; hivi unashida gani bro? Sanaa maana yake ni nini? Niambie mambo ya FASHION utayaweka katika jukwaa gani kwa uelewa wako mkubwa uliotukuka?

Ukauliza tena:

Jibu swali kwanza, Nini burudani? Na hiyo picha uliyobandika hapo ina burudani gani?

Ukajibiwa tena:

Mkuu; itabidi tukurudishe darsani sasa maana inaonekana hutaki kuelewa. Angalia kwa makini post yangu nilivyokujibu na kuweka msisitizo in bule. Kisha rudi katika jukwaa soma ni vitu gani unaweza kupost.

I hope haturudi katika mambo ya PUMBA.
Soma kwa makini vitu gani vinatakiwa katika jukwaa hili kabla hujajibu.

Sasa Mkuu sana ambaye umetukuka kwa kujua mambo mengi usaidiwaje?
 
Superman:
Umewahi kuona kona hii hapa JF?-
Entertainment Forum Talk anything about your favorite actress, actor and musician. The right place for celebrity enthusiast! TV Shows, Music, Movies, Female Celebrities, Male Celebrities, Spoilers, & More

Je umewahi kukutana na bandiko hili "Vituko vya Mademu (picture).." hapa JF na ukaona yaliyomo humo ndani?

Hiyo Picha hapo juu inaendana vipi na burudani inayotokana na michezo au sanaa?
 
JF Webmaster/admin chonde chonde ya kumi huanza na moja, kuna siku utakuta picha ya ajabu hapa!
 
hakuna mwenyekosa kati yao, mbunifu kabuni na mvaaji kavaa kwa kadri ya haja ya moyo wake. hata ikija bongo fashion hii haina tatizo, tena ikivaliwa kama fashion italeta maana zaidi kuliko hivi sasa ambapo ukiona mbongo na nguo iliyokatwa katwa inakuwa si fashion ila ni umaskini wa kushindwa kumudu kununua nguo!
 
'Superman'
Ni nini kimekusukuma kupost hiyo picha? una mawazo gani? unataka sisi tukubaliane na kile ulichowaza au unataka mawazo yako yapandike ndani yetu? the reflection of your inlet is obvious now seen and must be judged to testmony how far are you among the ''GREAT THINKER''.
Jone,
Ndikupasya Buno Malafyale anganie kangi ambokie'
 
i dont think hata kwenye mambo ya KIKUBWA kama hiyo pic inaruhusiwa, Superman hapa amejaribu kuonyesha ni jinsi gani the JF ilivo ya watu ambao ni Thinkers na sio ya mambo ya kikubwa, na fikiri mimi tungebase sana kwenye thinking zaidi kuliko fashion za aina hiyo, Superman you are superb, remind whoever goes beyond the main JF objectives.

Rom

Rom
 
sorry guys nilikuwa nampongeza KIBUNANGO and not superman------please Kibunango remind all who do not adhere to main JF objectives.

Rom
 
Back
Top Bottom