Picha: Zaidi ya Maneno, zaidi ya Hisia. Je, unaushauri gani?

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
13,592
18,640
1697522803823.png

=
Chanzo: MMM (Mtandao X)
 
Ila moja ya Madhara ya Hii sera ya Elimu bure ni Kupungua kwa ubora wa elimu, Je nini maoni yako ili kuboresha elimu inayotolewa kwa sasa, ukizingatia kijana anayemaliza kidato cha nne anakuwa bado hana uwezo wa kukabili mazingira na maisha yake kutokana na elimu aliyopata?
Kuboresha elimu ianze na kuboresha maslahi ya walimu na elimu ya walimu wenyewe.
Kama mwalimu hana akili na ujuzi wa kutosha hawezi kutoa product nzuri ya wanafunzi.
 
Kama mwalimu hana akili na ujuzi wa kutosha hawezi kutoa product nzuri ya wanafunzi.
Futa hii kauli, Na omba radhi tafadhari.

Mimi binafsi ni Mwalimu kitaaluma na sehemu ya CV yangu ni hii:
  • 2yrs MOTCO/Kigurunyembe, Nikapiga kazi miaka 5, kisha nikaifuata degree
  • 3yrs MUCE
Kuboresha elimu ianze na kuboresha maslahi ya walimu na elimu ya walimu wenyewe.
Hapa naungana nawe
 
Futa hii kauli.
  • Mimi binafsi ni Mwalimu kitaaluma na sehemu ya CV yangu ni hii:
  • 2yrs MOTCO
  • 3yrs MUCE
Zamani miaka ya 90 waliopata division 4 ndo walienda ualimu. Yaani mtoto akikosa shule utasikia jaribu kumpeleka ualimu...
Mfumo huo umeharibu sana elimu yetu. Ifike mahali wenye ufaulu mzuri waende ualimu na hili halitawezekana kama mishahara ya walimu haitaboreshwa.
 
Kuboresha elimu ianze na kuboresha maslahi ya walimu na elimu ya walimu wenyewe.
Kama mwalimu hana akili na ujuzi wa kutosha hawezi kutoa product nzuri ya wanafunzi.
Unaposema kama mwalimu hana akili na ujuzi wa kutosha.....unamaanisha nini? Ina maana na wewe uko kwenye kundi la watu wasio na akili, wala ujuzi wowote ule bila shaka!!
 
Thats y sijawa mwalimu maana sina akili wala ujuzi wa kuwa nwalimu.
Lakini kumbuka ni walimu hao hao ndiyo waliokufikisha hapo ulipo. Mfano kwa kitendo tu cha kujua kusoma na kuandika, nk ni matunda ya walimu.

Hivyo ukubali kuwapa heshima yao, hata kama una mafanikio zaidi kimaisha kuliko wao! Na pia ukumbuke walimu wako wa kwanza kabisa ni wazazi wako. Hivyo hatuna budi kuwaheshimu walimu wetu, hata kama wana madhaifu kiasi gani.
 
Sijazungumzia walimu wote.
ELimu inadorora kila siku unadhani tatizo ni nini? Ni mfumo mzima wa elimu pamoja na walimu wenyewe maana hata wao wamefundishwa na hao hao walimu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom