Picha za matukio mbalimbali ya Kikwete akijenga taifa..

Mmh?. Kweli alienda msibani na suit light blue namna hii?
Bora hata angevaa kanzu, at least haina color coding...
Hivi hakuna mtu wa PR angemnongoneza avae dark suit?

Rizi1 naona alikua bize kidogo akasahau kuongea na mshua
ridiwani+1.jpg
 
Uhasidi tu umewajaa.

Aliyofanya Kikwete kwa Tanzania kuanzia mashule, barabara, vyuo vikuu, vyuo vya ufundi, afya utalii (tena wa wenye fedha sio wa backpackers) hakuna Rais yeyote wa kabla anaempata hata nusu kwa mafanikio yake.

Life expectancy ya Mtanzania imepanda kutoka miaka 48 wakati anamaliza Nkapa mpaka sasa ni zaidi ya miaka 58, kama si maisha bora kwa Mtanzania nini hicho?
 
Huu upuuzi kamwambie mkeo.
 
yapi kayafanya ya maana zaidi anayoweza kujivunia au kutugawa kidini watanzania, kwanza mwambie asiche na pensheni zetu...!
 
Mimi nasubiri eneo kama hili kwenye picha kabla hajang'atuka, maana ni ahadi kwa wasanii wa musiki!.
attachment.php
 
Uhasidi tu umewajaa.

Aliyofanya Kikwete kwa Tanzania kuanzia mashule, barabara, vyuo vikuu, vyuo vya ufundi, afya utalii (tena wa wenye fedha sio wa backpackers) hakuna Rais yeyote wa kabla anaempata hata nusu kwa mafanikio yake.

Life expectancy ya Mtanzania imepanda kutoka miaka 48 wakati anamaliza Nkapa mpaka sasa ni zaidi ya miaka 58, kama si maisha bora kwa Mtanzania nini hicho?

JK analipwa mshahara kwa ajili ya kufanya mambo yote hayo, sasa wewe unaona kuwa amefanya cha ziada sana hapo ? au labda kama hapokei mshahara na stahili nyingine.
Ila, mambo kama kumtajirisha Ridhiwani, kuendeleza rushwa, ufisadi, kuachilia mikataba mibovu iendelee, n.k. hivyo vyote amefanya wakati halipwi mshahara ili avifanye !!
Hapo vipi ??
 
SON, YOU GAHT THE MOSQUITO NETS IN EXCHANGE WE GET YEARS TO MINE GOLD AnD SET OUR CAMPS IN YOUR COUNTRY, AND WE HAVE A DEAL yeah?! NDIO NDIO BUSHI...
President-Jakaya-Kikwete--007.jpg

Hapa Bush anasema:-
"Thanks buddy for your generosity of giving me the Kigamboni area"
 
Aiseeee baba yangu huku rombo madarasa hayana madawati yamechoka ile mbaya alafu haya haya madarasa yanatumika kama kituo cha kupigia kura embu angalia ubaoni bila aibu unaweka tiki kwenye picha ya yei kei

ngoja nimalize hii mbege yangu nije dar kwa mguu
 
JK analipwa mshahara kwa ajili ya kufanya mambo yote hayo, sasa wewe unaona kuwa amefanya cha ziada sana hapo ? au labda kama hapokei mshahara na stahili nyingine.
Ila, mambo kama kumtajirisha Ridhiwani, kuendeleza rushwa, ufisadi, kuachilia mikataba mibovu iendelee, n.k. hivyo vyote amefanya wakati halipwi mshahara ili avifanye !!
Hapo vipi ??

Slaa analipwa mshahara kufanya nini? kukopa?
 
JK analipwa mshahara kwa ajili ya kufanya mambo yote hayo, sasa wewe unaona kuwa amefanya cha ziada sana hapo ? au labda kama hapokei mshahara na stahili nyingine.
Ila, mambo kama kumtajirisha Ridhiwani, kuendeleza rushwa, ufisadi, kuachilia mikataba mibovu iendelee, n.k. hivyo vyote amefanya wakati halipwi mshahara ili avifanye !!
Hapo vipi ??
Kuna kila ishara kuwa chenji za EPA kutoka kwa manji zinamnufaisha sana Riz1.
 
Back
Top Bottom