Picha Zisizo Za Kawaida No. 10: Moja Kati Ya Wanawake Milion 1 Wenye Mapenzi Ya Kweli

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Mwanaume kutoka USA alipigana vita vya Iraq na baada ya kurudi nyumbani, akamwoa binti ambaye walikuwa wanapendana . . . . Hakika ni mapenzi ya kweli . . . Angalia Picha hapa chini . . .

Nathubutu kusema anaweza kuwa ni mmoja kati ya wanawake Million Moja aliye na Moyo Mkuu na Upendo wa Kweli.

Maswali ya kujiuliza ni kuwa:

1. Mapenzi na Ndoa yao itadumu in a real sense ikiwa ya amani na furaha?

2. Je, kuna yeyote mwenye ushuhuda wa namna yoyote ya extreme cases katika mapenzi au ndoa.

3. Hivi hii kitu ingekuwa ni Dada Zetu wa Bongo, ingewezekana pia? (Wadada ni swali tu jamani . . .)

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • ATT00002.jpg
    ATT00002.jpg
    23 KB · Views: 519
  • ATT00003.jpg
    ATT00003.jpg
    23 KB · Views: 495
  • ATT00004.jpg
    ATT00004.jpg
    21.1 KB · Views: 867
  • ATT00005.jpg
    ATT00005.jpg
    19.4 KB · Views: 496
  • ATT00006.jpg
    ATT00006.jpg
    23.1 KB · Views: 489
  • ATT00007.jpg
    ATT00007.jpg
    28.3 KB · Views: 495
  • ATT00008.jpg
    ATT00008.jpg
    24.1 KB · Views: 499
Mwanaume kutoka USA alipigana vita vya Iraq na baada ya kurudi nyumbani, akamwoa binti ambaye walikuwa wanapendana . . . . Hakika ni mapenzi ya kweli . . . Angalia Picha hapa chini . . .

Nathubutu kusema anaweza kuwa ni mmoja kati ya wanawake Million Moja aliye na Moyo Mkuu na Upendo wa Kweli.

Maswali ya kujiuliza ni kuwa:

1. Mapenzi na Ndoa yao itadumu in a real sense ikiwa ya amani na furaha?

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

...mnh, kwa sura ya bi harusi inavyojionyesha, sijui :( !!!
 
Last edited:
Ipo kazi Wakuu;

Mbona mimi naziona?

Poa ngoja nifanyie kazi tena!
 
Labda macho yangu hayaoni sawasawa...sijaona kitu out of the ordinary kwenye picha...can somebody help?
 
Ninachoona ni mwanamke kutokuwa na raha ktk maisha yake ya ndoa na huenda wameoana kutokana na AHADI walizopeana bila kufikria ajali kama hizo au bint kalazimishwa.
Sehemu anazo tabasamu binti,anakumbikia enzi hizo yaani ANAVUTA HISIA.Pamoja na yote hayo,walau dalili ya upendo ipo
 
Labda macho yangu hayaoni sawasawa...sijaona kitu out of the ordinary kwenye picha...can somebody help?

attachment.php

Before War in Iraq

attachment.php

After War in Iraq

You are right, might be normal to you as WoS, but extraordinary to others . .
 
Ninachoona ni mwanamke kutokuwa na raha ktk maisha yake ya ndoa na huenda wameoana kutokana na AHADI walizopeana bila kufikria ajali kama hizo au bint kalazimishwa.
Sehemu anazo tabasamu binti,anakumbikia enzi hizo yaani ANAVUTA HISIA.Pamoja na yote hayo,walau dalili ya upendo ipo

Mkuu; hauamini katika mapenzi ya kweli no matter what? The so called AGAPE LOVE?
 
LOL; unakwepa?

Anyway, mimi nilitaka kujua tu your personal honest answer.

My honest answer?..well... when it comes to marriage and its commitment, one has to weigh carefully and satisfy themselves whether they understand the extent of that life long commitment.KAMA ni ndoa ya muda mfupi basi unaweza kujifanya ndio una mapenzi ya kweli!Kumbuka ndoa is more than that feeling of being attracted to somebody...maana hiyo itapita na reality will set in.Kama umeoana na mtu kwa sababu ulimuonea huruma kwa mapenzi uliyokuwa nayo tu, basi itakuja kuwa ndoa yenye uchungu mwingi, lawama, majuto na utengano mbaya.TUWE WAKWELI JAMANI.
 
Thank you for your honest opinion.
 
Back
Top Bottom