Picha za mafuriko Dar es Salaam

Uzembe wa serikali unatugarim tusiokuwa na hatia

mnaambiwa muhame hamtaki halafu mnasema uzembe wa serikali. wajinga sana nyie.
mnataka muendelee kudekadeka kama mitoto..... na mtakufa sana matahira nyie
 
mnaambiwa muhame hamtaki halafu mnasema uzembe wa serikali. wajinga sana nyie.
mnataka muendelee kudekadeka kama mitoto..... na mtakufa sana matahira nyie

Mh, hapa nashindwa kuelewa busara yako i wapi! Inamaana na barabara zilizokuwa zimefungwa na madaraja yaliyobomoka kwa mafuriko navyo vimejengwa mabondeni (na mataahira?) kwahiyo vihamishwe?
 
mnaambiwa muhame hamtaki halafu mnasema uzembe wa serikali. Wajinga sana nyie.
Mnataka muendelee kudekadeka kama mitoto..... Na mtakufa sana matahira nyie

ndio mwisho wake wa kufikiri!!
 
mnaambiwa muhame hamtaki halafu mnasema uzembe wa serikali. wajinga sana nyie.
mnataka muendelee kudekadeka kama mitoto..... na mtakufa sana matahira nyie

Ni nani mwenye mamlaka ya kupanga makazi? ni watu au serikali?
ni nani mwenye mamlaka ya kusimamia ujenzi wa makazi? ni wananchi au serikali?
kama serikali haitoi viwanja kwa wananchi wake kwa njia ya wazi na watu wanataka kujenga wafanyaje? wasubiri mpaka lini na fedha hazikai?
lakini je nyumba za viongozi wa serikali zilizokumbwa na mafuriko ikiwemo ya kamanda wa polisi ipo bondeni?
Naomba tutafakari wote ni lipi jukumu la serikali kuhusu makazi na lipi jukumu la wananchi kuhusu makazi?
 
Hatimaye Pinda awatembelea waathirika wa mafuriko Dec 31, 2011

IMG_2381.JPG
 
Sioni sababu ya kuilaumu selikari,kila mtu alijenga bondeni kwa mapenz yake ingawa selikari ilipinga sana ujenz wa mabondeni!
 
Kupinga kwa mdomo huku wamenyoosha miguu na matumbo kama wanasukwa utii wa roda haisaidii! Kufanya mchakato wa kupima kiwanja is a nightmare! Hiyo tu kuangalia matumizi ya ardhi jiji ni kizungumkuti hadi uhonge! Hawatengenezi mfumo wana kazi ya kutoa pole na kusema watu wahame! Mandingos!
Sioni sababu ya kuilaumu selikari,kila mtu alijenga bondeni kwa mapenz yake ingawa selikari ilipinga sana ujenz wa mabondeni!
 
Back
Top Bottom