Bowbow
JF-Expert Member
- Oct 20, 2007
- 541
- 31
wapendwa wanaJF,
Nimeanzisha kampani binafsi yenye lengo la kuitangaza Tanzania katika nyanja zote za kukuza uchumi na social welfare ya watu watu wake. Kwa sasa nipo kwenye maandalizi ya mwanzoni kabisa, ila naomba msaada mmoja kwa wanaJF na msaada huo ni picha mbali mbali zenye uwezo kuitangaza, kuvutia na hata kushawishi walengwa mbali mbali. Ninakusudia kuitangaza Tanzania katika nyanja ya utalii, uwekezaji, Finance(macro and Micro finance), na utamaduni.
Hivyo kama kuna mtu mwenye picha au hata video clip zozote zenye kuitangaza nchi yetu unakaribishwa kuituma kupita email yangu demsentz@gmail.com.
Tanzania nchi yangu, Kilimanjaro sifa yangu sote Tuitangaze Tanzania